Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

Safi sana mdau wa nyumbani, habari njema hizo!! waiter lete konyagi baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na wewe wa jikoni lete kitimoto rosti fastaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
confirmed chadema imeshinda sumbawanga mjini, nimeongea na reliable source bravo chadema:israel:
 
mm nipo kawajense ila kuna habar zakutatanisha sasa eti tume inadai ilitaka kutangaza kabla yakutangaza wafuas wa chadema wakaanza kushangilia kwasabab kilakitu kikowazi chademawameshinda kwakura 67,sasa wamemvuta ndani arfi wa chadema ambae ameshinda wanasema wanachek mahesab yakituo kimoja,kwakweli nimkanganyiko mkubwa sanahapa mpanda watu wako mitaani wanashangilia huku tume imezua lake jambo lingine,hapa sasa wanataka kuchakachua,ila nahic wakimtangaza wa ccm itakua balaa,watu wanahesabu yakura zakituo kwakituo arfi ameshinda kwakura 67,kama upo hapa mpanda pita uone matokeo yaliyobandikwa vituoni utaona kama chadema wameshinda,lakin mmmhhh!

Ndugu mbona unatuchanganya? nilidhani ile habari uliyoandika mwanzo ni confirmed na kwamba ni matokeo toka tume ya uchaguzi? tafadhali tunakuomba ufuatilie kwani wewe upo huko najaribu kwapigia watu huko sipati mawasiliano. Isije tokea kama sumbawanga mjini

Please try to look for official info
 
hii ndio kitu nakataa kila siku kwa nini chadema ikishinda kunakua na mizengwe mingi katika suala zima la kumtangaza mshindi halali?
kama wananchi wameamua wao ni nani kupingana na maamuzi ya wananchi?
mkuu samora mimi nipo mpanda kwasasa nafatilia hatua kwahatua ila kuna shangwe kubwasana watu wanashangilia ushindi ila tume wamegeuka wadai wanahesabu kura zakituo kimoja,wamesharudia zaid yamara 5 chadema wameshinda ila maraya6 eti wamehesabu eti mgombea wa chadema anaongoza kwa kura 40 badala yazile 67 wamekata 27,sasa nirasmi wanachakachua,nakuna jamaayangu kigogo 1 kaniibia siri wanasema iwe isiwe watamtangaza ccm ameshinda,yaani niutata mtupu,napenda kukwambia kua sasa rasmi wanachakachua matokeo,tusubir tuone itakuaje,ila kwamahesabu yavituoni chadema wameshinda,nahic yatakua kama yale yazenj cuf matokeo yavituoni wanashinda lakin matangazo yatume wanatangaza watu wao wa ccm
 
Hongera sana wapiganaji!!

Na inaogeza kazi ya kutafakari na kuchukua maamuzi kwa JK na CCM...
 
mkuu samora mimi nipo mpanda kwasasa nafatilia hatua kwahatua ila kuna shangwe kubwasana watu wanashangilia ushindi ila tume wamegeuka wadai wanahesabu kura zakituo kimoja,wamesharudia zaid yamara 5 chadema wameshinda ila maraya6 eti wamehesabu eti mgombea wa chadema anaongoza kwa kura 40 badala yazile 67 wamekata 27,sasa nirasmi wanachakachua,nakuna jamaayangu kigogo 1 kaniibia siri wanasema iwe isiwe watamtangaza ccm ameshinda,yaani niutata mtupu,napenda kukwambia kua sasa rasmi wanachakachua matokeo,tusubir tuone itakuaje,ila kwamahesabu yavituoni chadema wameshinda,nahic yatakua kama yale yazenj cuf matokeo yavituoni wanashinda lakin matangazo yatume wanatangaza watu wao wa ccm

Duh sasa hizo fujo kwanini wanataka kulazimisha hivyo au ndio wanawajaribu wananchi wa Mpanda waone kama wako ngangari??
 
confirmed chadema imeshinda sumbawanga mjini, nimeongea na reliable source bravo chadema:israel:
Bulunga umepost haraka hapa halafu unapotea ghafla, tafadhali jibu swali la mwanajamvi hapa, najua umekosea ukaandika sumbawanga mjini badala ya mpanda mjini.

swali je ni nani ameconfirm hiyo tarifa? is NEC au mtu tu? cause kuna conflicting news ndani ya jamvi hapa mwanzo tuliambiwa kashinda baadaye tunaambiwa kuna utata. Tafaghali thibitisha mkuu

Hatujalala kusubiri matokeo hayo
 
Good news! Arfi ni mwarabu/mhindi? - just curious.. Ingependeza kama angepatikana angalau mbunge mwarabu/mhindi.
said arfi ni mtanzania mwarabu mwenye asili yaoman,amezaliwa mpanda amekulia mpanda ila ni mwenye asili yakiarabu toka oman
 
sorry wadau ni mpanda mjini, :bowl:

Mwamajamvi mbona mnatuchanganya? kuna mwingine hapo juu (OMUNGA) anasema acha kukurupuka mshindi ni CCM. sasa tuamini lipi? tafadhali kama huna hahika basi sema tetesi usiseme confimred

Usichoke endelea kusaidia mkuu
 
Ndugu mbona unatuchanganya? nilidhani ile habari uliyoandika mwanzo ni confirmed na kwamba ni matokeo toka tume ya uchaguzi? tafadhali tunakuomba ufuatilie kwani wewe upo huko najaribu kwapigia watu huko sipati mawasiliano. Isije tokea kama sumbawanga mjini

Please try to look for official info

uhanzi mkuu sijakuchanganya ila hapa mpanda ndio tume wanachanganya watu mara waseme hiki mara kile,ila kwa uhakika kabisa mpaka sasa hawajatangaza matokeo rasmi ila pale mwanzo mambo yote yalikua tayar,nafatilia kwamakini usilale nitakupa kila kinachoendelea,nipo nje yamakao makuu yatume yajimbo,nafatilitia kwa karibu sana
 
Back
Top Bottom