CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

Una maana ulikuwa unamkubali sana SHONZA, basi subiri 2015 utaona athari za SHONZA na MWAMPAMBA kutoka CHADEMA.
Nakusamehe, umejiunga na JF juzi. Mimi ni moja wa watu waliokuwa wakiilaumu Chadema kwa kuwakumbatia hao wasaliti kwa muda mrefu kwani nilijua walivyorubuniwa toka mwanzo.
Utambue pia kuna mambo mengi sana ambayo pengine yametokea kwa sababu ya hawa vijana kuondoka CHADEMA.
Ha ha haaa! Ninavyojua toka wajitoe, Chadema imezidi kujiimarisha...je unahitaji ushahidi au takwimu? Chagua mwenyewe!
1.Kugundulika kwa unyama wa WIFRED LWAKATARE
Ebo, kumbe! Wanga huingia kazini usiku lakini siku ya kufa nyani ikifika, hujikuta jua limewawakia tena mchana kweupee!
2. ZITTO kabwe kukosa morari ya kujihusisha na masuala ya chama
Ahaa! Siri hubakia ya mtu moja, ikizidi hapo si siri tena. Asante Enzizamwalimu, mtaumbuana bila kujua.
3. Nguvu ya CDM Ughaibuni kupungua kwa asilimia kubwa
Sijui ughaibuni gani unaouongelea! Je huko ughaibuni wanapiga kura?
4. matumizi ya nguvu na pesa nyingi sana katika uchaguzi mdogo katika mji wa arusha pamoja na kwamba CHADEMA walisema hata wangesimamisha jiwe na CCM lingeshindwa
Chadema wakatumia pesa nyingi hadi kuishinda serikali! Chadema kumbe kiboko!
5.CHADEMA kuwa na watu maalum wa kukabiliana na SHONZA na MWAMPAMBA kwenye mitandao ya kijamii na majukwaani
Sidhani Chadema wanaweza kwenda that low. Yaani Chadema iwafukuze halafu iweke watu maalum kukabiliana nao mitandaoni! Idiocy should be made of sterner stuff, pole sana Enzizamwalimu.
6.Tukio la JULIANA SHONZA kutaka kushambuliwa na watu walioaminika kuwa wafuasiwa CHADEMA kwa kisingizio cha ujambazi pale DODOMA.
Yale yaleee! Nani ahangaike na Juliana Shonzi kama si vijana wa UVCCM ambao hawakuweza kuzuia hisia zao hawa wasaliti kukumbatiwa na wao kusahaulika, ja umesahau?
Yapo mambo mengi ambayo kwa hamtaki kukubali kuwa hawa vijana wanawanyima usingizi na hayoni baadhi tu.
Nadhani hapa unakosea, wanaokosa usingizi kweli unashindwa kuwatambua!...mithread kibao isiyo na kichwa wala miguu; mara Chadema imekimbiwa na katibu mwenezi wa kata, really? Enzizamwalimu, it is a pity umeamua kiasi hiki kulidhalilisha jina la Baba wa Taifa? Ni Samsung za Makamba zinazowakosesha watu usingizi...wow!
 
Last edited by a moderator:
... we July huyo jamaa ni mchumia tumbo kama wewe, angalia kauli yake eti "nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia mpaka nikasaidiwa na ccm" unategemea mtu kama huyu atakaa chadema..!!?? sisi tunasaidia chama sio chama kugawa misaada, kwani imekuwa ccm ? yaani huyu asingetoka mwenyewe tungemtimua kama tulivyokufanya wewe...

Saluti kamanda!
 
mods hii inadhalilisha Jukwaa..,kama mnafikiri inanidhalilisha mimi tu endeleeni kuwaacha hawa watu kisha mtaona mwisho wake. Ondoeni hawa wapuuzi humu.
Ama kweli mkuki kwa nguruwe...Wewe umewaambia wanalala na bundi,sasa ulitaka wakwambie unalala na nani?
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Julie mdogo wangu hii sio issue. Kuhama na kujiunga na chama ni kama kufa na kuzakiwa. Taarifa hii ingenoga kama ungetupa idadi ya wanachama wanaoondoka dhidi ya wanaobaki. Pia wanaojiunga ni wangapi. Pia ingesisimua endapo mtu mkubwa kama Prof. Mkumbo lakini kapuku wenzangu tunahama mradi nikipigwa ulabu na finyango moja ah tunaona timefanikiwa.
 
Mbona umeishaambiwa siku nyingi wewe dada!
Hakuna mtu safi aneyehama CDM, Moto wa CDM hawauwezi hata kidogo, waliotumwa wote wanarudi kwao!
Walifikiri watapewa kanga na kofia kama magamba! Hao hawaitajiki kama wewe ulivyofukuzwa!
Pole sana kwa kuumia sana CDM !
By the way nakusifu kwa kutengeneza ajira ya buku 7 maana unajitahidi kuzitafuta!
 
