CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

Turia nikupe elimu wewe, hivi unapokuwa kitandani na mumeo naona mpaka uwawaze viongozi wa chadema ndiyo ufike kileleni, mumeo hakuna kitu, badirika wenzio wako ki maslahi yao na maisha yanasonga mbele.
Kumbe mzee wako akiminya unamkumbuka Mwinguru chemba
 
Mbona watu mnashabikia ukawa. Hizo fedha ni za chadema kama chama. Ukawa si chama. Vichwa vya bata havielewi. Khaaa.
 
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
Wewe kichwa maji kweli. Unajua kusoma?B-) Hapo juu aliyesaini ni katibu wa CHADEMA AU UKAWA?
 
Baba yake na yeye mwenyewe alikuwa na majumba London kabla ya kujiunga na Chadema. Roho zitawatoka mwaka huu. Halafu CDM ni uwazi na ukweli hawajaficha. Wale wanaopokea hela za uarabuni wanaficha mbona hamuwasemi?
 
Hapa Lazima MBOWE aende DUBAI na JOYCE MUKYA kula maraha.
 
Daa na sikitika hizi pesa zitaliwa na watu wawili tuu.
 

Sunday, June 1, 2014



Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesaini mkataba wa Sh milioni 700 na Conservative Peoples Party cha Denmark.

Hayo yalisemwa juzi na Katibu Mtendaji katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera, wakati wa kutia saini mkataba huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

“Tunawashukuru sana kwa mchango huu tunaamini utaweza kuwasaidia akina mama wengi na vijana ambao wameonekana kuwa nyuma katika siasa ili na wao wawe na uwezo kisiasa,” alisema Kimesera.


--- via Ziro99 blog.

at 9:41 AM











Mmhh hi misaada ya kila siku
 
Huu mkataba wa nini wamekubaliana nini.
 
watu humu wamejaa chuki na slaa utafikiri chadema ni salaa. ho wote wanfikiri kwa kutumia tumbo
 
Babu slaa lazima aende marekani na mchumba wake.

Tatizo ni kwamba hazunguuki mbuyu ndiyo maana huwezi kwenda naye. Roho inakuuma eh? Mbona tuko mabasha wengi tu si ututembelee tukukate kiu? Tena nasikia Nape na Kinana ni mahodari wa kuwashugjulikia, nako umejipitisha hujaambulia kitu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom