Hotuba inayomtesa Mbowe na viongozi wa CHADEMA hii hapa

LAZIMA NISEME

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
232
260
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CHADEMA FREENMAN MBOWE WAKATI WA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KINONDONI 16 Februari 2018

Kwa wananchi:

Huu sio wakati wa woga, na kama kuna dhambi kubwa duniani ni woga …
ni nini?

(umati) WOGA …

Kama kuna dhambi kubwa kuliko zote duniani ni nini?.... (umati) WOGA

Tanzania tuna shida kubwa tuna wanaume na wanawake waoga.
Tuna watoto tunaowajenga kwenye taifa la woga, lazima tufike hatua tuseme haki zetu ni za msingi kuliko woga wetu, … chereees….

Kinondoni haki…(umati) SAWA

Peoples…. (umati)POWER

Leo tunamaliza kampeni,
Tunafanya kampeni, sio kwa mapenzi ya Mbowe,
Tunafanya kampeni kwa mujibu wa sharia za nchi, MAKOFIII
Hapa nina kitbu kina maelezo ya utaratibu wa kampeni wa uchaguzi katika nchi yetu..

Kuanzia wiki mbili au tatu zilizopita tumekuwa tunakutana na malumbano yasiyo na sababu, ya mtu anaeitwa msimamizi wa uchaguzi,

Mkurugenzi wa uchaguzi:

Kwasababu jeuri na kiburi alichotiwa na utawla wa Magufuli wana tuona sisi wote ni mazuzu wanaona kufanya maamuzi kinyume na sheria, na kuwakandamiza wapinzani, tunawaambia safari hii, tumewaambia safari hii ,
Huu ndio utakuwa mwanzo wa mwaka wa mageuzi motomoto nchi hii...

Hatupo kinondoni kumtafuta Salum Mwalim Peke yake; ila tupo kinondoni kuanzisha moto mpya wa mageuzi ya kweli na kurudisha uhuru wa kweli kwa mwananchi wa taifa liliojaa hofu kwa miaka mingi.
Polisi …… Kinondoni sikilizeni..
Ndugu zangu polisi, Mambosasa, Siro na wengine wote, sisi tumeshajipa kibali cha kuangulia mbele ya haki…

(umati) shangwe….

Haiwezekani wanaume wazima na akili zetu , na wake zetu na watoto zetu na wanawake viongozi wetu, na waume zao na watoto wao, tukafanywa taahira... haiwezekani ….. shangwe…

Hii ni nchi ya ajabu….
Sikiliza, mimi leo niko hapa kuliondoa taifa;

Ndugu zangu

Kule Afrika ya Kusini jana juzi aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma, amelazimishwa kujiuzulu,
Rais Zuma alijiuzulu kwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo yakupuuza katiba na sharia za afrika ya kusini pamoja na ufisadi .
Leo tuna rais wa nchi hapa anaitwa Magufuli anafanya watu wote wa nchi hii hatuna akili na watu tunakubali kwamba kasema magufuli….

Magufuli ni nani?…shangwe…
Magufuli nimekaa nae bungeni zaidi ya miaka kumi na tano, Magufuli ni mtu mmoja mfupi kitoka Chato, kila mtu Magufuli, Magufuli..yaani kila mmoja metro.. kisa nini .. Mgufuli mtu mmoja mfupi kutoka Chato. Balaa gani hii. ..

Magufuli amechaguliwa kuwa rais wanchi hii,
Akaapa kuilinda katiba, na katiba yetu inasema inasema utwala wa nchi yetu na mfumo wauongozi wa nchi yetu ni mfumo wa vyama vingi vya siasa.

Magufuli anasema hakuna kufanya siasa, mpaka 2020, na wanaume wote, wanawake wote wanakubali,
kasema nani Magufuli anavunja katiba badala ya kumkemea, tumtake ajiuzulu tunaogopa ujinga gani huu..

…. Shangwe…

Kesho ni uchaguzi,

Tulia,
Tuna vituo vya uchaguzi 613, mia sita na kumi na tatu..

