Tujikumbushe ya waburushi huko Usangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe ya waburushi huko Usangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LOVI MEMBE, Apr 8, 2012.

 1. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Harakati za kubinafsisha shamba la mpunga –Mbarali Rice Farm na ukosefu wa uzalendo wa viongozi tulio nao
  .
  Kabla ya kubinafsishwa kulitokea mgogoro mkubwa wa nani anunue hili shamba kati ya mwekezaji na uliokuwa ushirika wa masoko wa kata ya Ubaruku (Ubaruku Agricultural Marketing Cooperative Society-UAMCOS). Hatimaye mwekezaji alishinda tenda ya kununua kifisadi chini ya usimamizi wa aliyekuwa Waziri wa Kilimo Awamu ya III, Mh. Joseph Mungai. inasemekana jamaa alitoa two hundred millions only kumzima Mungai-mtu asiye na uzalendo na nchi yetu kabisa.ikumbukwe ni Mungai huyuhuyu aliyevuruga mfumo wa elimu Tanzania kwa ajili ya kunufaisha nchi ya kwao kwenye ajira. Hakuna fedha alizotoa mwekezaji zaidi baada ya hapo ingawa alitenda kwa billion 2 tu. Mwekezaji huyu alianza kuvuna mwaka huohuo baada ya kunua shamba. Alianza kukodisha shamba . Nadhani katika mwaka 1 au 2 aliweza kurudisha fedha yake ya 10% aliyotoa kwa waziri, mara kumi au kumi na tano . huu ni ushindi wa wageni katika nchi inayoendeshwa kifisadi kikamilifu. Zabuni ya kununua shamba hilo ni utata mtupu hasa ukizingatia thamani halisi ya shamba hilo. Kwa hakika ni kama tunaongozwa na vilaza katika nchi hii . ebu angalia inakuwaje shamba lenye thamani ya takriban sh. Trillion tatu kwa assets tu, ukiacha mashamba yenye ekari zaidi ya elfu tatu zenye mtandao bora kabisa wa umwagiliaji, liuzwe kwa billion 2 ya mdomo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Wananchi wa Ubaruku wanalo jambo zaidi ya kuruhusiwa kupitisha mazao yao kwa malori makubwa kupitia Igawa. Wanataka kusema lakini viongozi wa wilaya wanawaminya/bana wasiseme. Hebu nenda kaangalie intake ya maji yaliyochepuliwa kutoka mto Barali, kituo cha kufua umeme pale Rujewa , mtandao wa mfereji wa zege wenye km zaidi ya 30 , nyumba za wafanyakazi zaidi ya 100, executive houses sita na rest house, kiwanda cha mpunga chenye conveyor belts(mpunga unaingizwa upande huu unatoka ukiwa mchele kwa gredi yake upo hapo!!!) ,farm machinery(tractors na combine harvesters), coldroom na mashine ya kuchakata uchinjaji wa kuku, mifugo kama nguruwe,ng'ombe, kuku zilizoachwa na NAFCO, je thamani yake ni sh. Billioni 2 tu(2006), . Ilihali kigezo cha PSRC kilikuwa bei ndogo iliyozabuniwa na UAMCOS ya sh. Million700 dhidi ya bilioni 2 za Highland Estate. Si ingekuwa bora wapewe wananchi ambao hapo mwanzo walinyang'nywa mashamba na serkali ya awamu ya I ili kupisha uanzishwaji wa NAFCO. Hivi vitu vyote kapewa mwarabu wa kiburushi free of charge na wabongo mabwege mtozeni kauzeni uzishini.
  Mwanzoni mmiliki wa shamba alianza vizuri kwa mtizamo wa wenyeji , ingawa ilikuwa ni kama amevunja masharti ya mkataba wa kununua shamba ambapo aliruhusu wenyeji kukodi plot za kulima mpunga ndani ya hilo shamba. Mfumo wa uendeshaji wa shamba umekuwa ukibadilika mwaka hadi mwaka huku kwa ujanja na polepole ukiwaondoa wakulima wadogowadogo na maeneo waliyokuwa wakikodi yakichukuliwa na mwekezaji mwenyewe. Kwa hakika hata wale wanaobaki ni kama wamekuwa watumwa maana gharama za kukodisha zimepanda kutoka 60,000 ya mwaka 2006 hadi 150,000 kwa ekari 1 mwaka 2011. hatua ya hivi karibuni imechochea chuki dhidi ya mwekezaji pale alipoamua kuziba kwa ukuta wa konkriti maji ya matoleo kuelekea nje ya shamba na hivyo kuwanyima fursa ya kuzalisha mpunga wakulima ambao kimsingi wako nje ya shamba. hali hii imeleta chuki zaidi na zaidi kwa mwekezaji na wale wanaomlinda. Cha ajabu ameshaanza kuvunja mkataba kwa kunzaisha shughuli ambazo hazikuwepo, bustani za matunda ( ndizi na maembe) kiwanda cha mikate na hivi karibuni anataka kuanza kuzalisha maji ya kunywa havikuwahi kulimwa huko nyuma. Mpunga wenyewe anaulima basi hapo ndo ngoma nzito, serkali iko kimywa wala haina mpango naye tena . yeye kachukua hatimiliki ya shamba na wate rights ambavyo ni rahisi kupatia mkopo na kuanzisha shughuli zake hata Dubai na Saudia.  Harakati za mwekezaji kujiimarisha katika shamba hilo

