Chagua aina ya ndoa unayoizimikia

Chagua aina ya ndoa unayoizimikia

Cha nusu saa.Eeh naona tangu uchumba wako uvunjike ulipetea kweli,vipi umepata mwingine?
 
Number 5 kwa vile kila mda ukipita mapenzi yanazidi mazoea ndo usiseme.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mbona sijaona tafadhali niwezeshe au nipige tafu?
 
Laiti NDOA Ingekuwa ya vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha milele? Kuwa mkweli usiiche!?

cha mwaka mi knatosha..
 
Maneno yatokayo mdomoni mwako ndio kifungo chako..nikimaanisha maneno huumba, sitaki kujitia mkosi, Ya milele itakuwa nzuri kwangu,
 
Back
Top Bottom