Vyama vya siasa vina haki ya kutoa mawakala,
Mkurugenzi wa uchaguzi kinondoni, mtu mmoja mimi simjui.. anaitwa nani simjui, mnani nani simjui..
Mpaka tunapozungumza dakika hii, bado masaa 13, hatuja pata barua za kuwatambulisha mawakala wetu. Wanasubiri. Eti watoe kesho halafu wakati wanatoa wamesha chakachua kura, haki ya mungu,

Peopless ..(umati) POWER…

Ni hivi nimezungumza ya Zuma .. Miezi hii hii alikuwepo dickitetor mzoefu Robert Mugabe wa Zimbabwe removed from power. juzi waziri mkuu wa Ethiopia ambae tangu 2012 mpaka jana amefunga wapinzani ndani ya nchi yake zaidi 12,000 juzi ameondoka kwa .

Peoples .... (umati)Power….

Magufuli ni mwepesi kama karatasi….

Peoples.. (umati)power

Ndugu zangu wa kinondoni, uchaguzi ni zoezi la kujipatia wawakilishi, na uchaguzi sio zoezi la misiba, tunapozungumza hapa kiongozi wetu wa ward ya kinondoni hananasifu yuko motuary. Kiongozi wetu, katibu aliyekuwa sehemu ya timu yetu ya kampeni, yuko kwenye barafu.. Amekamatwa na makada wa CCM, kwa msaada wa vyombo vya ulinzi na usalama,
Tulia..
Wamemnyonga, wamemuua, halafu sis tunaona ni jambo la kawaida,
Tunacheka na polisi,
Tunacheka na CCM,

Hiki siyo chama cha kuongoza, nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, kuitafuta haki kwasababu tumechoka kuuwawa,
Tumechoka nini?.. (umati)Kuuwawa…
Tumechoka nini?.. (umati)Kuuwawa…

Polisi..

Tulia..

Usalama… Mtatuua 10, mtatuua 20 , mtatuua 100. Lakini matokeao ya vifo vya watu 100, vitabadilisha uhuru wa nchi yetu,

Matokeo ya watanzania 100 watakao kufa wataleta haki katika taifa hili… Wangapi wako tayari kuchukua bei hiyo… ….. asanteni kinondoni, …….

Uchaguzi huu, uchaguzi huu.. sio tu wa kumpata mbunge, Uchaguzi huu, Ni Fursa ya vielelezo, vya namna ambayo watanzania wanaumia,

Jana nimeingoza wabunge wangu hawa kwenda makao makuu ya tume ya uchaguzi,
Wanatuambia hatuwezi kuingia ofisini,
Tukawambia ofisi hii ni ya baba yako hii…
Hatimae tukaingia
Ndugu zangu niwaambie,
Chama Cha Mapinduzi, kinajua,
Chama Cha Mapinduzi, kinajua,
Tukiingia kwenye sanduku la kura, haki bin haki asubuhi, asubuhi misa ya kwanza CCM hawapo..
Uwongo … Kweliiii…. Sasa leo.. silency Kinondoni…

Tuna vituo vya kupigia kura 613, wasimamizi wa uchaguzi, ambao kwa ustaarabu wa nch yetu, wangetoka kinondoni..

Leo wasimamizi wa uchaguzi, wameletwa kutoka Ilala, wameletwa kutoka Temeke, wameletwa kutoka ubungo, kila kituo cha kupiga kura kina watendaji wasio pungua wanne.. watano.. tukichukua 600 mara 5 ni elfu ngapi?
Ni 3000 hawa wote sio wapiga kura halali wa Kinondoni..
Wametengezewa vitambulisho bandia, kwamba wakiingia kituoni wanajaza fomu sijui namba ngapi? … wanapiga kura Kwa hiyo eti asubuhi mapema vote piga kura 3000 za CCM, hawa wanatoka Temeke, Ubungo na Ilala.
Na hao ni makada wa CCM , tunasema uchaguzi gani huu upumbavu mtupu huu..
Ndugu zangu wananchi wa kinondoni,

Tunamtafuta Salum Mwalim awe Mbunge lakini wakati huohuo tunautaka uchaguzi wa Kinondoni, uwe mwanzo wa ukombozi mpya wa nchi yetu.
Na kama kwa kufanya hivyo itampendeza mwenyezi mungu, Mbowe na wengine tutangulie mbele ya haki,…
Tuwe tayari kutangulia mbele ya haki, ili taifa hili likapate neema ya kudumu.

