Chaguo la CCM katika urais aongezewa ulinzi

baro

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
3,403
Reaction score
4,850
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Bandiko lako mashiko zero.
 
Sasa unajua ni vigumu kuelewa wakati wewe ndio unaleta ugumu. Endelea kukaa humo ndani ya system kwani ulitumwa kutuandikia umbea humu
 
Sasa mbona waliompa hizo baraka wenyewe tu ni mafisadi.

CCM huwezi kuitenganisha na ufisadi,ni kama dawa bila active ingredient,hakuna kitu
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Sio lazimakuanzisha thread, unaweza ukawa mchangiaji mzuri tuu!! Sijaona cha maana ulichoweka ktk uzi wako, vacuum kabisaaaaaa!!
 
Habarini za jioni wanajamvi

Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,

Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu

NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu

By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Mkuu pandiko lako lina giza jingi! Mbona unaficha habari wakati hapa JF watu tunajimwaga
 
hapa jf hatufichi kitu , lipua mambo usiogope , nitakulinda .
 
Back
Top Bottom