  Jambo baya sana kwa mwekezaji ni kuegemea upande (taking sides in the political arena ) mmojawapo wa vyama vya siasa na hili amelifanya hadharani kwa kuwanyima fursa za kuwakodisha mashamba ya mpunga wale wanaoegemea upande asioupendelea yeye . Pia anatuhumiwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za siasa hususani wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika oktoba 2010. Kwa bahati mbaya upande asioupenda ndio ulioshinda kiti cha udiwani katika kata hiyo. inasemakana hata mgombea ubunge aliyeshinda alipoanza kushirikiana na huyu mwekezaji wananchi walibadili mawazo na kutaka kumpa kura mpinzani wa chama kingine lakini kura zikachakachuliwa kinamna na kinyume na matarajio ya wengi . mwekezaji huyu anatuhumiwa kujihusisha na watu wa karibu na ikulu akiwemo Rostam Aziz wa Igunga. Hili jambo ndilo lilimfanya mgombea ubunge akubaliane na maagizo kutoka juu ya kushirikiana na mwekezaji akaanza kwenda kujaza mafuta ya kampeni n ash. Million tisa katia kibindoni. Hapa wamenanga sana. Na kwa sehemu kama Usangu ambako ni kitovu cha majungu wameshajua mwekezaji ni mdau wa ikulu. Hivyo mkulu akiingia huko wala hana mshiko wowote maana naye anatuhumiwa kuwa kagaiwa kiplot cha kulima ubeche.upo hapo.

  Mkakati wa kuwadhoofisha wakaaji na wakulima wa Ubaruku dhidi ya mwekezaji:

