CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

Acha ubazazi .........kuwa na akili timamu...........achenu kupakaza matope kwa jambo ambalo hata mtu hajafanya.........
 
Juliana Shonza naomba nikuulize kaswali kadogo tu; kama kwa kutoka (kufukuzwa) kwenu Chadema, wewe na wasaliti wenzako mkiwa viongozi wa kitaifa, Chadema haikutetereka, iweje leo kutoka eti kwa katibu mwenezi wa kata Chadema itetereke?

Una maana ulikuwa unamkubali sana SHONZA, basi subiri 2015 utaona athari za SHONZA na MWAMPAMBA kutoka CHADEMA.
Utambue pia kuna mambo mengi sana ambayo pengine yametokea kwa sababu ya hawa vijana kuondoka CHADEMA.
1.Kugundulika kwa unyama wa WIFRED LWAKATARE
2. ZITTO kabwe kukosa morari ya kujihusisha na masuala ya chama
3. Nguvu ya CDM Ughaibuni kupungua kwa asilimia kubwa
4. matumizi ya nguvu na pesa nyingi sana katika uchaguzi mdogo katika mji wa arusha pamoja na kwamba CHADEMA walisema hata wangesimamisha jiwe na CCM lingeshindwa
5.CHADEMA kuwa na watu maalum wa kukabiliana na SHONZA na MWAMPAMBA kwenye mitandao ya kijamii na majukwaani
6.Tukio la JULIANA SHONZA kutaka kushambuliwa na watu walioaminika kuwa wafuasiwa CHADEMA kwa kisingizio cha ujambazi pale DODOMA.

Yapo mambo mengi ambayo kwa hamtaki kukubali kuwa hawa vijana wanawanyima usingizi na hayoni baadhi tu.
 
Nimepitia michango mingi kwenye hii mada, Mbona watu wanamjadili shonza badala ya mada? kwa nini? tujikite kwenye kujadili mada kwa maendeleo ya nchi, udaku wa shonza kafanya hivi na vile so what?
Pole sana dadangu JULIANA SHONZA inabidi
uwavumilie watu wa aina hii ya iron boys.[/QUOTE
]
Wala usijari mkuu hawanisumbui Mimi hawa wafuasi wa kibwetere maana wanaonyesha upeo wap wakujadili mambo ya msingi ni mdogo sana
 
Safari inaendelea watabomoka sana mwaka huu mpaka tufike tuendako atabaki mtei,slaa na mbowe kwenye chama siyo vinginevyo.

mtaota sana ndoto za mchana mwaka huu.anatoka 1 wanakuja 100.shetani atatukoma 2015
 
Hivi kumbe bado upo kwenye siasa, nilifikiri umetafuta kazi nyingine 'halali' ili kuendesha maisha yako ya kila siku baada ya wenye chama chao kusema hawaoni faida yoyote tangu uhamie sisiemu. Kila la heri!

Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
 
Una maana ulikuwa unamkubali sana SHONZA, basi subiri 2015 utaona athari za SHONZA na MWAMPAMBA kutoka CHADEMA.
Utambue pia kuna mambo mengi sana ambayo pengine yametokea kwa sababu ya hawa vijana kuondoka CHADEMA.
1.Kugundulika kwa unyama wa WIFRED LWAKATARE
2. ZITTO kabwe kukosa morari ya kujihusisha na masuala ya chama
3. Nguvu ya CDM Ughaibuni kupungua kwa asilimia kubwa
4. matumizi ya nguvu na pesa nyingi sana katika uchaguzi mdogo katika mji wa arusha pamoja na kwamba CHADEMA walisema hata wangesimamisha jiwe na CCM lingeshindwa
5.CHADEMA kuwa na watu maalum wa kukabiliana na SHONZA na MWAMPAMBA kwenye mitandao ya kijamii na majukwaani
6.Tukio la JULIANA SHONZA kutaka kushambuliwa na watu walioaminika kuwa wafuasiwa CHADEMA kwa kisingizio cha ujambazi pale DODOMA.

Yapo mambo mengi ambayo kwa hamtaki kukubali kuwa hawa vijana wanawanyima usingizi na hayoni baadhi tu.
Nimekugongea like mkuu
 
Julaina huna santuri ingine?
katibu wa kata ndio unasema pigo kubwa?
elimu yako mlimani nina mashaka kama ulifaulu bila kudesa au kufanyiwa UE
ni aibu kama UDSM inashindwa kuzalisha vijana wasiojua kutumia bongo zao..
upuuzi huu peleka kijiweni lakini sio ktk jukwaa kubwa kama hili,
CCM umeshachuja pole yako hata Mwigulu hakuona umuhimu wa kuongozana na wewe Marekani.
 
Hivi nyie vijana mnafikiri kuwa hamuwezi kuishi bila kuvua chup?... Wewe si una-degree, sasa kinachokufanya ushindwe kuishi bila kuvua chup ni nini?..
Kweli chadema ni shimo la matusi siamini kama haya maneno yanatoka kwenye kinywa cha binadamu kwa mwendo huu sijui kama yesu atakuja tena .
 
Sikuamini kama juliana anaweza kuwayumbisha kiasi hiki vijana wa bavicha wameshindwa kujadili mada na kuanza kutukana kama wagonjwa.
 
Huu ndo uwezekano mkubwa wa huyu mganga njaaa.......Tena mimba ya mwiguluneti

Mimba changa zinachanganya sana, hapo lazima atakuwa na hasira sana, si anajua Mwigu alivyo kicheche, lazima huko US atakuwa amewamega wake za magamba wenzake...
 
Kweli chadema ni shimo la matusi siamini kama haya maneno yanatoka kwenye kinywa cha binadamu kwa mwendo huu sijui kama yesu atakuja tena .

Wapi nimesema mimi chadema? mimi ni ccm mwenzako na inaniuma sana awa wakina dada wanavyovuliwa chup hovyo-hovyo....
 
Sikuamini kama juliana anaweza kuwayumbisha kiasi hiki vijana wa bavicha wameshindwa kujadili mada na kuanza kutukana kama wagonjwa.

Mkuu acha unafiki na kupindisha mada... Mimi ni kijana wa Lumumba kama wewe, hivi ni nani hapa Lumumba asiyejua Mwigulu anamgonga Juliana. Pia, imefika paala hadi anamlipia Masters...
 
Safari inaendelea watabomoka sana mwaka huu mpaka tufike tuendako atabaki mtei,slaa na mbowe kwenye chama siyo vinginevyo.

Kumbe mkuu ulipata degree yako Mtwara?ulisoma chuo cha kata gani?chikongora,chuno au mdenga namadi ?
 
Andishi lako linasema ni njaa ndio ilimkimbiza.. Mbona pos turn.. Waganga njaa kama kina Shonza hawawezi kuwa sehemu ya kupigania mabadiliko ya kimsingi kwa maslahi ya wengi
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Kujibu post ya Shonza ni kupoteza muda; yafaa apuuzwe tu! Amevaa kanzu halafu anapiga serekasi.
 
Back
Top Bottom