CHADEMA yazidi kumeguka...!

Hahaaa we naona hunifahamu unanisikia sikia tu
Mwigulu Nchemba ndo anakufamu.
narudia tena very soon utawajibishwa kwa mauaji ulioshiriki Soweto Arusha.
ulidhani baada ya pale tutalala tu?

narudia tena, very soon you will be charged and convicted for the murder.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni jeshi la mtu mmoja,nyie wazee wa ufipa mpaka mkusanyane Ndio mje hapa kutukana
Hahaaa baadae sanaaa
 
Mwigulu Nchemba ndo anakufamu.
narudia tena very soon utawajibishwa kwa mauaji ulioshiriki Soweto Arusha.
ulidhani baada ya pale tutalala tu
narudia tena, very soon you will be charged and convicted for the murder.
Mkuu waswahili walisema ngoja ngoja yaumiza matumbo hiyo soon itafika lini?
Naisubiri kwa shauku kama ayala ayaoneavyo shauku maji ya mto
 
Last edited by a moderator:
Mkuu waswahili walisema ngoja ngoja yaumiza matumbo hiyo soon itafika lini?
Naisubiri kwa shauku kama ayala ayaoneavyo shauku maji ya mto

narudia tena, very soon utaunganishwa na watuhumiwa wenzako wa tukio la bomu arusha.
damu mliyomwaga itaangamiza kuanzia kizazi chenu cha 1 hadi cha 9.

narudia tena, very soon unakamatwa.
 
Tatizo iyo ni saccos sio chama cha kisiasa


BIG RESULTS NOW (BRN)
Implememtation will focus on six priority areas of economy:
1) Energy and natural gas
2) Agriculture
3) Water
4) Education
5) Transport
6) Mobility of resources.



Jenga hoja kuhusu haya labda utajiongezee "ka-status" achana na longolongo ya mwenezi kata. however I believe that under ccm of yours this'll be
"MISSION IMPOSSIBLE"
 
Kwa sasa una fursa gani?
 
Na bado wataisha wote hao,watakaobakia kule ni wale vibaraka na wapiga hela.
Nalog off
 
Ninanukuu"Nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia,nikasaidiwa na ccm" ,yaani haya ni maelezo ya mtu mwenye akili kweli?,yaani unakwenda maali kwa shida si kwa mapenzi,hapo maana yake ata wangekusaidia CCK ungehamia,wangekusaidia UDP ungehamia n.k.,watu wa namna hii ni wa kuogopa sana,alafu na nyinyi ccm mnashangilia kumpata mtu kama huyo,ambaye anaendeshwa na shida zake.
 
Seriously, Juliana you're more than a political prostitute. Yaani na akili zako timamu unaweza kutaka kuuhadaa umma kuwa kuijengua kwa Katibu Mwenezi wa KATA ni pigo,let alone kumeguka, kwa Chadema?

You indeed are one hopeless woman.
 
Juliana naomba namimi niweke kapost kangu hapa: comments nyingi nilizozisoma humu baada ya wewe kuweka post yako si nzuri hususani kwa taswira yako ya kisiasa. Hivi basi nakuomba usizipuuze, jitathnini ni wapi ulipokosea. Na kama si wewe basi viongozi wa chama chako inabidi wafanyie kazi hili suala kwani linatoa picha ya jinsi unavyokubalika na jamii ya watu wasomi (online community). Binafsi nakushauri uangalie yafuatayo:
1) Kwanini watu wanahisi unazini na mwigulu nchemba? Je ni ukaribu wako na yeye wenye kutia mashaka? Na je unajua ni mume wa mwanamke mwenzio?
2) Kwanini watu wanaamni umeshiriki tukio la bomu Arusha?
3) Je kwanini ukiweka comment kama hii, watu wanajaribu kulink IQ yako pamoja na elimu yako ya chuo kikuu? Je hii inatokana na aina ya topics unazozichagua labda zinakuwa na mrengo wa tofauti na matarajio ya wengi?
 
Chama kumeguka ni pale Nape na Kinana wanamtumia MCHINA kueneza sumu yao kwa wananchi na Benard Membe kuwatolea uvuvi wote wawili.
Benyewe kwa benyewe CCM banakabana roho
 
juliana wewe ni muuaji na damu ya mtu huwa haipotei bure,itakutafuna wewe na bwana wako mwigulu,pia nakshauri uache ufuska na umalaya wako mwigulu ana mke
 
Hahaaaaaa bwana mdogo labda
hunijui vzr unadhani mm ni sawa nahao
Listen carefully,am a super ironic woman huwezi nipata popoteee ,na kama unahisi ww unaweza nakuruhusu weka hapa jf upuuzi unaosema this time am waiting
Mchemba ameshakuchoka anatafuta dogodogo nyingine wewe ameshakuweka kwenye group la scrapper
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa.
Dada yangu Juliana, nakushauri acha kujidhalilisha!, hata kama hiyo digrii yako ni ya chupi!, usifanye kila mtu akajua ndio hivyo!, jisetiri japo kidogo!.

Hebu angalia contradiction kwenye bandiko lako kwa "habari ya kusisimua" alafu unatoa "pole ya dhati kabisa!".
Kama unajijua uko ok, endelea tuu, kwa sababu kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu uokote makopo!.
Kiukweli kumbe Chadema iliwabeba wengi!, baada ya kutoka ndipo sasa tunagundua kuwa hata makapi ni afadhali kidogo, hizi ni pumba kabisa za kupeperushwa na upepo!.

Ulipotimuliwa, jamaa yangu huyu alikutetea sana hapa, Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili ..
laiti angesikilizwa, kumbe Chadema ingekuwa inaendekeza vichaa!.

Ila pia hongera zako!, kwa CCM hapo umefika, ndipo penyewe na unafit sana!, hata Tambwe Hiza alipokuwa CUF alikuwa tofauti, alipoingia CCM naye alianza kwa kubwabwaja kama wewe, endelea tuu wakati wako nawe utafika!. Kiukweli mnakisaidia sana CCM!.

CCM Oye!.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…