nguvu ya umma iendelee kushamiri huko denimark? au? maana bongo tunaijua hiyo ni saccos.Nguvu ya umma iendelee kushamiri
Itakuwa vizuri na wewe uoeleke ya kwako upate hela. Kizuri kula na mwenzio
Ka kizee Kungwi siku zote kamemshikia bango Josefina kama vile ni mke mwenza nilidhani wivu wa kike uliondoka na Mkapa kumbe bado,huyo Foxy mpaka Dr wa ukweli amtie kwenye 18 zake ndio ataacha kuroroja.Mama acha kumuonea gere mwanamke mwenzio! Wanawake huwa hampendani sijui kwanini,huyo josephine ukute hujawahi hata kumuona!! ha ha ha
Tatizo ni kwamba hazunguuki mbuyu ndiyo maana huwezi kwenda naye. Roho inakuuma eh? Mbona tuko mabasha wengi tu si ututembelee tukukate kiu? Tena nasikia Nape na Kinana ni mahodari wa kuwashugjulikia, nako umejipitisha hujaambulia kitu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
Nimekuchoka, kwa heri mhaya
Nimewambia sio muhaya huyo ni muha, hamsikii! Wahaya hatuko hivo.
Ka kizee Kungwi siku zote kamemshikia bango Josefina kama vile ni mke mwenza nilidhani wivu wa kike uliondoka na Mkapa kumbe bado,huyo Foxy mpaka Dr wa ukweli amtie kwenye 18 zake ndio ataacha kuroroja.