CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

hv kumbe bado kuna wananchi wanaochagua jiwe lenye rang ya ccm badala ya mtu? alafu ndo wakwanza kulalamika maisha magumu.me siangalii chama chochote.ila wale wote waadilifu ndo nawakubali ila magamba magarasa mengi. chukua hatua 2015 haraka kujenga wanao wacje teseka kama nw sisi na kwa maendeleo ya taifa lako la TANZANIA.
 
KUMBE NI KATIBU MWENEZI WA KATA SIO HATA WILAYA EBU JIBU TUHUMA HIZI HAPA WE KIDAMPA WA MWIGULU....

[h=2][/h]
Habari kutoka ndani ya jeshi la polisi Arusha baada ya watuhumiwa wawili ' inspekta Daudi shoga' na Nasoro kutiwa mbaroni kwa tuhuma za kushiriki mauaji ya Soweto Arusha kwenye mkutano wa chadema, tukio hili limeonekana kuwa ni 'organized crime' iliyoyojumuisha watu ziadi ya 6 akiwemo Mwigulu Nchemba , Juliana Shonza na Mtela Mwampamba .

Habari za ndani kutoka kwa askari aliyeomba jina lake lisitajwe zinasema watuhumiwa waliokamatwa wamewataja makada hao wa CCM kuwa ni sehemu ya watu waliokaa vikao kadhaa na kupanga tukio hilo la kinyama lililoua watanzania kadhaa wasio na hatia.

"ni mipango michache tu inakamilika very soon ili kuwakamata makada hao wa CCM kwa utaratibu utakaoondoa shaka mbele ya jamii juu ya uhusika wao moja kwa moja juu ya uuaji huu uliofanywa na binadamu hawa wenye roho za ajabu kuliko hata wanyama, huyu inspekta Daudi analia sana na anajuta kumwaga damu isiyo na hatia" Hayo ni maneno ya askari wa kituo kikuu arusha aliyetonya habari hizi za vibaka hawa wa demokrasia.

source: Askari polisi aliyeomba jina lake lisiwekwe hadharani.

Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Hivi maana ya pigo kubwa unajuwa wewe! napata wasiwasi na uelewa wako, eti katibu mwenezi kata ni pigo! are you cr*zy or what?

Ni ujinga mtu kuuza utu wako kwa sababu tu ulisaidiwa matatizo na CCM viongozi njaa kama nyinyi ni sumu hampaswi kuwepo CDM, na sasa mtajiuza sana tu kwani hapo mlipoingia ni takrima kwenda mbele.

CHADEMA ni mali ya watanzania wenye uchungu na nchi yao ambao wapo tayari kufanya kila linalowezekana kuhakikisha mkoloni mweusi (mafisadi na nyinyi vibaraka wao) mnairudisha nchi kwa wananchi.
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Wewe laana inakusumbua am sure Jmpenzi wangu Juliana lazima uje ujinyonge si bure mpenzi wangu taangu ulipoanza kunisalitinilikwambia tulia mama sasa unaona unavyohangaika naomba uniPm mama niombe msamaha
 
Kumbe sababu ya kutoka ni hii hapa chini!Huyu basi alikuwa kama minyoo ndani ya chama kwani chama kinafadhiliwa na wanachama alafu mwanachama aje kutafuta msaada tena!Juliana kweli naamini sasa unachizika ila kupunguza garama za kukusafirisha wahi kurudi kijijini.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
 
tz politician hawajielewi.....#tz many river to cross#waiter lete kama tulivyo
 
Kule Kwetu mbozi mtu kama wewe huwa tunamuita zyapunga,(hamnazo)
Nimekusamehe bure ,hayo matusi yenu hayanifanyi niache kuwapa bashrafu ,tukaneni weeeeee ila hapa kwangu mwarobaini nitawanywesha tu mtake mistake

We ndio lyapughile huo mwarobaini si umnyweshe mwigulu uliyezoea kumnywesha?
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Bila haya kabisa J unaleta habari kama hii???!!!! yani sisimizi mmoja asiyejielewa kujiondoa katika njia wanayopita Tembo waloshiba na wenye mwelekeo imara alafu ushangae bado wengine pia muwapokee wanashida sana ya vijisenti vya LUMUMBA ila ukweli mtaupata 2014-2015.
 
Mbona watu wengi sana wamekula fedha za madawa kule chadema lakini wamepuuza wakarudi zao kwenye vyama vyao vya asili.
WImbi la madawa ya kulevya ni gumzo mjini kwa sasa......likihusisha majina makubwa Kama Rizwan,Kinje,..Juma Pinto etc ..

Habari za kipelelezi bado zinajiuliza ILIKUWAJE wale mabinti wakati wanaondoka JK Nyerere wakasindikizwa na Juma Pinto? W
as it a coincidence ....?

kinje Ana makazi South Africa na alikuwa awapokee wale mabinti...(off course inadaiwa mabegi matatu yalitoroshwa) ...
kule south mabegi matatu yaliyobakia BAAADA ya kupimwa inasadikiwa kuwa kilichokutwa kule ni jamii ya unga ambao hauna adhabu kisheria kukutwa nao....inawezekana mtandao wao kule umefanyaa chakachua ...dola milioni 6 sio mchezo na Siku hizi south ni wala rushwa tu Kama hapa .....matunda ya uhuru.....idara ya Polisi south Haitoi ushirikiano tena kwenye upelelezi ...na likely mabinti with matter of time wataachiwa...
Hawa mabinti (punda tu) walikuwa wafanyakazi wa City Sports Lounge ...biashara ya Juma Pinto ...RAFIKI wa Rizwan ambaye pia anadaiwa kuwa mbia wake kibishara...

