Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
.
Majibu yote yapo hapo. huyu alitegemea akiugua au akipata matatizo chama kiwe bima kwa ajili ya matatizo yake naamini alikuwa wrong sana.
pili kuamia kwake CCM mni kutokana na hizo fadhila hapo na hili kw avyovyote alitokani na akili yake bali ni tumbo au shida tu ndiyo zinazo mrudisha huko, akitulia na kujitambua naamini ataacha siasa maana itakuwa ni aibu.