CHADEMA yang'ara Morogoro

CHADEMA yang'ara Morogoro

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
CHADEMA YANG'ARA MOROGORO:

Yaichapa ccm kwenye uchaguzi Mdogo wa kijiji cha Domo

MATOKEO YA UCHAGUZI HUO YALIKUWA KAMA IFUATAVYOA;

DOMA STOO....CDM 86 CCM 24
MTAKE NINI...CDM 23 CCM 35
NGWAMBE ....CDM 76 CCM 20
SHULE DOMA CDM 141 CCM 37
DOMA KILOSA CDM 154 CCM 40
DOMA STENDI CDM 146 CCM 135
JUMLA CDM 515 CCM 312

CHADEMA IMESHINDA TAYARI....

MATOKEO HAYO YANATOA TASWIRA YA LONGIDO KWANI KOTE CHADEMA ILISHINDA CCM WAKAFUNGUA KESI NA UCHAGUZI KURUDIWA, IMEPIGWATENA.
 
Wao wanafikiri ukali wa Magufuli na kutumbua majipu ndio kutawabeba!wasilolijua ni kuwa,utawala wa awamu hii unagusa kila mwananchi awe fisadi,asiwe fisadi,awe mwema,asiwe mwema,n.k na matokeo yake wote wanaungana kuikataa CCM.

Too much of everything is harmful.

Na huu ni mwanzo tu.
 
Wao wanafikiri ukali wa Magufuli na kutumbua majipu ndio kutawabeba!

Huu ni mwanzo tu.


Nawashauri ccm watengeneze matukio mengine ili wajilishe upepo kuwa wanapendwa, nilisha waambia ccm kuwa kitu pekee kitakachofanya watz waipende ccm ni kuwapa maisha bora wananchi siyo matamko ya majukwaani na ahadi za uongo na kutengeneza matukio ya kuwadanganya watz kuwa wanapendwa sana
 
Hongereni sana MAKAMANDA wa MOROGORO.
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa nafasi ya udiwani kata ya DOMA Kilosa Morogoro baada ya Diwani wa Kata hiyo CCM kufariki dunia Dec mwaka jana.

DOMA IKO HIVI:
DOMA STOO....CDM 86 CCM 24
MTAKE NINI...CDM 23 CCM 35
NGWAMBE ....CDM 76 CCM 20
SHULE DOMA CDM 141 CCM 37
DOMA KILOSA CDM 154 CCM 40
DOMA STENDI CDM 146 CCM 135
JUMLA CDM 515 CCM 312

CHADEMA IMESHINDA TAYARI....Hii inatoa picha kuwa CCM ni Magufuli tu,lakini huku chini watu wa CCM walishapoteza uhalali mtaani!!Hata hizi kelele za ubabe kuuzuia upinzani kufanya siasa,kukwapua uhuru wa bunge kama vibaka wa daraja la Ubungo na roho ngumu ya yule sijui Tulia.. vinazidisha sana hasira
 
Back
Top Bottom