Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
Mmojawapo wa hao nadhani ndiye atakayewapa upinzani UKAWA maana huyo mmoja wapo anahoja zile zile za UKAWA
Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
Taja tu mbona anafahamika ni Mh Bernard Kamilius Membe
Kaka wa taifa, au!Safi sana mkuu!!! wenye akili tumeishamjua huyo kiboko ya mafisadi na wala rushwa
Khaaa, watu wengi kumbe hamsomagi hoja mkuu, yaani bado uko gizani pamoja na kuambiwa hivi??!!.....mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Shika adabu wewe!
Huu nao ni uzi:what:
Pumba.. Jazz Band hii!
unavuta za wapi? za arusha, malawi au sumbawanga?
Mmojawapo wa hao nadhani ndiye atakayewapa upinzani UKAWA maana huyo mmoja wapo anahoja zile zile za UKAWA
Mimi ugomvi wangu ni kitu kimoja tu. Yule fisadi maarufu akatwe mapema kabisa. Mengine tutachambua na kuelekezana taratibu.
Ni vigumu kuulewa ukweli ukiwa nje ya system
We zubeda acha bangi zako....Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu.
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu.
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu.
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum.
Mmojawapo wa hao nadhani ndiye atakayewapa upinzani UKAWA maana huyo mmoja wapo anahoja zile zile za UKAWA
Ukimuona mtu anaonyesha UJINGA wake hadharani katika jambo muhimu linalohusu maslahi ya nchi ni wa kuogopa kama UKOMA.
Baba wa Taifa hakukosea kabisa aliposema moja wa maadui wakubwa kabisa wa Watanzania ni UJINGA.
Bila shaka huyo si mwingine bali....Dr Johb Pombe Magufuli....dawa ya kansa ya ufisadi