Hii nchi inadharaulika, Kenya wanatudharau, Rwanda wanatudharau, Uganda wanatudharau, nchi ya wanaume hamsini Waoga, Yani kwa lugha wanasema wanaume kama wanawake…

Mko hapa mmesimama mmevalia suruali, useless cowerd men wanaume kabisa.

Salum Tafadhali, (ANAMUITA JUKWAANI)

Ndugu zangu, Magufuli na ubabe wake watu wanatekwa wanauwawa,
Juzi ametekwa kijana wetu mwingine, nimesema hapa yupo mochwari.
Haki ya mungu ingekuwa nchi nyingine, Kinondoni ingeshakuwa majivu. Watu mpo hee katekwa…. Wanaume gani nyie..

Lisu amepigwa risasi na machine gun .. na vyombo vya dola
Leo ni mwezi wa sita Lisu yupo matibabuni nchini ubeligiji, brusels…

Watanzania mkoo aaahh lisu bwana .. lisuu… halafu mnarudi nyuma… Kuna mwanzishi wa habari anaitwa Azori kutoka kule kibiti sijui Lindi , mkurabita wapi, wapi wanaita..
Leo anasiku 86, amebebwa na vimbo vya dola, amepotea, kaacha mke , kaacha watotot kaacha familia….

Ben Saanane….

Tunaona nchi hii imekuwa nchi ya kupoteza roho za watu,

Na ninyi wananchi mnaona mambo ya kwawaida..

Wabunge hawa wanazungumza Dododma wanakimbizwa Bungeni…

Ninachosema sukuhu ya nchi hii haiku bungeni,

Suluhu ya nchi hii iko kwa wananchi wenyewe, …

Lakini ili tuipate suluhu hiyo lazima tukubali kubeba mjeneza, lazima tukubali nini… Majeneza…..

Ndugu zangu ni hivi inawezekana leo mnaogopa kufa, lakini niwaambie ukweli,..

Tunazika watanzania wenzetu kwa mamia na maelfu,wanakufa kwa kukosa dawa za malaria, wanakufa kwa kukosa dawa za msingi za matibabu,Wanakufa kwa kipindupindu wanakufa kwa kuuwawa, wanakufa kwa uzembe wa serikali ya CCM, Nibora tuwabebe wachache, hata wakiwa 200 waliokufa katika ukombozi, ili hatimae nchi hii ikasimame kama nchi ya wanaume wengine katika Dunia hii.

Wanashindwa kuongoza wananunua wajinga,

Wanashindwa kuiongoza serikali wanaua viongozi, wanaua wasaidizi wetu,

Tukianza kuwataja wote hatuta maliza hapa ben Saanane ni mmoja wao mmemtaja hapa,

Ni mwaka wa pili Ben not seen,

kosa la Ben ni nini? Ben aliandika makala kwenye mitandao akihoji degree inayoitwa Phd, ya Magufuli. Kwamba huyu rais wetu huyu anaitwa Doctor, huu udoctor kaupatia wapi?

Tuelezwe Udoctor wa Magufuli ameupatia wapi? Kahoji Ben Saanane.. ohoooo kamata… sweka ndani .. hatujui aliko…. Kaenda wapi? watu Wasiojulikana.

Wanamjua aliyehusika…

Haiwezi kuwa nchi, vyombo vya habari havina uhuru, wananchi wamejaa hofu tupu, askari wamejaa hofu, usalama wa taifa umejaa hofu…

CCM wenyewe wanajibarajuza tu lakini wamejaa nini? WOGA….

