Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa.
Dada yangu Juliana, nakushauri acha kujidhalilisha!, hata kama hiyo digrii yako ni ya chupi!, usifanye kila mtu akajua ndio hivyo!, jisetiri japo kidogo!.
Hebu angalia contradiction kwenye bandiko lako kwa "habari ya kusisimua" alafu unatoa "pole ya dhati kabisa!".
Kama unajijua uko ok, endelea tuu, kwa sababu kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu uokote makopo!.
Kiukweli kumbe Chadema iliwabeba wengi!, baada ya kutoka ndipo sasa tunagundua kuwa hata makapi ni afadhali kidogo, hizi ni pumba kabisa za kupeperushwa na upepo!.
Ulipotimuliwa, jamaa yangu huyu alikutetea sana hapa,
Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili ..
laiti angesikilizwa, kumbe Chadema ingekuwa inaendekeza vichaa!.
Ila pia hongera zako!, kwa CCM hapo umefika, ndipo penyewe na unafit sana!, hata Tambwe Hiza alipokuwa CUF alikuwa tofauti, alipoingia CCM naye alianza kwa kubwabwaja kama wewe, endelea tuu wakati wako nawe utafika!. Kiukweli mnakisaidia sana CCM!.
CCM Oye!.
Pasco