Njaa zake zinamsumbua, alitaka wampe chakula?watanzania tuache ulimbukeni na tufanye kazi kwa bidii, je na wale walosombwa na malori wakatelekezwa na kupewa msaada na gari la M4C wafanyeje?
 
Kumbe katibu mwenezi wa kata ha!ha!ha!

Mwanachama na kiongozi yeyote katika ngazi yoyote iwe katika chama ama serikali ni muhimu, kwa taarifa yako. Kila chama kijichunguze kwa nini kinapoteza wanachama ama viongozi. Kikipata majibu kijirekebishe ili moto wa kuwaletea wananchi maendeleo uendelee kuwaka.
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Julie mdogo wangu hii sio issue. Kuhama na kujiunga na chama ni kama kufa na kuzakiwa. Taarifa hii ingenoga kama ungetupa idadi ya wanachama wanaoondoka dhidi ya wanaobaki. Pia wanaojiunga ni wangapi. Pia ingesisimua endapo mtu mkubwa kama Prof. Mkumbo lakini kapuku wenzangu tunahama mradi nikipigwa ulabu na finyango moja ah tunaona timefanikiwa.
 
Mwanachama na kiongozi yeyote katika ngazi yoyote iwe katika chama ama serikali ni muhimu, kwa taarifa yako. Kila chama kijichunguze kwa nini kinapoteza wanachama ama viongozi. Kikipata majibu kijirekebishe ili moto wa kuwaletea wananchi maendeleo uendelee kuwaka.
Ndio Maana ya Demokrasia. Kuhama chama kingine ni haki yake, na wala sio ushujaa. Tumejikita kivipa vyama heshima kuliko yako na heshima na utu wa mtu.
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Chadema hakuna wauza sembe, wangoa kucha mafisadi, matahira, wapumbavu, majangili....
 
Kweli CCM kwisha kazi yenu yaani leo mnasherekea kiongozi sijui mwenezi kata kuhamia ccm....
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Hivi toka ule uchaguzi wa Arusha ndo unazinduka leo
 
Hakuna hoja ya kujadiliwa. Kuna mkusanyiko tu wa maneno; empty words.

Hawa akina Simiyu ni wenye fikra mufilisi. Dada Julie alipenda kushirikisha anachowaza na haikuwekwa mipaka ya uchangiaji. Kwa hoja alitaka wanaoshabikia hoja yake, basi hamna haja ya mijadala. Ushauri kwa Simiyu anzisheni mtandao wenu ambao mtatutaarifu tuwetunapeana sifa.
 
tatizo lako uko kimaslahi sana ndo mana unaropoka ok wahi halali yako mtaa wa lumumba kabla awajafunga.
 
Watanzania wote mwaka 90 tulikuwa wanachama,wakerekewa na wapenzi wa ccm.hiyo unayoita kumeguka kwa cdm sijui ni kupi?
kwa akili yako fupi unafikiri duniani wengi ni wanaokufa au wanaozaliwa?
 
Hicho kifo ni majibu ya
Mungu kwa CCM Bwana alitoa hakutwaa, CCM ndiyo iliyotwaa. Sasa
tekelezeni Plan B.

Mkuu Mimibaba, hapa cjakuelewa kabisa unaweza kufafanua kidogo??? Ina maana hiyo ajali ina mkono wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
"Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja."
Wazee wenzangu tulioasisi hiki chama , tafadhali watu wa aina hii si wa kupokea katika chama labda kama sasa Chma kimekuwa cha kutoa hisani kwa watu ili tuwavute wajiunge. Vitendo kama hivi tukiviacha viendelee tutakuwa na wanachama njaa tu na siyo wale wenye uchungu na nchi hii na hata chama. Hiki si kitu cha kujivunia bali ni balaa katika chama, kumbukeni enzi zetu wakati wa TANU na hata CCM miaka yake ya mwanzo hatukupewa misaada ili tujiunge na chama bali tulitoa misaada kwa chama kukijenga, hali imebadilika, tunatumia pesa kupata wanachama, hakika hiki wangefanya vyama vipya lakini si chetu kikongwe, tulipofikia hapa si pa kujivunia kama wengi wanavyofikiri bali ni pabaya. Ni wangapi wa aina hiyo tutawasaidia? Msaada wa kweli ni kutekelwza ILANI ambayo hata kipengele kimoja hakisemi kuwa tutoe misaada kwa watu binafsi ili wajiunge na chama. Kwa mawanachama makini hiki hawezi kukifurahia!
 
Back
Top Bottom