Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
Mbona ishaeleweka somo ukitaka kumjua Rais wa Tanzania waangalie Wazenj...wakishasema yes kwa mgombea fulani nao hakuna wa kusema no pia..Ulinzi usipime manake watu matumbo joto...wengine..awajui itakuwaje.Kama hizi habari ni za kweli hakika ccm wamesikia maombi yangu, kazi imeisha na uchaguzi umeisha, tunasubiri tu baraka za watanzania hapo October ili sasa aanze rasmi kazi ya kupambana na mafisadi na wala rushwa.
Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
OK wewe haja yako ilikuwa nini?Yeye yake ni hiyo!!hakukuwa na haja ya ww kuposti
Ili uwe well informedSasa ndio umekuja kutuambia nini?
Mkuu. Vikao vinaendelea kama kawaida kwani 1995 ilikuwaje?
Ili uwe well informed
Mbona ishaeleweka somo ukitaka kumjua Rais wa Tanzania waangalie Wazenj...wakishasema yes kwa mgombea fulani nao hakuna wa kusema no pia..Ulinzi usipime manake watu matumbo joto...wengine..awajui itakuwaje.
Mzee Thabiti alisema Yes Kwa Mwinyi na Ikawa ukizingatia alikuwa ana heshimika sana na Mwalimu Nyerere japo chaguo la Mwalimu lilikuwa linajulikana ni nani.
Akaja Mkapa Wazenj wakasema ndio kwake na kura zao zote kama inavyofahamika kura za Zenj huwa ni za uhakika wao wakisema HUYU huwa kama wasukuma HAWABADIRIKI kama sie Wabara.
Marehemu Mzee Thabiti mwaka 1995 alimuhusia Jakaya Kikwete kuwa muda wako bado HAUJAFIKA ukifika UTAKUWA subilia kweli akasubilia na ulipofika AKAWA.
Ukiishi kwa kuwasikiliza Wazee hakuna kinachoshindikana
Ili uwe well informed
Itakuchukua muda Ku sense
Nakushauri tumia detector