CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803

Sunday, June 1, 2014

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesaini mkataba wa Sh milioni 700 na Conservative Peoples Party cha Denmark.

Hayo yalisemwa juzi na Katibu Mtendaji katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera, wakati wa kutia saini mkataba huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

"Tunawashukuru sana kwa mchango huu tunaamini utaweza kuwasaidia akina mama wengi na vijana ambao wameonekana kuwa nyuma katika siasa ili na wao wawe na uwezo kisiasa," alisema Kimesera.

--- via Ziro99 blog.

at 9:41 AM

huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
 
Nguvu ya umma iendelee kushamiri
 
Wametusogeza kidogo, hizo ni ruzuku 3 kwetu na kwa nyinyiem hata ruzuku ya mwezi mmoja hiyo hela haitoshi (wanakaribia bilioni kwa mwezi) lakini kila siku wanalia njaa!
 
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
Inaoneka hiyo buku 7 huwa unawadhurumu family yako.wakikupa unasema haujapewa.ma ccm kwisha habari yao.nyingine zinakuja kutoka ujerumani.
 
Sunday, June 1, 2014

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesaini mkataba wa Sh milioni 700 na Conservative Peoples Party cha Denmark.

Hayo yalisemwa juzi na Katibu Mtendaji katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera, wakati wa kutia saini mkataba huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.

“Tunawashukuru sana kwa mchango huu tunaamini utaweza kuwasaidia akina mama wengi na vijana ambao wameonekana kuwa nyuma katika siasa ili na wao wawe na uwezo kisiasa,” alisema Kimesera.

--- via Ziro99 blog.

at 9:41 AM

Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.

Mtakuja kusema.
 
Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.

Mtakuja kusema.

Na wewe tafuta bwana msomi kama yeye.sio kutafuta bwana kwa mgegendo tu lol shoga wangu funguka achana na jori club.
 
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe

Mbona sijaona mahala UKAWA wametiliana saini? mbona maelezo yanaeleza wazi kuwa ni CDM pekee? ... tujuze zaidi Mkuu...
 
Safi sana !
Watusaidie na kuokoa mabilioni ya escrow ambayo watu walienda na vigunia kuyachota standard chartered bank.
 
Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.

Mtakuja kusema.

Mkuu wakati mwingine badala ya kuwaza na kutabiri -Ve ni bora ukawashauri namna bora ya matumizi ya hizo fedha kidogo za misaada wanazozipata... Mimi nawashauri wanunue Pikipiki 20 kwa kila mkoa ...Tayari kutumika kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa!!!! Tukubali tukatae lakini ukweli unabaki pale pale kuwa CDM imara inafaida nyingi kwa maendeleo ya nchi yetu ... Utumbo unaoendelea Bungeni unatia kinyaa! Tunataka pale mjengoni pawepo na usawa katka maamuzi yenye maslahi mapana kwa nchi yetu ...
 
Babu slaa lazima aende marekani na mchumba wake.
 
Back
Top Bottom