CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

kufa kwa imam sio mwisho wa ibada. Kuhama kwa huyo sio mwisho wa ukombozi! Ww unafikiri sasa akihama MBOWE au SLAA hatutaendelea na ukombozi? u have pesa! but we have MUNGU.
 
Huyu Dada,she must be mad,hivi hay a mapenzi na ccm na mwiguru ni ya juzi baada ya kutimuliwa au ya Siku nyingi?,thanks wanaCDM kwa kumgundua huyu nyoka mapema,huyu Dada hafai kwenye siasa za kweli,anaigiza.
 
Kwabahati mbaya huwa sipendi maneno sana ,napendelea vitendo zaidi so guys niambieni ni kituo
Kipi nikaripoti ili kama ni archuga niondoke na ndege na ndege ya asubuhi ili niwahi

wewe juliana domo kaya mtukanaji mkubwa ww ndo wa kusema hupendi maneno ww shetani mkubwa uliyeua watu kisa njaa zako eti upande ndege ya wapi time will tell.
 
Huyu Dada,she must be mad,hivi hay a mapenzi na ccm na mwiguru ni ya juzi baada ya kutimuliwa au ya Siku nyingi?,thanks wanaCDM kwa kumgundua huyu nyoka mapema,huyu Dada hafai kwenye siasa za kweli,anaigiza.


Kaka usifanye mchezo na mkasi unapokolea... Watu wapo ki maslahi, usifikiri anavua chup hivi-hivi tu... Na mikasi inapokolea ndio maana inafika wakati mdada anapelekwa kusomeshwa Masters...
 
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.


Amemeguka baba yako.
 
wenzako wanasikitika jinsi SHONZA anavyowakaba koo, wewe unacheka hahahaaa, ili iweje? wasidie wenzako tena kwa hoja manake wao wanaishia kumtukana tu wakati dada wa watu anawapa facts.
..shonza mwepesi sana,vipo vigingi vya kuleta upinzani lakini si shonza, mtoto uliyemlea hakupi shida hata kama atarukaruka, tunamjua vyema so easy sana kumhandle....
 
Back
Top Bottom