mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Ni vigumu kuulewa ukweli ukiwa nje ya system
Safi sana mkuu!!! wenye akili tumeishamjua huyo kiboko ya mafisadi na wala rushwa

Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Membe akiwa rais au Pinda au Sumaye naukana uraia wa Tanzania.
Ni vigumu kuulewa ukweli ukiwa nje ya system
Kwani hao wazee wa baraza ndio wanao mchagua rais wa JMT na si Watanzania wote?
Zama za kuuziwa mbuzi kwenye gunia zimeshapita. Huyo atakuwa Rais wa baraza la Wazee lakini sio rais wa JMT. Mark my words.
Si umtaje tu mkuu!
Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
whistle blower mbona unaogopa....si useme tu ni mmojawapo wa wale wawili wa kanda ya ziwa.

Au ni yule wa pesa za Libya?