SEAL Team 6
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 655
- 118
Acha ujinga wewe kila unatafuta hela ya kuhemia msosi kutoka CCM kupitia kwa RZ1 na Nnauye kwa posti pumba zako humu JF,. halafu leo unasema huna chama. Hapa JF siyo mahali pakupima upepo. Kuwa muwazi, au umeikana CCM baada ya Kikwete kuzomewa UDSM?Mimi sijataja chama chochote mimi nimewaongelea wapemba na tabia zao