geraldkowero1
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 1,838
- 647
Ujinga hatutaki humu
Yale yale ya Zitto na chama chake mwembe yanga.
Ujinga hatutaki humu
Should this idiot be the next president, we will end up being sold like karanga in a market? Huyu jamaa brain yake ni ziro kabisa, itashangaza sana kama CCM wanaweza kumpitisha huyu.Taja tu mbona anafahamika ni Mh Bernard Kamilius Membe
Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
Membe akiwa rais nchi inakufa baada ya masaa 24Should this idiot be the next president, we will end up being sold like karanga in a market? Huyu jamaa brain yake ni ziro kabisa, itashangaza sana kama CCM wanaweza kumpitisha huyu.
Mkuu pandiko lako lina giza jingi! Mbona unaficha habari wakati hapa JF watu tunajimwaga
Jileeeeeeeeee! please unatuumiza sana make tushajua mmeshinda.
Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
tanzania bhana, kila mtu anajifanya tiss eti kazi maalum
Kama hizi habari ni za kweli hakika ccm wamesikia maombi yangu, kazi imeisha na uchaguzi umeisha, tunasubiri tu baraka za watanzania hapo October ili sasa aanze rasmi kazi ya kupambana na mafisadi na wala rushwa.
Ndiyo hivyo mkuu. Kwangu mchakato unaanza baada ya kumtema fisadi mkuu.
Hapo ndiyo tuanze kuangalia sifa za waliobaki.
Wewe ushahidi unao au unaongea kwa kutema mate km mwanaswila? Unao ushahidi au umedandia basi la mbagala rangi 3. Lete ushahidi mezani
Should this idiot be the next president, we will end up being sold like karanga in a market? Huyu jamaa brain yake ni ziro kabisa, itashangaza sana kama CCM wanaweza kumpitisha huyu.
Duu Membe brain zero wakati ni graduate wa udsm with second upper na ana masters from John Hopkins university u ziro wake inamaana hata wamarekani hawakuuona wakampa masters yenye distinction? Can you please clarify what criteria did you use to afirm is an idiot with zero brain?
Wewe ushahidi unao au unaongea kwa kutema mate km mwanaswila? Unao ushahidi au umedandia basi la mbagala rangi 3. Lete ushahidi mezani