GAZETI LA JUMA PINTO ...JAMBO LEO ...BAADA YA MWAKYEMBE KUANZA KUPAMBANA NA WATU WA AIRPORT ...LIKAANDIKA ..MAISHA YA MWAKYEMBE HATARINI.....( Sijui ni kumchimba mkwara au )

BAADA YA HAPO PROPAGANDA ZA KUMTISHIA MAISHA MWAKYEMBE ZINAENDELEA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI AU WAANDISHI WA HABARI ZIKIRATIBIWA NA PINTO....
.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...be-hatarini-pinto-aliwasindikiza-airport.html

Hapo kuna mwana CHADEMA yeyote aliyehusishwa na biashara ya SEMBE? usitake kukwepesha ukweli juu ya wauza SEMBE na sijui kwa nini unafanya hivyo je wewe ni mnufaika na hiyo Biashara inayofanywa na CCM?

Wakati mwingine maisha yanachangamoto sana,na kama hujapata washauri wazuri lazima uichukie dunia hata kama wewe ndo umeikosea.

Katika hali ya kawaida Juliana kweli miaka 2 nyuma vision yako na siasa zako zililenga siasa za kata ? Makamu Mkiti Bavicha Taifa ! Pole sana.Ushauri wa bure,acha kulazimisha status uliyoipoteza kwa tamaa za kijinga,kubali kwamba ulifanya makosa makubwa ya maamuzi hii itakusaidia kujipanga na pengine kurudi kwenye position yako lakini tayari ukiwa umekubali kujiadhibu,nje ya hapo kuendelea kusema uongo kuwa Chadema inashuka huku moyoni ukikiri kuwa inapanda unajiweka ktk mgogoro wa nafsi ambao ni mbaya kuliko aibu uliyo nayo kwa sasa.

Ndio maana kwenye chaguzi huwa tunawapiga
Bao la kisigino maana ngazi za chini mnazipuuzia mnakazana na ngazi za juu,hakika chadomo mtaishia kuwa wasindikizaji na waropokaji
Kiongozi ni kiongozi hats awe wa shina au shehia hawa ndio wadau wakuu wa ushindi
Tatizo iyo ni saccos sio chama cha kisiasa ,hivyo hamuwezi yajua haya enyi wajasiriamari wa kisiasa
 
We Mpunganyi (Hamnazo) ma..........sin>>>>>>>>>>>>>>>>>>>O kwani Uongo Huvui chupi wewe siku tu weke video wanakugegenda humu au tukadown load kwenye blog za pono? Ujue ukiwasaliti watu lazima wanakufuatilia nyendo bila wewe kujua hii dunia usikute ushategewa kamela mpaka chooni hujui,bafuni au unakofanyia shaving if any, unakazi sana so watu wakisema humu haimaanishi ni waongo
Hahaaaaaa bwana mdogo labda
hunijui vzr unadhani mm ni sawa nahao
Listen carefully,am a super ironic woman huwezi nipata popoteee ,na kama unahisi ww unaweza nakuruhusu weka hapa jf upuuzi unaosema this time am waiting
 
jiandae kuunganishwa na watuhumiwa wengine kwa tukio mlilofanya soweto arusha inpekta daudi amekutaja wewe na shosti ako pamoja na gaidi mkuu nchemba,
damu hii itawatafuna maCCM kuanzia kizazi cha 1 hadi cha 9.
 
Bora umejileta maana Ile pumba yako uliyoandika nimekuta mods wameitupa Kulee
Hebu niambie ni kituo Gani nikaripoti mwenyewe asubuhi mkuu
 
Hahaaaaaa bwana mdogo labda
hunijui vzr unadhani mm ni sawa nahao
Listen carefully,am a super ironic woman huwezi nipata popoteee ,na kama unahisi ww unaweza nakuruhusu weka hapa jf upuuzi unaosema this time am waiting
This time u are waiting ...U think is a joke, U wait girl!!! We want to show the Word how dirty U are!!!
 
This time u are waiting ...U think is a joke, U wait girl!!! We want to show the Word how dirty U are!!!
Kwabahati mbaya huwa sipendi maneno sana ,napendelea vitendo zaidi so guys niambieni ni kituo
Kipi nikaripoti ili kama ni archuga niondoke na ndege na ndege ya asubuhi ili niwahi
 
Mimi mwanamke wa shoka ndio maana wanaume wazima mnaacha kulala nawakeshesha eti mnapambana na mwanamke mmoja nyie mpo zaidi ya 100
Hahaaaa mnaacha kujadili mada mnanijadili mm iron lady
Hahaaaa hapana chezeya mm nyie
Acha kudharirisha wanawake nani kakwambia mwanamke hawezi kupambana na wanume jinga zima pamoja na kufika chuo bado kimeathirika na mfumo dume..kwani yule councilor wa ujerumani si mwanamke na anpiga kazi na aliwabwaga wanaume usitumie genda kutafuta huruma , au hujasoma falsafa mwal. mzima
 
Kwabahati mbaya huwa sipendi maneno sana ,napendelea vitendo zaidi so guys niambieni ni kituo
Kipi nikaripoti ili kama ni archuga niondoke na ndege na ndege ya asubuhi ili niwahi

huna ubavu wa kukanyaga arusha with your own consent.

Narudia tena, very soon you will be served what you deserve.
 
Mkuu acha unafiki na kupindisha mada... Mimi ni kijana wa Lumumba kama wewe, hivi ni nani hapa Lumumba asiyejua Mwigulu anamgonga Juliana. Pia, imefika paala hadi anamlipia Masters...
Mtashindana sana ila hamtashinda.
 
Back
Top Bottom