CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Nimeona picha walizochukua Mwanza jana, duuoo, inatisha, CCM wanakazi ngumu sana katika wakati huu waliobakiza ili kusimikwa rasmi "There was a ruling part in Tanzania called CCM" Mimi nasubilia tu CDM iingie madalakani na mambo ya kuwanyosha wazee wa vitambi yaanze
 
Inashangaza kwamba kila chokochoko zinazoanzishwa dhidi ya chadema zinazidi kukipaisha chama!wakati wenzao chadema wanajadili masuala ya kitaifa wao CCM wamejisasau na hv sasa wanamjadili Slaa,Mbowe,mnyika nk.najiuliza hv kwenye ilani ya ccm mbowe,mnyika na slaa ni mojawapo ya sera?nakifananisha CHDM na chura anaepigwa teke akiwa kwenye mwendo!ifahamike chura hukusanya gesi tumboni na kujikaza misuli hvyo kumpiga haumii bali kumuongezea mwendo!
Usimwamshe aliyelala waache waendelee kuzungumzia personalities za watu wakati Chadema ikieneza elimu ya uraia na issues zinazowagusa.
 
Watu wa Mwanza wana akili timamu na kwa kweli mikoa mingine ijifunze toka kwa Wasukuma (watani zangu hao).Hawajaenda shule sana BUT WANAAKILI KULIKO ZA WANAOJIITA WAMEENDA SHULE-hasa watu wa Dar na mikoa mingine.AMKENI WAKATI WA KUKOROMA VITANDANI UMEISHA-NCHI ISHAUZWA HII.
Kufikia Kinana kuuza Tembo hadharani WATU NDO WANAZIDI KULALA LALA KABISA.
 
i want to be part of the winning team for sure!!! -- CDM for Tanzanians 2015 come rain come sunshine.
 
Usimwamshe aliyelala waache waendelee kuzungumzia personalities za watu wakati Chadema ikieneza elimu ya uraia na issues zinazowagusa.

waamke kwani wana uwezo mkuu?hiyo ndo ntolee!ukiona hvo jua kifo kipo karibu!
 
tengenezeni hizo Tshirt kwa uwingi zaweza kuwaongezeeni mapato, yaani yaweza kuwa Source of Income kwa Chama chenu.hata mie nitawaungisha.
 
CDM sijui imewapa nini WATANZANIA yaani wanavyoipenda dah...........

.......

Sio Chadema imewapa nini watanzania ila ccm imewafanya nini watanzania. Nyerere alisema hivi: 'Watanzania wakikosa wanachokitafuta ccm, watakitafuta mahali pengine.

Ni ndivyo ilivyokuwa. Watanzania wanataka uwajibikaji, uadilifu, na uongozi bora.Wamechukua tochi na kuviangaza hivi vitu ccm lakini hawavioni. Wanasepa kwenda chadema ambako wanaona dalili za kuwepo wavitakavyo.
 

Sio Chadema imewapa nini watanzania ila ccm imewafanya nini watanzania. Nyerere alisema hivi: 'Watanzania wakikosa wanachokitafuta ccm, watakitafuta mahali pengine.

Ni ndivyo ilivyokuwa. Watanzania wanataka uwajibikaji, uadilifu, na uongozi bora.Wamechukua tochi na kuviangaza hivi vitu ccm lakini hawavioni. Wanasepa kwenda chadema ambako wanaona dalili za kuwepo wavitakavyo.
Ni kweli mkuu..naona sasa watanzania wanaanza kujua nini wanakitaka.....
 
Amiliki hayo ma vuvuhayana madhara nisawa na nyoka wa kibisa yamezoea kuchezwa ngoma ndio maana kila mdundo yanakwenda nao kiholelaholela..!
 
Last edited by a moderator:
duh.. wazee naona wamefunguka balaaaaaa....Ivi ratiba yao ikoje ili na wengine tujiandae kupokea huo moto?
 
inatia moyo 2015 tunaweza kuidharilisha ccm mapema sana naomba kasi ionezeke maana serikali za mitaa ni next year
 
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.



attachment.php

M/kiti taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.

attachment.php


attachment.php

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao

attachment.php

attachment.php

Chini ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
attachment.php
hapa naona kweli makamanda wako kazini safi sana Mungu azidi kuwapigania ili ccm ianze kuanga mapema kwenye serikali za mitaa, madiwani, wabunge hadi rais 2015
 
attachment.php

Mkuu Matola, democracy is about choices, otherwise tungebakia chama kimoja. Na hawa wazee kama wameamua kubaki MAGAMBA sio hekima kuwaita watu duni, this is a bit low from you. Let the sleeping dogs keep sleeping.

Mkuu sasa hawa wana option gani? Hata useme nini kwao ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu...
 
Back
Top Bottom