  Kibaya zaidi ni hatua ya hivi karibuni ya serkali kutekeleza sheria ya kuzuia magari yanayozidi uzani wa tani 8 kupita katika barabara inayoelekea Ubaruku na hivyo kwa upande fulani kuzuia shehena kubwa ya mazao ya wakulima huko Ubaruku. Hali hii imeleta shida kwa kuongeza gharama za usafirishaji na hivyo kuchochea kuongezeka bei ya mpunga pindi ufikapo sokoni. Ongezeko hili la bei lingeufanya mpunga wa Ubaruku kukosa soko . lakini jambo hili halikufanywa kutokana na usimamizi mzuri wa sheria . kimsingi wakubwa ni kama walilenga kuwaadhibu wakulima ambao pia ndio wapiga kura waliofanya juhudi kukikataa chama cha mwekezaji. Wakati wa harakati za kampeni watu hawakujua ni kwanini mgombea wa Chadema alirudi Mbeya . moja ya maeneo aliyofanyiwa hujuma asiwafikie wapiga kura ni Ubaruku. Mafisadi wakijua nafasi ya Ubaruku katika harakati za kukipigia debe Chadema , waliamua kuhujumu mkutano uliokuwa ufanyike Ubaruku. Badala ya mgombea kwenda Ubaruku mmoja wa watu muhimu ndani ya Chadema alinunuliwa na C.CM ili ahujumu ziara hiyo, matokeo yake mgombea wa Chadema akaamriwa kutua Rujewa ambako hakuwa na ushawishi mkubwa kama Ubaruku. Hata hivyo idadi ya watu waliofika Rujewa kuhudhuria mkutano huo ilikuwa kubwa mno kinyume cha matarajio ya CCM. Kwakuwa Watu wa Ubaruku waliona kama wamenyimwa fursa ya kuwasilisha kero zao dhidi ya mwekezaji waliamua kuchanga sh. Milioni mbili na kuziwasilisha kunakohusika ili siku anayokuja kufunga mkutano Mbeya aanzie Ubaruku kumalizia kiporo cha kuibomoa CCM. Hilo jambo lilifanikiwa mgombea akaelezwa kadhia zote walizopata wafugaji wakati wa kuondolewa Ihefu, uoza wa fidia pamoja na ufisadi wa kumuuzia burushi lile shamba. watu walijaa ajabu kutoka maeneo yote ya wilaya ya Mbarali, si Isunura, Manienga , Utengule , hata mbali Madibira, na Ruiwa walifika kusikiliza hotuba ya Dr. W. Slaa . mgombea alisikia kilio chao na kuahidi kuwa hilo lilikuwa miongoni mwa ajenda atakazoanzia mara ainigiapo ikulu.
  wakati wa uchaguzi kuna matukio ya chuki ya vyama hivi viwili yalitokea , watu waliuumizwa na mmoja kuuawa. Hivyo mafisadi wakaamua kuchukua hatua ya kuwadhibu wapiga kura wa Ubaruku ili washike adabu. Wakanyang'anywa mashamba, mwekezaji akazuia maji yasiende kwa wakulima wadogo(outgrowers)

  kauli za kejeli za kuongea na mfuga mbwa (na siyo mbwa wenyewe) na Kuchomwa moto kwa kituo cha mfuta pamoja na gari lenye shehena ya mafuta:

