CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

CHADEMA yapata msaada wa mil 700/= kutoka Denmark

hapo juu nimeona neno "kusaini mkataba"
sasa nataka kujua huo ni msaada, msaada wa masharti au mkopo?
Dada yangu unapopewa kitu kuwakilisha katika jamii kazima kusaini ili ijulijane nani anaeipeleka kutoka kwenda.inabidi uende shule kwanza kujua mambo shoga wangu.lol
 
Jitingishe shoga wangu anawezaenda nawe lol.

Haah! Haah! Mida yenu hii najua mmeshalewa, maana si haba babu kawafundisha matusi na ulevi wa gongo, katafuteni kisiwa muanzishe serikali yenu, siyo TZ mtasubiri sana.
 
ni kwa ajili ya ukawa..au mnataka kuwadhulumu?

Sidhani kama unawatendea haki viongozi wa chadema,kama ni UKAWA ,ukawa si chama cha siasa na haiwezi kuingilia mambo ya ndani ya chadema.Rafiki kabla haujakurupuka kutoa kauli,angalia impact yake kwako mwenyewe na jamii inayokuzunguka.Siyo kila kitu cha CDM ni kibaya vivyo hivyo kwa CCM.Kuwa wapinzani siyo kuvunja sheria.
 
Tafuta mme mwingine.. mzee slaa hakutaki mke wake anamtosha.. acha ushambenga..

Kwani siri??!. Nini mlichokifanya tangia mmeanza kupata misaada? Bado mmepanga ufipa mtaa wa mateja, nyuma kuna makaburi na chimbo la mateja na changudoa, ruzuku hazifiki mikoani,eti chama kikuu cha upinzani, HeLa za chama ni zakutanulia tu.
 
Na wewe tafuta bwana msomi kama yeye.sio kutafuta bwana kwa mgegendo tu lol shoga wangu funguka achana na jori club.

Bwana tena saa hizi? umechelewa jamvini karamu imeshaliwa. AlhamduliLlah, nna Gozi linalojiweza, tena sana tu.

Unajuwa maana ya Gozi?
 
Back
Top Bottom