Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
Wana jf hebu tuone aibu
kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa
hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya
wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem
zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya
people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri
kwa hiyo unataka kusemaje???
kwamba ccm ndio imeshinda arusha?
hongereni ccm kwa ushindi mnono
hahahaha
daaaah hapa duniani kuna watu wa ajabu sana.!?