"CHADEMA yasubiriwa kwa hamu visiwani Pemba"

Mimi sijataja chama chochote mimi nimewaongelea wapemba na tabia zao
Acha ujinga wewe kila unatafuta hela ya kuhemia msosi kutoka CCM kupitia kwa RZ1 na Nnauye kwa posti pumba zako humu JF,. halafu leo unasema huna chama. Hapa JF siyo mahali pakupima upepo. Kuwa muwazi, au umeikana CCM baada ya Kikwete kuzomewa UDSM?
 
Naona tunapoteza mweleko sasa, mbona tumehama mada na tunasema mambo yasiyohusiana na thread jamani?
 
Hivi kweli mpemba anaweza kukubali kuingia Kanisani?
wE NI WA WAPI MBONA UNAMAWAZO MGANDO HIVYO??? UNGEKUWA UNAHUBIRI UMASIKINI ULIONAO KAMA UNAVYOHUBIRI DINI NINGEKUONA WA MAANA NAONA DINI IMEKUKAA SANA KAWE SHEKHE AU PADRI UKAHUBIRI....JF SI SHEMU YA UDINI SHINDWA NA UTOKOMEE
 
Anae fikiria na kuwaza udini ndio mdini. Mimi ni Mohamedi Shaabani, ni Muislamu na ni mwanachama wa Chadema. Kwa taarifa yako wako Waislamu wengi tu wanachama na wapenzi wa chadema.
Acha kuleta udini kama wale wenye ukame wa fikra chini ya Mwamvuli wa Baakuu la Waislamu.
 
watuachie chadema yetu huku bara. Chadema ya 'wakristo' na 'wachaga'. Pia wasiifanye cdm kuwa chama mbadala. Walifungishwa ndoa na ccm na wavumilie hayo ya ndoani.

hyo Chadema yako mi simo kwan mi siyo Mchaga wala mkristo. Nilipo mimi kuna Naibu katibu mkuu anaitwa Zitto na ni Muisilam pia kupitia Chadema.
 
Chadema waende kufanya nini huko nchi za nje! Kama ni hivyo basi waende pia na Kenya.

Acha ubaguzi kijana na heshimu maamuzi yaliyofikiwa na watangulizi wako provided yalifikiwa kwa nia njema. Usiwe Kaburu mweusi.

Hapa tunaongelea Tanzania na sio Tanganyika na ndio maana mtoa mada anawaomba Chadema waende Visiwani
 
Hivi kweli mpemba anaweza kukubali kuingia Kanisani?

Bado nafanya uchunguzi wa kina ili wanaccm kama wewe niwapatie jina gani! Maana upuuzi mnaouongea?! Kwa hiyo Pemba hakuna Makanisa?
 
yani mada nzuri sasa imegeuka mjadala kati ya wana jf na ritz? mihuwa siwaelewi kwanini mnakomaa kijibishana nae hivo! badala ya kujadili mada iliyopo mezani!
 
Kama wapemba wameongea haya basi KAFU wameisha na kweli kuwa ndani ya CCM ndiyo kumeimaliza KAFU sasa wanatokaje na kile Chama ni Seif kesha amua wengine hakuna kitu hehehe
 
Kuna haja ya kulipigia chapuo jambo hili kama lina ukweli.kwani inaweza kuandikwa historia mpya ya vyama huko Pemba,na kwa jinsi wananchi walivyowachache na kwa jinsi walivyo naumoja ikifanikiwa kuingia huko mambo yanaweza yakabadilika kwa haraka sana.endelea kutuhabarisha mwelekeo ukoje hadi utakapoondoka pemba
 
Back
Top Bottom