Lazima tuikatae hofu…

Ndugu yangu mwalimu…. Umesha fanya kazi kubwa sana wewe na wenzako, tunakuombea kura uende bungeni kuongeza idadi… Lakini tunakuombe akura ukawe kiongozi wa watu, wa watanzania wote, lakini kwasababu wewe ni kiongozi wa CHADEMA,

Tunakuombea kura ukawe mwakilishi wa watu, ukatunge sharia… tukitatambua kwamba ukienda kwenye uongozi wako, utawaongoza wa chadema, utawaongoza wa CUF, Utawaongoza wa CCM na utawaongoza wasio na vyama.. utakwenda kuongoza kwa kutenda haki kwa wote.. Uwongo Jamani? Audience: KWELII…

Lakini zaidi hatukutumi ukawe kibaraka wa magufuli, hatukutumi ukawe kibaraka wa mbowe, Tunakutuma ukawe muwakilishi solid wa watanzania……

Kahakikishe haki inapiganiwa kwa gharama yeyote..
Hatukutumi ukachukue ubunge na kujiita mheshimiwa..

Tunakutuma kwenye wajibu..

Kwa hiyo Mahakama itakuhusu..

Mahabusu itakuhusu…

Na kipigo kita nini? …(umati) KITAKUHUSU…. Kitamuhusu..na uwe tarari kwa mpango huo….

Usiwe kama Yule mototo sio riziki … anaempenda mwanaume mwenzake kamaa….

Sasa.. siasa ya mwanasiasa ni mdomo wake yeye mwenyewe…

Siwezi kumbembelezea kura ninaomba yeye aongee yeye mwenyewe …

Halafu ninyi matahoji kama ni mashine au sio mashine… akimaliza nitaomba nifunge mkutano…

Nitaomba dakika tano tu..

Ili tukajiandae kwa mambo mengine..

Nitawaambia wananchi nini kifanyike leo…

Makofi…..

-------

Salim Mwalim’s speech…

------

Mbowe.

Kinondoni Hoyee….

Peolples …(umati) power

Hakiiii…(umati)sawa

Nilisema siasa ni mdomo..
Na mdomo unaashiria dhamira..

Nikasema siwezi kmwombe kura kabla hamjamsikiliza…
Ninamba niwaulize kinondoni..
Tumeleta mashine au .. nanino … naninoo….. MASHINEE..
Wangapi wanasema salumu mwalimu ni mbunge kesho..

Nyosha mikono Juu …

Nyosha mikono Juu ..

Asanteni asanteni sana Sasa ndugu zangu..

Ninaelekea kufunga mkutano.. Naomba tuelewane… Maana ya uchaguzu ni nini…

Na polisi ninaomba mnisikilize…

Maana ya uchaguzi.. maana ya uchaguzi wa vyama vingi ni kila chama kinaleta mgombea wake anajieleza, wananchi wanasikiliza... kasha mnakwenda kufanya maamuzi..

Na Maamuzi mnayofanya yaheshimiwe.. si ndio jamani..

Sasa mpaka dakika hii tunapozungumza
Wamawaka wa CHADEMA kwa wiki nzima wanasumbuliwa na wasimamizi wa uchaguzi wa kinondoni…

Mpaka dakika hii hawajapewa barua ya utambulisho, wameapa siku tano zilizopita …
Jana nimekwenda tume NEC nikamuaona mkurugenzi Kailima.. akaniambia mwenyekiti Mbowe kesho mapema yunashughulikia na kumaliza shida hii..

Sasa ni saa kumi na mbili (18:00hrs ) hatuja pata barua za kuwatabulisha mawakala wetu…

Halafu ninyi wananchi wa kinondoni

ambao mpo tayari kumchagua mbunge wenu..

akachakachuliwe kesho..

Mko tayariii?

(umati)Hatukubali

Sasa sisi tunaamua hivi…

Tunaamua hivi Tunajua mkurugenzi yuko bize… Lakini hakuna kitu bize kuliko haki yetu…
Tunakwenda sasa ofisini kwa mkurugenzi..
Akatupe vitambulisho..

Akatupe barua… za mawakala wetu..

Sawa sawa..

Wangapi mnasema tunakwenda… Wangapi tunasema tunakwenda…
Tunakwenda kwa mkurugenzi..

Sikiliza kinondoni..