  Ni jambo linalosikitisha sana kuona kwamba sisi wadanganyika katika nchi yetu wenyewe tunakaribisha wawekezaji kwa mikono miwili. Kweli inaingia wapi akilini, mwekezaji uchwara mangumashi anawatukana wazawa? Hivi kumwambia mheshimiwa Mbunge mwekezaji hawezi kumsikiliza mtu kama yeye bali anamsikiliza mfuga mbwa na siyo mbwa wenyewe ana maana gani mwekezaji huyu Mungu wangu, Angalia tunavyonyanyaswa na ngozi yetu na wageni waliokuja kuhemea na kuwinda katika mbuga zetu sisi watanganyika???
  Kabla hata tatizo lao la kupitisha mazao kwa magari makubwa halijapata ufumbuzi mmiliki wa kituo cha mafuta ambaye kwa bahati mbaya ni burushi anapita na shehena ya mafuta ikiwa ndani ya tanker linalozidi tani 8. Kwa kejeli kubwa anawatukana watanganyika kuwa hawezi kuongea na mbwa isipokuwa mfuga mbwa yaani Kikwete. Hivi jeuri yote hii inatoka wapi?. Bila shaka hawa wawekezaji wameshaikamata serkali na kumgeuzi rais miguu juu kichwa mfukoni. KITENDO CHAO CHA KUMUOZESHA BINTI WA KIBURUSHI HAIKUWA KWA NIA NJEMA BALI KUMDHOOFISHA ASIWE NA KAULI JUU YAO. Hana hata ujanja wa kutoka humo mfukoni.
  Hivi kwanini watanganyika tusiamue liwalo na liwe , tunasubiri nini Mungu wangu. HABARI HII SIYO YA UCHOCHEZI. WATANGANYIKA HATUWEZI KUENDELEA NA HALI HII. KUMBUKA MWEKEZAJI HUYU ALIVYOTOLEWA MKUKU KULE LUPEMBE NA MASHUJAA WA NJOMBE. HUO NDIO MOYO WA KIZALENDO UTAKAOLETA HESHIMA YA MTANZANIA HURU.
  hatua hii yawahusika kutomzuia asipite na shehena hiyo kulichochea hasira za wananchi ambao by simple reasoning wanaona hawa weupe wana upendeleo maalum na wako juu ya sheria na yapo matukio mengi zaidi ya hili linaloonyesha hawa wenzetu wana tetemekewa na vyombo husika. Hivyo hatua ya kuchoma moto ni kama kutoa taarifa kuwa nguvu ya umma imetumika kuiwajibisha serkali pale wanapoona hawatendewi haki. Tukio hili linafanana na matukio ya kuchoma moto vibaka na majambazi wanapokamatwa mtaani na raia wakihofia haki haitatendeka kwa upande wao. Tunawapa pole wote wAlioguswa kwa njia moja au nyingine katika tukio hili na hususani ndugu wa raia waliouawa kwa risasi. Weupe hawa hawafagiliwi hata kidogo kutokana na tabia yao ya kunyanyasa raia kupitia taasisi za serkali. Hata wakiua kesi inakimbizwa fastafasta na mwisho wa siku huachiwa huru wao wanasema wamevika faili matairi. Wakizungumza kwa madaha na kejeli kubwa kwa wapinzani wao katika kesi. moja ya kesi hizo ni maauaji ya kijana mmoja aliyeuawa katika mazingira ya kutatanisha , weupe hawa wa Rujewa wakamobilise millions of money from within the country and in the diaspora, Kesi iliendeshwa fasta fasta pale mahakamani Rujewa, siku arobaini kesi ikatolewa hukumu chini ya ulinzi mkali wa FFU kutoka mkoani Mbeya, where is the rule of law? . Vijana wale weupe waliachiwa huru na wakatokomea ughaibuni kwani kabla kesi haijaisha walishatengenezewa paspoti ili wakitoka watimue. Weusi wa Rujewa wanajua kesi ya weupe hawashindi. Hivi sasa wanasema mfereji walionunua ni kama wamenunua kwa ajili ya kutupia maiti za watu watakaowaua waua ili kupoteza ushahidi kama walivyowahi kufanya huko nyuma. Mwanamke wa kiburushi hawezi kuolewa na mweusi na wale ambao wamepita mimba hulazimishwa waende wakazitoe katika clinic za uchochoroni. Sasa unyanyapaa wao wa nini wakati burushi anaopoa vimwana wa Kiswahili na kuzaa nao. Ni unyanyapaa ambao umejengwa na misingi ya ubaguzi wa kijinga.
  In fact these guys appear as if they have adapted first class citizenship in this country, where indigenous people are disrespected in favour of these light coloured individuals, even by our own people in all sectors; be it in banks, courts, and land departments. I mean everywhere; I wonder if it is their colour or money that commands power.

  Hatua ya Serkali mkoani Mbeya kuruhusu magari ya tani zaidi ya 8 kwenda Ubaruku ni ufumbuzi wa tatizo la muda lakini sio ufumbuzi wa kudumu . kinachotakiwa mgawanyo sawia (equitable and rational distribution of wealth) wa raslimali za nchi yetu vinginevyo hii inaweza kuzalisha tatizo lililopelekea kuuawa kwa mwandishi wa Kinigeria , Kenny SaroWiwa aliyekuwa akiwatetea waogoni " the ogoni people". Naomba ufanye utafiti wa hili labda utatusaidia kuleta ukombozi wa bonde la Usangu. Kutokana na dhahama hii inayojitokeza sasa.
  MAFISADI WAMESHAKAMATA IKULU. HIVI HUONI WANAFANYAKAZI KWA NIABA YA SERKALI. HEBU FIKIRIA UNAPOAMBIWA KUWA MMILIKI WA DOWANS BRG.AL ADAWI ALIKUTANA KWA MARA YA KWANZA NA ROSTAM AZIZ . HIVI ROSTAM NI NANI KATIKA NCHI HII NA ANAFANYA KAZI KWA NIABA YA NANI NA KWA MASLAHI YA NANI. NCHI HII IMEPOTEZA MUELEKEO HATA MFUMO WA UTAWALA HAUZINGATIWI. TUNAVYOFAHAMU ROSTAM AZIZ NI MBUNGE WA IGUNGA, MTU AMBAYE HATA HOJA ZAKE HAZINA MSHIKO HATA KIDOGO. KAPATA NAFASI YA UJUMBE WA NEC -CCM KWASABABU YA HELA ZAKE NA RANGI YAKE. INFACT WE ARE COMPLETELY CONFUSED , THE IDEALS ESTABLISHED BY THE FIRST ERA GOVERNMENT ARE NO LONGER UPHELD.
   
