"CHADEMA yasubiriwa kwa hamu visiwani Pemba"

"CHADEMA yasubiriwa kwa hamu visiwani Pemba"

Mkuu Maishamapya, umefanya vema kufanya huo utafiti. Lakini ninadhani CHADEMA is not an opportunistic political party. The fate of our brothers, and sisters who perished in that disaster should not be taken as an advantage. Chadema fanyeni siasa za kistaarabu kama awali. Tanzania ni moja na naamini hata Pemba nako zipo ofisi za CHADEMA. Kama wanataka waende wakajiunge kwa hiari yao lakini si kwa kisasi cha kufiwa. Siasa ni imani na si chuki au kisasi.
 
Hivi kweli maulamaa wa Zanzibar watamkubali padri!
 
Hivi kweli maulamaa wa Zanzibar watamkubali padri!

hili nalo kwa kuiga limeona mwanamagamba mwenzake kaongelea udini nalo limeiga.huwe mbunifu basi sio kujitafutia umaarufu tu masaburi wewe.
 
Mkuu Maishamapya, umefanya vema kufanya huo utafiti. Lakini ninadhani CHADEMA is not an opportunistic political party. The fate of our brothers, and sisters who perished in that disaster should not be taken as an advantage. Chadema fanyeni siasa za kistaarabu kama awali. Tanzania ni moja na naamini hata Pemba nako zipo ofisi za CHADEMA. Kama wanataka waende wakajiunge kwa hiari yao lakini si kwa kisasi cha kufiwa. Siasa ni imani na si chuki au kisasi.

Sina uhakika kama nimekupata. Hata hivyo hoja kuu hapa ni kuwa wananchi wamekosa chama mbadala cha kuwatetea. Hakuna chama cha upinzani kwa vile CUF imeshriki kuunda serikali. Tukio la meli ya Spice islander limewadhihirisha wapemba ukweli huo. Kwa hiyo sioni kama CHADEMA watakuwa opportunists bali watakuwa wana-respond kwenye need iliyopo.

Ni kweli CDM walikuwa wamefungua tawi hapa Pemba karibu na Hotel ya Pemba Crown wakati wa uchaguzi mwaka jana. Lakini kwa sasa hakuna uhai. Ni kama limekufa. Nimetoa taarifa baada ya kufanya utafiti huo. Ni juu ya CDM kutafakari na kuchukua hatua mwafaka.
 
watuachie chadema yetu huku bara. Chadema ya 'wakristo' na 'wachaga'. Pia wasiifanye cdm kuwa chama mbadala. Walifungishwa ndoa na ccm na wavumilie hayo ya ndoani.
 
Niko mjini Wete kwa shughuli za kikazi kwa siku tatu sasa. Nimepata nafasi ya kukutana na watu mbalimbali kwa nyakati tofauti tofauti kuzungumzia upepo wa kisiasa. Wakiwemo vijana, wazee, na wafanyabiashara. Suala la kuzama kwa meli linaonekana kugusa hisia zao kisiasa.

Wapemba wengi wanausikitikia mwafaka na wanasema umewamaliza kwa vile sasa hakuna upinzani. Mfano wanaoutolea ni suala la kuzama kwa meli ya spice. Wanasema, suala kama hilo ambalo limeondosha watu takribani 4000 katika kisiwa cha watu takribani 400,000 ni sawa na 1% ya wakazi lilipaswa kuwa moto sana lakini sasa sawa na kama waliokufa ni sisimizi tu. Wengi wamesema - "Tunasubiri chama mbadala".
Nilipomhoji aliyekuwa mmojawapo wa wagombea ubunge wa CUF aliyebwagwa kimizengwe kwenye kura za maoni, alisema yeye yuko tayari kuingia chama chochote mbadala. "Niko tayari kwenda chama chochote mbadala. Napima upepo tu". Nilipomhoji juu ya mtazamo wake kuhusu CHADEMA kama chama mbadala, alisema: "Tumekuwa tukilijadili hilo na wenzangu hata wengine waliokuwa wakigombea uwakilishi na tunatambua uimara wa CHADEMA hasa katika kusimamia mambo ya kitaifa. Kina viongozi madhubuti na wenye upeo mkubwa kama Dr. Slaa na wengine. Kama kitakuja kujitambulisha vema huku, tutatafakari mwelekeo wakati huko. Sisi hatukuzaliwa na CUF".

PENDEKEZO: Naomba viongozi wa kitaifa wa CHADEMA wapange namna gani ya kutumia vaccum hii iliyotengenezwa na CUF, ili kuwa chama mbadala katika visiwa hivi viwili.
Wewe utakuwa ulikuwa unaongea na Wachagga wanaoishi pemba, hivi unawajua wapemba wewe? au unajifurahisha wewe pamoja na magwanda wenzako!!!
 
watuachie chadema yetu huku bara. Chadema ya 'wakristo' na 'wachaga'. Pia wasiifanye cdm kuwa chama mbadala. Walifungishwa ndoa na ccm na wavumilie hayo ya ndoani.
Hayo ndio maneno yakuongea hakuna kutafuna maneno, tunashukuru kwa ufafanuzi wako mkuu wangu
 
hili nalo kwa kuiga limeona mwanamagamba mwenzake kaongelea udini nalo limeiga.huwe mbunifu basi sio kujitafutia umaarufu tu masaburi wewe.

matusi ni jadi yako!
 
Hivi kweli mpemba anaweza kukubali kuingia Kanisani?

You are Mentally Impaired
Physically Fatigued
Financially Exhausted

Shida yako hiyo nguo ya Kijani inakufanya Ufe kifikra.
Hivi umewahi fika Hospital? Ukikuta Mgonjwa kazunguzshiwa minguo ya kijani maanake nini?
Jibu lake ndiyo status ya Chama Chako Cha Mafisadi.
 
unachekesha kaka, sisi huwa tunasema kama Yesu angekuja duniani kwa ubaguzi hivi ni nani angetarajia kuuona ufalme wa Mungu?

Hivi kweli mpemba anaweza kukubali kuingia Kanisani?
 
Wewe utakuwa ulikuwa unaongea na Wachagga wanaoishi pemba, hivi unawajua wapemba wewe? au unajifurahisha wewe pamoja na magwanda wenzako!!!

Unataka nikupe namba zao za simu ili ujue ni wapemba?
 
Back
Top Bottom