Wee na ww Ruta , wenzio akina Elizabon wameukwepa huu uzi lkn ww unatuletea lipua lako hapa ...ngoja wakupe za uso ukamweleze mjomba yako magu...nyambafu ...Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.
Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..
Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
Huna mkiaPiga makofi basi kama umefurahi
Mambo taratibu tu yu just wait and yu will seeMagufuli asisahau sasa hivi watu wanaelewa kuliko enzi ile ya Nyerere na mkapa
Ule hakuwa mkutano mkuu, Bali gulio la mboga mboga tu.Yaani tatizo la Magu anadhani wananchi wataipigia CCM kura kutokana na kauli zake za kibabe na za kutozingatia sheria za nchi, kama ile aliyoitoa jana kwenye mkutano Mkuu wa CCM, aliposema kuwa kama angelikuwa yeye ndiye Mwenyekiti kipindi kile cha uchaguzi mwaka jana wakati wajumbe wa NEC walipokuwa wakiimba tuna imani na Lowassa, yeye 'angewapoteza' zaidi ya nusu ya wale wajumbe!
Kwa namna JPM anavyoendeleza vitisho na ubabe kwenye utawala wake ndivyo wananchi wanavyozidi kuwa na chuki na utawala wake kuelekea kwenye chaguzi zijazo kwa kuwa nchi haipaswi kuendeshwa kwa 'mikwara' bali inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya nchi.
Piga makofi basi kama umefurahi
Ina maana watu wa Doma hawajaiona kasi ya Dr Magufuli ?.