 2. S

  SAIDALI Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UMEKAA KIFITINA SANA, CHUKI ZA RANGI , FANYA KAZI ACHA MAJUNGU, NA VIPI MAshamba ya nafco? walichukua wabulish?? acha majungu ya kitoto.
   
 3. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  STOP! STOP! STOP! Wacha madhambi yenu yaanikwe! Love Membe usitishwe au kukatishwa tamaa na hawa. Wamewekwa kila mahali kutibua wana ukombozi
   
 4. M

  Masabaja Senior Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usikatishwe tamaa na mafisadi indelea kutupa ukweli wa hawa majizi nchi hii inahitaji ukombozi
   
 5. M

  Mnyonge Namba1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  2015 KAZI NI MOJA TU,Kuzuia Nawabu(Mula) asigombee ubunge na kuhakikisha Jimbo na kata zote zinaenda CDM.Julius Malema alishaanzisha vita dhidi ya hawa wanyonyaji kule SA,Robert Mugabe kashaimaliza kazi kwa kutaifisha mashamba,je! TZ tunangoja nini?.Au bado tuna ufinyu wa mawazo?.Population yao hapo Rujewa ni ndogo mno,lakini waburushi hawa wanamiliki rasilimali kubwa ya wanaMbarali mafukara.Mbila,Galahenga na Kazamoyo waunganisheni watu wakachukue mashamba yao.Nami nipo tayari kuja kuungana nanyi kuikomboa Mbarali yetu nitakapomaliza shule.
   
 6. wwww

  wwww JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 350
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  Kwanza namshukuru sana mtoa threat hii, kwani katuletea ukweli 1kabisa. Mimi nakaa Ubaruku ndugu yangu manyanyaso wanayoyapata Wasangu dhidi ya hawa Waburushi ni ya kutisha. Mbaya zaidi wanapendelewa sana na Serikali hasa Mkuu wa Wilaya (DC) Ndugu Kayombo na Katibu Tawala (DAS) ndugu Mbara. Hawa wote ni vibaraka wa huyu bwana na ukienda mkoani utakuta Ndugu Kandoro (RC) naye kaingizwa kwenye orodha ya kumtumikia huyu bwana.


  NAKUAMBIA HALI NI MBAYA SANA HASA KWA WAKAZI WA UBARUKU. Wakazi hawa kwa sasa wako utumwani.
   
 7. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2013
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Infact ni hekta 6000 ambazo ni sawa ekari ekari 15,000 kwa sh. billioni 3 (2006); 3,000,000,000.00
   
 8. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2014
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Bado burushi anachezea watanzania. Mwishoni mwa mwaka jana alifunga maji kiasi cha miezi mitano na kuhakikisha anakausha kabisa mboga za walala hoi waliojiajiri wenyewe ambazo zinategemewa na walaji . Infact huyu ni sawa na muuaji tu hafai?
   
 9. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2014
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hatuwezi kwenda kwa hisia hisia na siasa chafu kwa kisingizio cha sisi watanzania mara sisi wananchi (mara sisis saccos) yeye mburushi! yeye mbeiriti Hayo hayawezi kutusaidia la msingi wote tufuate sheria unauhakika rushwa hiyo ya millioni 200/= kupewa Mungai nenda mahakamani kwani ikithibitika mahakamani watapoteza sifa ya kuwa wamiliki wa shamba hilo. kinyume chake katika kipindi hiki tutasikia mengi sana kwani tunaingia msimu wa kupimiana viatu na kunyweshana chai za bure.
   
 10. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2014
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160

  Acheni usanii unaposema msangu si ni pamoja na Waburushi au ndiyo ubaguzi unaanza leo??
   
