CHADEMA yashindwa vibaya Arusha

CHADEMA yashindwa vibaya Arusha

salimkabora

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,441
Reaction score
653
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri
 
Waulize CCM ndo wenye Daftari la wapiga kura, hao watu wako wapi? Pia huwa wananunua shahada za wapiga kura sijui huwa wanazipeleka wapi? Ila kwa walijitokeza CHADEMA imeibuka Kidedea!
 
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Udhauri ni nini?...
 
Mimi na ndugu zangu wote CCM, lakini kitendo cha kupiga bomu pale soweto , wote tulikubaliana tukaiadhibu CCM kwa kuipa kura CDM
 
Mtuma mada sijui kwann ww ni jf senior member kwa maneno yako ya hovyo.
 
Ni ujinga wa majaribio yenu ya akili ndogo. Mulidhan mukiwatisha watu na askari ndio CDM hawatakuja kupiga kura? Na kwa taarifa yenu hio hesabu yenu ndio iliyowafanya wale tegemezi lenu (Wazee na Mabibi) kuogopa na badala yake vijana kuwa wengi.

Na mshukuru daftari halijarekeboshwa hadi leo vinginevyo mngelia zaidi.
 
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri

Hebu fikiria kwanza idadi liojitokeza katika nchi nzima kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 ambapo Rais, Wabinge na Madiwani walipatikana.
 
naona team buku saba mmeanza kurejea baada ya maumivu kupoa.vjana mnamoyo nyinyi!!.
 
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri

utawajua kwa style zao za uandishi tu kuwa wametumwa.
Mtu ameshindwa kufanya hesabu ndogo tu
[FONT=bookman old style,new york,times,serif][FONT=lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif]Kabla ya uchaguzi, CCM 20 Chadema 5 (20-5=15)[/FONT]
[FONT=lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif]Baada ya uchaguzi, CCM 15 Chadema 11[/FONT]
[FONT=lucida grande,tahoma,verdana,arial,sans-serif](15 - 11= 4).[/FONT]
[/FONT] hiyo tofauti ya nne ndo inaqualify kusema CDM yashindwa vibaya?
Angalia vizuri mzee. Hata ingekua ni mfanyabishara angeshahisi biashara yake sasa ina mashaka. We umetumwa na aliekutuma anajua anakutumia bila wewe uliyetumwa kujua. pole ndo siasa za bongo lakini. Unaishia kuwa kama tambara la deki ambalo linakosa thamani baada ya kufanyia usafi.
Sorry lakini
 
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri
Unajifariji...!!
 
Vipi umesha maliza maelezo yako??? Mi napita tu ila nilikushangaa maneno yako. Kifupi ni kwamba ni CCM hao hao wamesababisha hao 54,000 wa Chadema wasijitokeze kisa bunduki bastola na mabomu ya CCM kupitia AmiriJeshi wa Green Guarrs Mwigulu Nchemba
 
Sijui ni kwa nini ama ni nini kipo.

Lakini elimu juu ya uhuru na haki ya kura miongoni mwetu ni tatizo. Tutizame uchaguzi mkuu ulipita mwaka 2010 wapliopiga kura walikuwa ni watu wachache sana ikilinganishwa na waliojiandikisha.

kwenye chagauzi ndogo hali inajirudia licha y kuwa na mahudhurio mazuri kwenye kampeni na usajili wa wapiga kura. Binafsi mimi ni miongni mwa watu ambao hawaendagi kupiga kura kabisa licha ya kwamba najua umuhimu na faida yake. swali amballo huwa sina jibu lake ni hivi ni kwann sipendi ama siendi kupiga kura?? na pia uwa najiulaiza kuna watu wangapi wenye tabia kama hii??

maswala mengiine nafikiri siyo ya vyama vya siasa ila ni ya mtu binafsi tu kwamba anapenda ama hapendi na ni uhuru wa mtu kupiga ama kutokupiga kura
 
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya peole's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape udhauri

Hiyo udhauri inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom