Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Siku yamabadiliko ikifika hakuna atakaye pinga hata akisimama naupanga hakuna atakaye hofia ......... alama za nyakati hizo zimesha someka asante CDM
 
mgombea wa chadema said amur arfi ameshinda na amemzidi mgombea wa ccm kwa kura 67 tu,na ameshatangazwa na tume na mpanda yote imelipuka kwa shangwe,niko mitaani hapa mjini mpanda ni shangwe na nderemo.

Kwa mara ya kwanza nakupa thanks! Mzee wa CUF
 
Hizi ni habari njema sana kwani Ndugu Arfi ni mpiganaji mzuri na hii inaihakikishia Chadema kupata walau wabunge wawili wengine wa viti maalumu. Hongera sana Ndugu Arfi na Chadema!
 
dah, nasubiri kuhakikishiwa sitaki kufurahi afu nianze kuomboleza baadae!
By the way,that's good news!

Nambieni jama,viti maalumu pia vitaongezeka kwa vipi yani?
 
Mwera hizo ni habari njema sana.

Na mimi napata kikombe cha kahawa hapa huku shemeji yenu akinichezea "Yori Yori"

Nina nusu lita ya laga kwa kusheherekea. Nadhani NEC walitaka kuchakachua lakini JK akawakataza kuwa sasa inatosha kwa vile yeye keshaingia Ikulu na CCM imeshapata viti maalumu 64; ... just me
 
Kwa mara ya kwanza nakupa thanks! Mzee wa CUF
masanilo mimi napenda mabadiliko nawala sio cuf,ila sipendi wapinzani kwa wapinzani kushutumiana nakuipa faida ccm,kwataarifa tu rasmi nakupa masanilo huyu mgombea wa chadema alieshinda leo said arfi nimwamlim wangu nanamkubalisana,ndio mana nilikuja mpanda kumpa sapoti.
 
Nina nusu lita ya laga kwa kusheherekea. Nadhani NEC walitaka kuchakachua lakini JK akawakataza kuwa sasa inatosha kwa vile yeye keshaingia Ikulu na CCM imeshapata viti maalumu 64; ... just me

Haaa haaa Mkuu nimecheka sana . . . .

Tuko pamoja Kamanda!
 
sorry wadau, what a coincidence vituo Azimio 2 & 5 kura zimefanana exactly! Isiwe ya Nyang'hwale na Geita! All the best Chadema
 
masanilo mimi napenda mabadiliko nawala sio cuf,ila sipendi wapinzani kwa wapinzani kushutumiana nakuipa faida ccm,kwataarifa tu rasmi nakupa masanilo huyu mgombea wa chadema alieshinda leo said arfi nimwamlim wangu nanamkubalisana,ndio mana nilikuja mpanda kumpa sapoti.

Nimepitia matundiko yako yameniumiza sana! Nadhani ukirejea unaweza ona I was trying to be so hard on you. Anyway karibu sana Zenj ukiwa mitaa ya huko niPM mimi ninafuraha na hii kitu "Arrogant Bastard Ale"

stone-arrogant-bastard-ale.jpg
 
Asante sana Mwera kwa uthibitisho. Kwa wale wanaojua hesabu za viti maalum msaada plz, je viti maalum vitaongezeka? Kama jibu ' 'yes' tupe hesabu zinavyofanyika.
 
mgombea wa chadema said amur arfi ameshinda na amemzidi mgombea wa ccm kwa kura 67 tu,na ameshatangazwa na tume na mpanda yote imelipuka kwa shangwe,niko mitaani hapa mjini mpanda ni shangwe na nderemo.

Mbona kuna mtu wangu yupo pale anasema ni kweli Chadema inaongoza ila bado hawajatangaza na vijana wameshasema kama uchakachuaji ukitokea basi familia ya Waziri mkuu itakuwa imehusika kwa mambo yote na vurugu zozote watahusika kwa vyovyote; wajameni ebu kuweni wakweli naona habari zinakimbia kwa kasi sana
 
Asante sana Mwera kwa uthibitisho. Kwa wale wanaojua hesabu za viti maalum msaada plz, je viti maalum vitaongezeka? Kama jibu ' 'yes' tupe hesabu zinavyofanyika.

NEC hawakutangaza viti maalumu vyote ili kusubiri matokeo ya hivi vituo 7 , hivyo ni wazi CHADEMA vitaongezeka viti maalumu.
 
Mbona kuna mtu wangu yupo pale anasema ni kweli Chadema inaongoza ila bado hawajatangaza na vijana wameshasema kama uchakachuaji ukitokea basi familia ya Waziri mkuu itakuwa imehusika kwa mambo yote na vurugu zozote watahusika kwa vyovyote; wajameni ebu kuweni wakweli naona habari zinakimbia kwa kasi sana

mm nipo kawajense ila kuna habar zakutatanisha sasa eti tume inadai ilitaka kutangaza kabla yakutangaza wafuas wa chadema wakaanza kushangilia kwasabab kilakitu kikowazi chademawameshinda kwakura 67,sasa wamemvuta ndani arfi wa chadema ambae ameshinda wanasema wanachek mahesab yakituo kimoja,kwakweli nimkanganyiko mkubwa sanahapa mpanda watu wako mitaani wanashangilia huku tume imezua lake jambo lingine,hapa sasa wanataka kuchakachua,ila nahic wakimtangaza wa ccm itakua balaa,watu wanahesabu yakura zakituo kwakituo arfi ameshinda kwakura 67,kama upo hapa mpanda pita uone matokeo yaliyobandikwa vituoni utaona kama chadema wameshinda,lakin mmmhhh!
 
hii ndio kitu nakataa kila siku kwa nini chadema ikishinda kunakua na mizengwe mingi katika suala zima la kumtangaza mshindi halali?
kama wananchi wameamua wao ni nani kupingana na maamuzi ya wananchi?
 
Back
Top Bottom