salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
- Thread starter
- #61
Ndio mana nahoji hao wa kwenu wako wapi manake hawakuonekana kabisa wakati wao ndio makamandaHao wote 6,000 walojitokeza walikuwa ni MaCCM wakuaminika wote lakini kutokana na Upuuzi wenu mkiongozwa na Mwigulu Nchemba wameamua kujivua GAMBA na kujiunga na CDM kwa njia ya Kura.
Mlizani njama zenu za kuondoa wapiga kura wafuasi wa CDM zitawasaidia?.
Mnajizika wenyewe! hata mgewaleta mabalozi wenu tu ndio wapige kura bado mgeshangaa kipigo chenu!.
Someni alama za nyakati mmebaki na wanachama wengi wa sare tu lakini wa kura ni wachache mno.