Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.

Hatutaki uzushi! Why humtaji?
 
Iringa moja anzeni Kupima pressure kwani mtakufa kwa mafuriko kama mlivyofurika kumdhamini Mamvi hapiti rudisheni hela zake
 
Ni kweli kura zitaamua lakini huyo mgombea haitaji " goli la mkono kushinda" Bali atashinda kipindi cha kwanza kwani yuko vizuri sana , kuanzia kujieleza na kutawala hisia za watu baadhi ya wataalam wa mambo ya siasa wamembatiza jina la Master of Public Speaking

Huwa anatoa "Conclusive speeches"
 
Huyu atakua yule mkulima maana ndiye hakua na ulinzi binafsi.
 
Sasa umetuambia nini,tunataka jina,ni jaji,Nyerere au Asha,maana najua Pinda kawekwa strategically kwa ajili ya kumuengua EL.
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
 
Waambie wazee wa baraza wakaribie gahawa make wamefanya KWELI
 
  • dr. john magufuli...40%
  • professor mark mwandosya...35%
  • professor sospeter muhongo...25%

nimemaliza.
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.

Mkuu una akili kweli ww au umeamua uchangamshe jukwaa
 
Ulikua unataka kusema nini hasa..maana sioni mantiki yoyote ile kwenye huu uzi wako
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.

Kila mtu siku hizi utasikia niko dodoma kwa kazi maalumu.JF raha sana kila mtu afisa kazi ipo haya sisi tusio na kazi maalumu dodoma muendelee kutujuza.
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
Una tatizo la kunuka Mdomo.
Bisha!!!
 
Back
Top Bottom