CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Messages
1,520
Likes
45
Points
145

Wa Ndima

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2010
1,520 45 145
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa

Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2, Chadema (72), CCM (62),
Azimio 3 Chadema (88), CCM (49),
Azimio 4, Chadema (72), CCM (55),
Azimio 5, Chadema (72), CCM (62).

Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62),
Paradise 2, Chadema (94), CCM (55),
Paradise 3, Chadema (100), CCM (68),
Paradise 4, Chadema (94), CCM (63),
Majengo Chadema (73), CCM (65),
Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63),
Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59).
Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73),
Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64),
Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69),
Isikama 1, Chadema (90), CCM (67),
Isikama 2, Chadema (108), CCM (78),
Isikama 3, Chadema (90), CCM (73).

UPDATES:

Taarifa nilizozipokea sasa hivi kutoka kwa Mhe Zitto aliyepo huko Mpanda Mjini ni kwamba CHADEMA wameshinda kwa tofauti ya kura 607 kwa majumuisho ya kura kutoka katika vituo. Kinachosubiriwa ni msimamizi kutangaza matokeo na kwa uzoefu kutoka uchaguzi uliopita hapo ndipo songombingo ilipo!
 

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Messages
3,584
Likes
40
Points
0

Hofstede

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2007
3,584 40 0
Ninajua CCM kwa aibu na kuona kuwa nchi za magharibi zilibaini mchezo wao mchafu wa chakachua basi watajifanya kuzifanya chaguzi hizi kuwa free and fair. Lakini hilo halisaidii kitu kwani the damage has been done
 

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Likes
24
Points
135

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 24 135
dah,nitalia kwa kweli jamaa asiposhinda,ila naamini lazima ainuke kama nguvu za polisi hazitazuia nguvu ya umma kama nilivosoma leo gazetini
 

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
1,069
Likes
1,132
Points
280

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
1,069 1,132 280
Mimi nina mashaka kwa sababu it is too close to call. Kama vituo vya mjini Chadema anaongoza kwa ushindi mdogo, kuna hatari kura za vituo vya nje ya mji hali ikabadilika ghafla. Daima ukitaka Chadema ishinde, inabidi ishinde sana.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,747
Likes
7,616
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,747 7,616 280
Hivi ndivyo ilivyotakiwa kuwa.. na matokeo ya Urais yangekuwa yanarushwa hivyo hivyo.. !!! Uzuri pia ingekuwa na source nyingine ya pili au ya tatu na yenyewe inarusha matokeo.. Thanks wa "nyumbani"
 

makoye2009

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Messages
2,644
Likes
499
Points
280

makoye2009

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2009
2,644 499 280
Matokeo ya awali Mpanda Mjini Said Arfi wa Chadema anaongoza vituo 27 kati ya 28 mpaka sasa

Katika vituo vingine na kura za wagombea katika mabano ni
Azimio 1, Chadema (124), CCM (23),
Azimio 2, Chadema (72), CCM (62),
Azimio 3 Chadema (88), CCM (49),
Azimio 4, Chadema (72), CCM (55),
Azimio 5, Chadema (72), CCM (62).

Katika kituo cha Paradise 1, Chadema (64), CCM (62),
Paradise 2, Chadema (94), CCM (55),
Paradise 3, Chadema (100), CCM (68),
Paradise 4, Chadema (94), CCM (63),
Majengo Chadema (73), CCM (65),
Makanyagio 1, Chadema (64), CCM (63),
Makanyagio 2, Chadema (86), CCM (59).
Makanyagio 3, Chadema (103), CCM (73),
Makanyagio 4, Chadema (92), CCM (64),
Makanyagio 5, Chadema (88), CCM (69),
Isikama 1, Chadema (90), CCM (67),
Isikama 2, Chadema (108), CCM (78),
Isikama 3, Chadema (90), CCM (73).
Saafi sana CHADEMA. Hili jimbo piga ua tunalichukua. CCM walie tu!!!!!!!!!!!!!!!!
Nasubiri kwa hamu kuona kama haya MATOKEO yata-tally na yale ya NEC!
Je,NEC wataendelea na mchezo wao wa kuchakachua au wamejifunza kutokana na upuuzi wao wa 31 Oktoba?
Tusubiri.
 

Forum statistics

Threads 1,203,240
Members 456,677
Posts 28,105,936