CHADEMA yang'ara Morogoro

Kwa hali ya maisha ilivyongumu huku mtaani sidhani kwamba kuna mtu mwenye akili timam anaweza kupigia kura CCM
 
Hahaaa Aibu yao, nifikishieni pole zangu huko Lumumba nimeshindwa kwenda kuhani msiba huo ila tupo pamoja wakati huu mgumu.
 
Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.

Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..

Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
 
Ahahaha tumewapiga kwenye mitaa,tumewapiga kwenye vijiji,tutawapiga kwenye majimbo,acha waisome namba Weeeh
 
...Chadema kama haipo,ila uchaguzi ukija, mtu mzima anakula za uso kimyakimya!
 
Ushindi utawezeshwa siyo?
 

....nakuona unaandika huku unalia mtu mzima!, ishukuruni sana ile tume ya "CCM" ya uchaguzi!

kama uwanja ungekuwa fair,haya machozi ungeyatoa toka mwaka jana!
 
....wale wajumbe wa kamati kuu wakishaamka na yale ma-hangover ya jana wanakutana na hii!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wataalamu wa hallucination
Naona mnaendelea na kupuliza puli kama kawaida yenu iwape stimu za kujitekenya...

Anyway.. One thing inachowasaidia ni kuwajaza matumaini hata yasiyowezekana..
kwa hiyo wewe huoni kwamba CCM kushindwa huu uchaguzi mdogo ni dalili mbaya? kati ya wewe na ntoa mada nani anawajaza watu matumaini?
 
Wanaitisha mkutano wa mamilioni na kuishia kumkejeli LOWASA & SUMAYE badala ya kupanga mikakati ya kuondoa umaskini kama chama tawala. Hovyo kabisa hili li chama!

#SIJAWAHI KUIAMINI CCM#
 
Mbona kuko kimya sana ina maana wale vijana walishaachana jf?

japo siipendi ccm na magufuli wake jana kanifurahisha.... kawapa uvccm. uwt ya sofia simba na uyu burembo makavu live kuwa jumuiya zao atazifuta kwan ni kujipa nyadhifa bila kuwa na umuhimu wowote.... ni muda tu zitafutwa na happ 2020 ndo wataijua kuwa chadema inamaanisha kt harakati zake
 
kwa hiyo wewe huoni kwamba CCM kushindwa huu uchaguzi mdogo ni dalili mbaya? kati ya wewe na ntoa mada nani anawajaza watu matumaini?
Kwani vipi ninyi hamukuona kushindwa kwenye uchaguzi mkuu Oct 25 ni dalili mbaya iliyowatoa kabisa katika reli??

Kajipange alafu urudi tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…