Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

Mimi naanza kufikiri watanzania ni watu wa ajabu sana , hili jukwaa ni la kupashana habari kwa kila kinachojiri nchini hasa kipindi hiki cha uchaguz ,lakini kuna watu mnaleta mzaha , kwanza kupitia bandiko langu kwa mtu mkongwe humu hana haja ya kutukana matusi Bali atapata jibu la moja kwa moja

Bado ,
Niko Dodoma wakuu
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.

Wewe huna hoja VP kuhusu gas yetu jamani?
 
kura ndio zinaamua unaweza sema wakubwa wamemtaka ila wapiga kura wa nec wakamkataa acha kubashiri uongo
 
Hahaaaaa mkuu umenifanya nicheke aiseee!! ila safi sana!!!

Ndiyo hivyo mkuu. Kwangu mchakato unaanza baada ya kumtema fisadi mkuu.
Hapo ndiyo tuanze kuangalia sifa za waliobaki.
 
kura ndio zinaamua unaweza sema wakubwa wamemtaka ila wapiga kura wa nec wakamkataa acha kubashiri uongo

Kweli kura ndio zinaamua lakini lazima waondoe samaki wabovu kwanza.
Hapo ndio nafasi ya wazee na kamati ya maadili.
 
kura ndio zinaamua unaweza sema wakubwa wamemtaka ila wapiga kura wa nec wakamkataa acha kubashiri uongo

Ni kweli kura zitaamua lakini huyo mgombea haitaji " goli la mkono kushinda" Bali atashinda kipindi cha kwanza kwani yuko vizuri sana , kuanzia kujieleza na kutawala hisia za watu baadhi ya wataalam wa mambo ya siasa wamembatiza jina la Master of Public Speaking
 
Ujinga, Ufisadi, Maradhi na umaskini (lakini umaskini hatunao tena nchi yetu ni tajiri sana) hivyo tuutoe umaskini tuweke CCM. Adui mkubwa wa Watanzania ni :

1. CCM
2. Ufisadi
3. Ujinga
4. Maradhi

Namba 2,3 na 4 yote yanasababishwa na CCM.

Dr. Slaa kaongeza na adui wa 4 UFISADI akizungumza na wazee wa Dar. Leo na kumsimika kuwa chief wa Dar.
 
Kwani hao wazee wa baraza ndio wanao mchagua rais wa JMT na si Watanzania wote?

Zama za kuuziwa mbuzi kwenye gunia zimeshapita. Huyo atakuwa Rais wa baraza la Wazee lakini sio rais wa JMT. Mark my words.

Sikuhizi Hili neno Mark my words linatumiwa ovyo kabsa bila sababu za msingi..
Yani CCM iachie madaraka.!!!!na bila aibu unasema 'mark my words'..
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.

Acha uongo!!:;
MVUTANO NI MKALI SANA HUENDA KURA ZIKAAMUA RAIS WETU,
nipo hapa dom very closely!!!
 
Jamani, naomba msaada, unamjibuje mtu hoja yake... Nimetafuta wee button ya ku click ili kumjibu nimekosa. Nikijibu inakuwa kama hoja ya kawaida tu, au kama vile nime mquote
 
Ha ha ha pole mkuu ila ukishajua plz usianze kutukana matusi
 
Khaaa, watu wengi kumbe hamsomagi hoja mkuu, yaani bado uko gizani pamoja na kuambiwa hivi??!!.....mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

hata akiwekwa Malaika akawa Rais kupitia CCM hawez kupambana na mafisadi...msiwahadae Watanzania...ingawa tushajiita wadanganyika,ingawa tunasahau sana ya nyuma lakini kusahau ugum Wa maisha tuliopitia miaka ya karibun Kwa sababu ya uongoz ulipo sio rahisi kusahau.
 
Baro Ndo nielekeze sasa, kama hivyo ulivyo ni quote mimi

Kama unatumia simu yenye android , click post unayotaka Ku quote itakuwa highlighted , kwa juu utaona maneno yameandikwa quote then click hilo neno itakuletea post uliyo I highlight then andika comment yako alafu baada ya hapo bonyeza icon ya mshale Ku send reply
 
Khaaa, watu wengi kumbe hamsomagi hoja mkuu, yaani bado uko gizani pamoja na kuambiwa hivi??!!.....mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

hata akiwekwa Malaika akawa Rais kupitia CCM hawez kupambana na mafisadi...msiwahadae Watanzania...ingawa tushajiita wadanganyika,ingawa tunasahau sana ya nyuma lakini kusahau ugum Wa maisha tuliopitia miaka ya karibun Kwa sababu ya uongoz ulipo sio rahisi kusahau.

Mkuu dhana ya samaki mmoja akioza iko kwenye maandishi tu, lakini kwenye uhalisia haipo, it's always not fair to generalize!!
 
Kama unatumia simu yenye android , click post unayotaka Ku quote itakuwa highlighted , kwa juu utaona maneno yameandikwa quote then click hilo neno itakuletea post uliyo I highlight then andika comment yako alafu baada ya hapo bonyeza icon ya mshale Ku send reply

Thank you, big time. Hope this will work.
 
atakuwa luwasha----kama anavyo wawasha wa kereketa wa ccm na undugunization
 
Back
Top Bottom