Wewe na hoja ya hamna mashiko, kajitafakari upya au ni saum?Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Hongera wewe maana umekuwa wakwanza kufufuka baada ya jana kuzirai! Wenzio bado wako dunia nyingine. Ndo maana umeamka na ndoto ambayo hata mwenzio Magimbi kabla hazazirahi aliiota na tukamjibu hivi:Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Magimbi,
Hii ni tathmini yako ni ya haraka haraka na ya juu juu sana. Unaweza ukadhani kwamba watu hawakujitokeza eti kwa sababu ya hofu lakini baada ya utafiti ukaja kubaini kadi za kupigia kura ndizo zilinunuliwa kwa zaidi ya asilimia 60 ili kuwa na hakika ya ushindi kwa ccm! Na labda asilimia zingine 15 ya waliohisiwa kuwa wafuasi wa upinzania wametiwa kashkash ikiwemo kuswekwa ndani. Hii nadharia ikiwa na ukweli kwa kiasi chochote kile hutaona kwamba chochote kile ilichopata ccm ni kikubwa sana na haikukistahili? Hizi ndizo mbinu za genius mchumi wa dalaja la kwanza Mwigulu Nchemba!
Huo udhauri kaa naoWana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
this is very serious.
Vipi umesha maliza maelezo yako??? Mi napita tu ila nilikushangaa maneno yako. Kifupi ni kwamba ni CCM hao hao wamesababisha hao 54,000 wa Chadema wasijitokeze kisa bunduki bastola na mabomu ya CCM kupitia AmiriJeshi wa Green Guarrs Mwigulu Nchemba
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
mimi nakuridhisha kwa kukuambia kwamba, ccm wameshinda kata zote nneWana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Mbona haukuuliza uchaguzi wa rais 2010 kwani 34% tu ndo waliopiga kura na kura zjlizomuweka JK madarakani zilitoka humo humo.Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Sijui ni kwa nini ama ni nini kipo.
Lakini elimu juu ya uhuru na haki ya kura miongoni mwetu ni tatizo. Tutizame uchaguzi mkuu ulipita mwaka 2010 wapliopiga kura walikuwa ni watu wachache sana ikilinganishwa na waliojiandikisha.
kwenye chagauzi ndogo hali inajirudia licha y kuwa na mahudhurio mazuri kwenye kampeni na usajili wa wapiga kura. Binafsi mimi ni miongni mwa watu ambao hawaendagi kupiga kura kabisa licha ya kwamba najua umuhimu na faida yake. swali amballo huwa sina jibu lake ni hivi ni kwann sipendi ama siendi kupiga kura?? na pia uwa najiulaiza kuna watu wangapi wenye tabia kama hii??
maswala mengiine nafikiri siyo ya vyama vya siasa ila ni ya mtu binafsi tu kwamba anapenda ama hapendi na ni uhuru wa mtu kupiga ama kutokupiga kura
Hao wote 6,000 walojitokeza walikuwa ni MaCCM wakuaminika wote lakini kutokana na Upuuzi wenu mkiongozwa na Mwigulu Nchemba wameamua kujivua GAMBA na kujiunga na CDM kwa njia ya Kura.Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
We utakuwa si mzima....Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Dada yangu gfsonwin pole, haya uliyoambiwa ni makali kusoma lakini ni ukweli mtupu!kutokujiandikisha kuoiga kura ni upumbavu,kujiandikisha alafu usipige kura ni upumvavu zaidi.viongozi wabovu huchaguliwa na watu wasiopiga kura.JK nyerere.