 11. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2014
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Madhambi hayawezi kuanikwa hapa zaidi majungu
   
 12. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2014
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  unalipwa shingapi mjomba kwa kuwatetea waporaji wa mali za watz. Hivi unajua utapata laana kwa kujifanya mko level moja na burushi? Huna maana kabisa.mtu anakausha mboga za wajasiriamali kando ya mfereji wa mchina wewe unamsapoti nahisi wewe huna uchungu na sisis nduguzo una damu ya kiburushi rangi ya afrika. Wasije wakasikia waliokaushiwa mboga na watu wa ubaruku
   
 13. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2014
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hakuna ni vitu halisi vimetokea. tangu burushi aingie ubaruku ni waswahili wangapi wamemuaga damu zao na waburushi wangapi wamepoteza damu? fikiri kwanza
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2014
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  waburushi wanasema hawali vibudu.. lakini najiuliza wanamgeuziaje kibra NYATI..
   
 15. mchumia tumbo

  mchumia tumbo JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2014
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Mkombozi wa Mtanzania ni mtanzania mkubwa usikate tamaa paza sauti nchi itakombolewa tu.
   
 16. muhomakilo jr

  muhomakilo jr JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2014
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 10,126
  Likes Received: 3,226
  Trophy Points: 280
  Waburushi ni watu gani?...
   
 17. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2014
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Saidali
  Nimebahatika kukaa mbeya kwa miaka 6 na katika kipindi hicho chote nimeishi na makabila mengi ya huko na nimetembelea maeneo mengi ikiwemo ubaruku.
  Shamba hili lilipoachiwa NAFCO lilikuwa ni zuri kama shamba lolote lile marekani. lilikuwa na miundombinu inayojietegemea lakini wananchi pamoja na wafanyakazi walifanya ufisadi mkubwa kwani kila kitu kiliharibiwa[kuibiwa au kutokarabatiwa kwa muda mrefu na eneo hilo likabaki kuwa magofu na uzalishaji ulishuka hata kwa wananchi kwani miundo mbinu[ mitaro ya maji iliharibika.
  Gharama zilizohitajika kufufua mradi huu ulikuwa mkubwa kiasi serikali haikuwa na uwezo na hivyo ilibidi kutafuta mwekezaji ambaye atagharimia ukarabati /ufufuaji wa miundo mbinu yote. na ndiyo maana hata walivyouziwa ilikuwa taken into consideration ya cost involved in the rehabilitation program.
  Matokeo ya sera hiyo ndiyo maana leo mbarali imerudi kama zamani na wananchi baada ya kuona hivyo wivu ndiyo ukaanza kwani mkoa ambao una majungu mbeya na dar zinashindana. na bahati mbaya neema hii hata wakulima wadogo wananeemeka nayo na ndiyo maaana yanajitokeza kulaumu mabulushi. Jamii hii imehamia sehemu hii karibu miaka 100 hivi na wengi wanaojifanya wenyeji ni watu waliohamia miaka 50 iliyopita. Kwa mkoa wa mbeya kiongozi yoyote yule anayependa haki huwa anajengewa mizengwe.
  Kuthibitisha kuwa hawa jamaa ni kiboko kwa kulalamika hivi sasa wanalalamika kuzuiwa kwa magari makubwa kuingia kwao. Badala ya kufikiria kuongeza uhai wa miundombinu ya barabara ili waweze kuitumia kwa muda mrefu zaidi wanafikiria biashara yao na wakiambiwa wachangie kutumia nguvu kazi zao katika kukarabati miundo mbinu hizo wanasema hiyo ni kazi ya serikali
   
 18. C

  Chaka boy JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2014
  Joined: Feb 13, 2014
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu lovi yani kiukweli nimejiuliza mara mbili mbili huyu jamaa anawajua vizuri hao watu au ndo wamemtuma awasafishe humu jamvini?itakua ngumu,hawa jamaa wamepewa shamba la mkonge kule tolonto wilayani korogwe hakuna walicho kifanya cha maana shamba ndo limekufa kazi kubwa nikuwinda nakumaliza wanyama pori wetu,wamepewa shamba la chai kule bumbuli nivurugu tupu hakuna chamaana sasahivi kunavurugu kubwa huko bumbuli na wakulima wadogo2 chai,sema tu kwa bumbuli j,makamba kasimama kidete kuwatetea wapiga kura wake,Asitake kuwadanganya watz humu waburushi nijanga lingine la kitaifa,
   
