CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe

acha ujinga nachuki ukawa ndio waliosaini mkataba? ukisikia chadema nguo zinakubanae?
 
Jengeni ofisi ya makao makuu bana,we are tired with current regime man
 
Tatizo Viongozi hawana uwazi kwenye mambo yanayohusiana na mapato na matumizi.Hizi pesa zimekuja lakini hatuambiwi zimeletwa kwaajili ya projects zipi za Chama ili iwe rahisi kufuatilia namna pesa zinavyotumika.Kwa utaritibu huu huu wa usiri pesa zitapotea bila kujulikana zimetumikàje?
 
Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.

Mtakuja kusema.

Mama acha kumuonea gere mwanamke mwenzio! Wanawake huwa hampendani sijui kwanini,huyo josephine ukute hujawahi hata kumuona!! ha ha ha
 
Haah! Haah! Mida yenu hii najua mmeshalewa, maana si haba babu kawafundisha matusi na ulevi wa gongo, katafuteni kisiwa muanzishe serikali yenu, siyo TZ mtasubiri sana.

Asante dada yangu lol povu linakutoka mwanadada je ukizeeka unakuwa mchawi.
 
Jengeni ofisi ya makao makuu bana,we are tired with current regime man

ofisi iliyopo inatosha,chama hakiwezi kusimamisha programu zake za kuwapa watz elimu ya uraia ili tu eti kujenga ofisi
 
Asante dada yangu lol povu linakutoka mwanadada je ukizeeka unakuwa mchawi.

Pole sana! Maneno yako katu hayawezi kunibadirisha jinsia, nawahurumia sana mlivyoharibika, mmeharibika nje mpaka ndani! Kauri mbio yenu eti gongo halali, mjini hapa turieni watu watumie hela, mmeamniwa msubiri ukombozi uko karibu wakati nchi iko huru tangu 1961! Poleni sana.
 
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe

Naona roho imekuuma mkuu. pole sana hata ACT watapata tu mkuu.Badala ya kwenda kwenye msiba wa mama wa mwenyekiti wenu mbona umeng'ang'ania humu tu !!?
 
Na wewe tafuta bwana msomi kama yeye.sio kutafuta bwana kwa mgegendo tu lol shoga wangu funguka achana na jori club.

Huyo faizalFoxy nafikiri hana tofauti na Vicky Kamata aliyeingizwa mkenge kwa kupata mchumba feki kama chama chake maana CCM kila kitu feki hadi wachumba.
 
Pole sana! Maneno yako katu hayawezi kunibadirisha jinsia, nawahurumia sana mlivyoharibika, mmeharibika nje mpaka ndani! Kauri mbio yenu eti gongo halali, mjini hapa turieni watu watumie hela, mmeamniwa msubiri ukombozi uko karibu wakati nchi iko huru tangu 1961! Poleni sana.
Rudi shule dada yangu unajaza saver ya JF tu.
 
Rudi shule dada yangu unajaza saver ya JF tu.

Turia nikupe elimu wewe, hivi unapokuwa kitandani na mumeo naona mpaka uwawaze viongozi wa chadema ndiyo ufike kileleni, mumeo hakuna kitu, badirika wenzio wako ki maslahi yao na maisha yanasonga mbele.
 
Back
Top Bottom