CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

Hivi kumbe na wewe ni mhanga wa hizo buku 7 ! Mbona umeshuka namna hii ? Kweli kabla hujafa hujaumbika !
 
we ndo hovyo kabisa..,haujui hata unaongea nini..

Sijui ninaongea nini? uwe mkweli CHADEMA uliondoka kwa ridhaa yako hukufukuzwaaaaa?

Pili CHADEMA haijawafanya kuwa Lumumba hakukaliki, mguu na njia mikoani , hao jamaa zako ambao tunasikia kuwa na wao wamekutosa walikakuwa wanakaa ofisini wanapiga deal kipi kimewafanya waende mikoani kuifagilia CHADEMA? Wewe mwanamke ujitambue.
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

juliana shonza lini mtakuja arusha? Tumemis sana harakati zenu zisizo na matunda....nikiziangalia post zako huwa nakosa imani na chadema..........iliwezaje kukuweka mtu mweupe kichwani kama wewe? Kila nikifikiria wewe ulikuwa kiongozi chadema huwa natamani kurudisha kadi
 
Haa haa haaa kweli masisiem yana akili za kimsukule kweli kweli,eti alipopatwa na matatizo CDM walishindwa kumsaidia alitaka chama ndo kilipie ada za watoto wake au chama ndo kimpe hela ya kununua mboga ndani?,mbona watu wanatumiwa kijinga hivyo jamani!
Pole kwa wale wanaotoka ndani ya safina la bwana maana gharika li karibu
 
Baada ya WanaCCM damu kumshtukia Shonza na Mwampamba kuendekezwa wakati hawajatolea jasho CCM na huku wakiendendelea kula matunda ya kazi ya wenzao kwenye misafara wakawatolea uvivu akina Mchemba, Nape na Kinana, sasa wako nje ya misafara.

Kinachoendelea njaa imeanza kukolea, bora kujiunga na wale wa buku7. Kazi kwelikweli, haya ndio tunayosema mara kwa mara tumia akili yako kupima mambo badala ya kujiingiza kichwakichwa tu kisha unatafuta pa kujishikiza hapashikiki.
CCM sio kama CDM huku hawaziki wanasiasa wachanga na wanaochipukia..,huku viongozi wetu hawahodhi madaraka kama chadema.,.wanatupa fursa na tunazitumia.
Huku hatukuja kwa ajili ziara.,tumekuja kutimiza malengo yetu kisiasa ambapo hakukupewa fursa hiyo chadema ambako kuna waroho wa madaraka na wapenda vyeo kupindukia ambao wanahodhi kila kitu ndani ya Chama, hawatoi nafasi kwa wanachama na viongozi wadogo kupata na kutumia fursa za kisiasa. ni watu waroho sana na wenye chuki na roho mbaya.
 
Kweli CCM tu ndiyo imebakia sasa, asanteee Shonzaa, sasa namuitaaaa Stela Mwampamba. . . . . .
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Bora amekuwa muwazi kuwa kilicho mpeleka CCM siyo ubora wa chama hicho bali kilicho mpeleka huko ni msaada aliopewa na CCM.Hivyo CCM wanatakiwa wakazane kutoa misaada kwa huyu mtu vinginevyo atakapokuja kusaidiwa na ADC watakutaamehamia huko.Huu ni ujumbe tosha kuwa hakuna mtua aliyeko CCM au anaehamia CCM bila kupewa kitu chochote.Mkono mtu haulambwi.
 
CCM sio kama CDM huku hawaziki wanasiasa wachanga na wanaochipukia..,huku viongozi wetu hawahodhi madaraka kama chadema.,.wanatupa fursa na tunazitumia.
Huku hatukuja kwa ajili ziara.,tumekuja kutimiza malengo yetu kisiasa ambapo hakukupewa fursa hiyo chadema ambako kuna waroho wa madaraka na wapenda vyeo kupindukia ambao wanahodhi kila kitu ndani ya Chama, hawatoi nafasi kwa wanachama na viongozi wadogo kupata na kutumia fursa za kisiasa. ni watu waroho sana na wenye chuki na roho mbaya.

Hivi unafikiri kabla ya kuandika unachokianika hapa Shonza?
Nafasi na fursa kubwa uliipata Chadema hadi kuwa Naibu katibu Mkuu kama si Makamu mwenyekiti vyeo ambayo leo CCM huna hata ujumbe wa shina tu huna. Umebaki kuwa vuvuzela, yaana cheering person just for book7.
 
CCM sio kama CDM huku hawaziki wanasiasa wachanga na wanaochipukia..,huku viongozi wetu hawahodhi madaraka kama chadema.,.wanatupa fursa na tunazitumia.
Huku hatukuja kwa ajili ziara.,tumekuja kutimiza malengo yetu kisiasa ambapo hakukupewa fursa hiyo chadema ambako kuna waroho wa madaraka na wapenda vyeo kupindukia ambao wanahodhi kila kitu ndani ya Chama, hawatoi nafasi kwa wanachama na viongozi wadogo kupata na kutumia fursa za kisiasa. ni watu waroho sana na wenye chuki na roho mbaya.

[KWA HIYO KILICHOKUPELEKA CHADEMA NI ULIKUWA UNATAKA UONGOZI ULIPOKOSA UKAENDA CCM ILI WAKUPE UONGOZI, NAONA UMEAMUA KUIWEKA NJAA YAKO HADHARANI, NJAA KUU, NJAA ILIYOFUNGA TURBO.]
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Hivi katika Katiba ya CHADEMA kuna cheo cha KATIBU MUENEZI? Na huyo jamaa aliyehamia CCM alikuwa CHADEMA ili kutatua matatizo yake binafsi?aende hukohuko kwenye misaada ya kifisadi..
 
Juliana Shonza! umekulia CDM mama na ujasiri wote na sifa zote umepatia CDM, hukutumia busara hata kidogo katika harakati zako kisiasa, YOUR FUTURE WAS GLITTERING STAR IN CDM! But for the time being " you are in doom slot". pole sana my fellow UDSM allumni...
 
Dada Shonza wala usijali,hawa wajinga hapa jukwaani wasikupe shida heshima uliyonayo ni kubwa,na thamani uliyonayo haiwezi linganishwa na hawa vibaraka wa chadema.
Endelea kuelimisha Watanzania,Mti wenye matunda haushi kupigwa mawe,ukiona hivyo elewa asilimia kubwa unawaumiza.
BIG UP Juliana.
 
Hii habari nimeamua kuipotezea! Ina uhusiano gani na ahadi ya maisha bora tuliyoahidiwa? Boresheni maisha kwanza, hizo siasa zenu baadae!
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Hapo red inaonesha aliingia CHADEMA ili anufaike na siyo kukinufaisha CHADEMA.

Hapo BLUE alipewa rushwa ndio akahama just kwa sababu 'alisaidiwa.'

waganga njaa kama wewe Juliana Shonza mko wengi sana na mmejiegemeza kwenye ulingo wa kisiasa sio kwa manufaa ya vyama bali kwa manufaa yenu binafsi.

In Chadema we don't entertain such politicians, that is why we kicked you out.
 
Last edited by a moderator:
.................Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee.........

badala ya kuwaza kusaidia wananchi ye anawaza kusaidiwa pekee yake jamaa ana ubinafsi huyo alifikiri Chadema sehemu ya kuvuna pesa pale ni kutumikia tu na kuwa na fikira za kuwa komboa wengine mburula wote tupaaaaaa kule,njaaa hao
 
Dada Shonza wala usijali,hawa wajinga hapa jukwaani wasikupe shida heshima uliyonayo ni kubwa,na thamani uliyonayo haiwezi linganishwa na hawa vibaraka wa chadema.
Endelea kuelimisha Watanzania,Mti wenye matunda haushi kupigwa mawe,ukiona hivyo elewa asilimia kubwa unawaumiza.
BIG UP Juliana.

Ukimchunguza vyema utagundua kuwa ameandikwa BEST BEFORE 2012...so kwa sasa ni takataka kisiasa
 
Dada Shonza wala usijali,hawa wajinga hapa jukwaani wasikupe shida heshima uliyonayo ni kubwa,na thamani uliyonayo haiwezi linganishwa na hawa vibaraka wa chadema.
Endelea kuelimisha Watanzania,Mti wenye matunda haushi kupigwa mawe,ukiona hivyo elewa asilimia kubwa unawaumiza.
BIG UP Juliana.
nashukuru kwa maneno yako yenye kutia faraja.,hawa watu ni wa ajabu sana..,haya ni matatizo ya kutumia vinywaji vyenye vileo vikali kisha wanaandamana kwenye jua kali..akili zao ni za hovyo sana.
 
Back
Top Bottom