Hatutaki fujo, asiumwe mtu ..asiumizwe mtu,

Asiumizwe nzi…

Huyu mkurugenzi tumemwambia, nimemwambia bosi wake jana… Mambo haya ya masihara yataharibu amani ya nchi hii..

Kama mnaifikiri Kinondoni,
Ilala itawaka…..
Temeke itawaka…..
Mkurugenzi hataki kutoa barua
Tunakwenda kusubiri barua..

Wangapi wako tayarii
Wapikipiki, Wabaisikeli, Tunakwenda kinondoni

Kudai barua zetu…

Peoples……..

Maandamano yakaanza kuelekea kwa mkurugenzi …..

KISHA ...
VURUGU
AKWILINA AKAUWAWA...
WAFUASI WA CHADEMA WAKAUMIZWA...
 
Attachments

  • bunduki-4.jpeg
    bunduki-4.jpeg
    35.4 KB · Views: 145
  • bunduki-3.jpeg
    bunduki-3.jpeg
    30.6 KB · Views: 108
HOTUBA YA MWENYEKITI WA FREENMAN MBOWE WAKATI WA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO KINONDONI 16 Februari 2018

acha upuuzi wewe, cha ajabu nini hapo. unaelewa maana ya freedom of speech and expression ambayo ni on of the pillar of democracy, ccm kama siasa ya vyama vingi hamuitaki bora mfute tu
 
mbona maneno yote hayo yanaashiria kwamba kiongozi anaeongea hapo ni kiongozi wa chama pinzani?na wala sio wa ccm na vyama pinzani vimeruhusiwa kwa mujibu wa sheria,halievunja sheria hapo ni huyo aliyekataa kutimiza wajibu wake wa kutoa barua za mawakala ndio anatakiwa ashughulikewe kwa hali ya juu sana
 
Sijaona hapo kama kuna shida mbowe kaongea kweli mtupu hata kenyatta aliwahi kumwambia mwalimu anaongoza maiti wajua kwa nini? Soma heading yako inaaakisi kundi la maiti mbowe was right ni kweli watu wanapigwa risasi na kupotezwa kwa nini tuichekee serikali halafu badala ya kumpa nguvu mbowe unaandika hotuba inayomtesa poor tz huwez kuona maumivu ya wakina akwelina hadi itokee ktk familia yako polisi walikuwa sahihi kupiga risasi?
 
bonge la speech, dah aisee Mbowe ni mwana siasa mahiri sana hadi Magu anakosa usingizi
 
Sasa nime elewa kwanini DJ alikua anasema wanataka kunibambikizia kesi.

Hii hotuba mojakwamoja inaonyesha ali wachochea wananchi waandamane kuelekea kwa mkurugenzi wa tume tena akijua mkurugenzu yuko bize kama alivyotamka kwenye hotuba yake na kwamuda walio amua kwenda kwa mkurugenzi ni zaidi ya saa 12 jioni.

Yeye DJ akiwa kinara wa maandamano hayo ambayo hayakua na kibali cha Polisi. Maandamano hayo yalitawanywa na polisi na kupelekea Akwilina kufariki. Mojakwamoja DJ akiwa ana akili timamu bila kuitaji elimu ya juu analiona kosalake lililo sababisha kifo cha mwanafunzi.

Nasasa anatafuta huruma kwa jamii na kudai mamlaka zinataka kumbambikia kesi.Iyo hotuba kwenye mahojiano na polisi ita mtesa sana.
 
mbona maneno yote hayo yanaashiria kwamba kiongozi anaeongea hapo ni kiongozi wa chama pinzani?na wala sio wa ccm na vyama pinzani vimeruhusiwa kwa mujibu wa sheria,halievunja sheria hapo ni huyo aliyekataa kutimiza wajibu wake wa kutoa barua za mawakala ndio anatakiwa ashughulikewe kwa hali ya juu sana
barua hizo hutolewa na vyama...viapo sio mali ya mtu ni mali ya tume...sasa walichokuwa wanakifuata kwa mkurugenzi ni kipi zaidi ya vurugu?
 
Back
Top Bottom