Hivi huyu Shoza ana elimu gani? naomba wanaojua watujuze tafadhali...ili nisimshambulie kabla sijajua kiwango chake cha elimu na in msaidiaje/
elimu hiyo hiyo inayokutoa kamasi inamtosha, akizidisha utaokota makopo.

Juliana -
That you are a politician must be quite an accomplishment for a person of your calibre. Your childish utterances are merely political verbal diarrhea from a most foul , immature, insensitive turn-coat.
Grow up! Juliana Shenzi is more likely than ever a fitting accolade you ought to revert to.
What is marked red is a punch under the belly so typical of bonkers like you. A very ugly rant.
Sisi hatuna haha yakupeana matumaini maana nchi imo mikononi mwetu,tunatekeleza ilani kwa maendeleo ya wote
Nyie mnaoota ndoto za mchana zakuchukua nchi
ndio mnaojifariji ,
Nchi hii itabaki kuongozwa na ccm,kibwetere ataishia kuisikia redioni
elimu hiyo hiyo inayokutoa kamasi inamtosha, akizidisha utaokota makopo.
...hahaahaaaa mkuuu acha assumtion bhana, haka sijui kamatendaji ni kachumia tumbo tu kama mamaa shonza,in anyway huwezi kukituhumu chama kwa kutoshughulika na ishu zako binafsi, ndo kwaanza tumeanza vita dhidi ya mkoloni mweusi aliyejificha ndani ya "amani na utulivu"....
Dada angu, ukishaona mtu anatumia ID ya Kilimanjaro jua huyo ni MMachame achana naye, songa mbele.
Njaa yako imepitilza.Sisi hatuna haha yakupeana matumaini maana nchi imo mikononi mwetu,tunatekeleza ilani kwa maendeleo ya wote
Nyie mnaoota ndoto za mchana zakuchukua nchi
ndio mnaojifariji ,
Nchi hii itabaki kuongozwa na ccm,kibwetere ataishia kuisikia redioni
Juliana Shonza kwanini Mwigulu Nchemba amekuacha ziara ya USA na akafika kule akachukua dem mwingine?
lazima uwe na wivu
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Tatizo nyie ndugu zetu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njaa,badirikeniNjaa yako imepitilza.

Mtaishia kusema watu wanaoikimbia cdm wamepewa-pesa kisa hamtaki kuamini kwamba chadomo ndio inakufa hivyoJuliana Shonza,huoni ujinga kuripoti habari hii ya kudhalilisha.Inakudhalilisha wewe pamoja na huyu katibu wa hiyo kata kwa sababu wote mmetoka Chadema baada ya kupewa hela na CCM.Chama kikongwe namna hii hakina hata soni kujiimarisha kwa kuhonga watu.Shame on you.
Asante mkuu,hongera kwa kupata chuo .
MA Sociology
[TABLE="class: MsoTableGrid, width: 241"]
[TR]
[TD="width: 49"]S/NO
[/TD]
[TD="width: 226"]NAME
[/TD]
[TD="width: 47"]SEX
[/TD]
[/TR]
i[TR]
[TD="width: 49"]1
[/TD]
[TD="width: 226"]KALANGA, Laibor
[/TD]
[TD="width: 47"]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]2
[/TD]
[TD="width: 226"]NKAINA, Elizabeth Robi
[/TD]
[TD="width: 47"]M
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]3
[/TD]
[TD="width: 226"]MMARI, Eunike, Harold
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]4
[/TD]
[TD="width: 226"]NCHIA, Devotha
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 49"]5
[/TD]
[TD="width: 226"]JULIANA, Shonza
[/TD]
[TD="width: 47"]F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Haba na hujaza kibaba na polepole ndiyo mwendo.
Mjanja anasimamia hoja, mjinga anatukana.
Tatizo nyie ndugu zetu mkiambiwa ukweli mnakimbilia kusema njaa,badirikeni
,