 19. f

  furahah Member

  #19
  Apr 20, 2014
  Joined: Jan 30, 2014
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Burushi people awafai ata bure wanawapa sana shida ndugu zetu mpk co vzr kwa kweli
   
 20. L

  LOVI MEMBE JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2014
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,121
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  MIMI NILIULIZA HAPO MNALIPWA SHILINGAPI KUWATETEA HAO BURUSHI? HAMJAJIBU WALA KUONESHA DHAHIRI NINI KINAWASUKUMA KUWATETEA. SITAKI NIWATUSI KWA KADRI NINAVYOUJUA UOVU WA WATU HAWA WASIO NA CHEMBE YA UTU. SINA HAKIKA LABDA UMEOA KTK UKOO HUO, UTANIAMBIA. KUWA WATU WANAODAI WENYEJI WAN MIAKA 50 TU UKILINGANISHA NA WABURUSHI. NIKUAMBIE SISI NI WAZAWA WA NCHI HII NA SINTAPENDA KUINGIZA UKABILA WALA RANGI. UKWELI UKO WAZI HUWEZI KUWAFICHA WABURUSHI NA MAOVU YAO KWA KISINGIZIO CHA UKABILA. ENZI ZA MWALIMU WANGESWEKWA NDANI VIBOKO 24; 12 WAKATI WA KUINGIA NA 12 WAKAWAONESHE WAKE ZAO. HAWA WATU AMBAO WALIINGIA NCHI HII KAMA WAWINDAJI HARAMU NA VIBARUA WA UJENZI WA RELI LEO WAMEKUWA WAUNGWANA. HAWA WATU WANA MAGHALA YA SILAHA AMBAZO WAKATI ZOEZI LA UPERESHENI TOKOMEZA HAWAKUGUZWA BADALA YAKE WASWAHILI NA WALALAHOI WANAOMILIKI SILAHA MOJA MOJA KIHALALI KWA AJILI YA KULINDA NG'OMBE WAO DHIDI YA WEZI NDIO WALIOSUMBULIWA KWA KUSWEKWA NDANI NA KUNYANG'ANYWA SILAHA. HAKI NA UTETEZI WA WABURUSHI IKO WAPI KAMA SIO WANASIASA WANAOJIPENDEKEZA KWA HAWA WATU JAMANI. IAM VERY DOUBTFUL WITH THE PIONEER WHO WANTS US TO BELIEVE THE BALOUCHI PEOPLE ARE THE OPRESSED CLASS IN TANZANIA. JUZI JUZI USANGU LOGISTIC -BURUSHI KAJA HAPA NA JOKOFU LA MAITI NA GARI LA WAGONJWA KWA AJILI YA HOSPITALI YA WILAYA NA KITUO CHA AFYA UTENGULE USANGU. KWA HAKIKA WATU WAMENUSA DHAMIRA YAKE YA KUHONGA WAPIGA KURA; ALILETA MASHARTI ETI GARI HILO LIENDESHWE NA DEREVA WA KWAKE NA GARI LAKE LIMEJAA MAANDISHI MAKUBWA UBAVU YANAYOSOMEKA USANGU LOGISTIC, THE BALOUCH COMMUNITY OF TANZANIA.CHA AJABU KTK KUKABIDHI ITIFAKI HAIKUZINGATIWA VITU VIKAKABIDHIWA KUPITIA KWA AFISA MICHEZO (W) BILA HATA MUAJIRI (DED) , DC NA UONGOZI WA CHAMA KUJUA. CCM IKAONA NONGWA IKAMUAGIZA KAMA SUALA LENYEWE NDO HIVYO BASI ASUBIRI 2016 ILI AJE KUTOA HIYO HISANI YAKE. BURUSHI HANA UZALENDO YEYE NI KUTEGA NDOANA WASWAHILI WAMESHTUKA JANJA YA NYANI KULA HINDI BICHI. KESI YA BURUSHI HAILINGANI NA MSWAHILI WALA BURUSHI HALALI lupango. chuki iko wapi hapai kama sio matendo yao wenyewe?
   
Loading...