CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Pingamizi:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.

pumba tupu. baada ya kuona mtashindwa kwenye uchaguzi. chadema mnatafuta ushindi wa mezani
 
Alichosema Ritz ni sahihi.....Huna haja ya kuwa nchi yeyote kulijua hilo......Search tu kwenye mtandao ndugu na utaconfirm mwenyewe !.

Aliyekudanya kamwambie akasome tena Status za Commonwealth countries... Usiropoke hovyo,, we unajua mm niko nchi gani? au kujua vitu ndo mpaka usafiri?
 
Leo mpaka uone wiki yako make hukujua kua hyu kijana ni raia wa kwa malkia
Sifa za kupiga kura UK ni Uanachama wa Commonwealth ( Jumuia ya Madola) sio Uraia wa Uingereza. Elimu hizi hamuwezi kupata kwa kushinda na Ma,wio pamoja na Tanzania Daima.
 
Jizi la rambirambi lza mwangosi na mgonjwa wa dk paulina naona umeparamia jukwaa
Kijana,

Ukiwa UK kihalali na ni raia wa kutoka nchi za jumia ya madola, unakuwa na haki ya kupiga kura kumchagua kiongozi UK lakini huwezi kugombea

Ukiweka jina la mtu yeyote alieishi UK kihalali lazima utapata data kama hizo.

Mna jingine la kuuliza nyie MATUNYU?
 
Kwikwikwiiiiii we ni mkali sana haya magamba yamedata ni kuyapa misumali tu na kuyakaanga sana mpaka yapauke
Munatia aibu bada ya kujaza watoto wa vigogo serekalini sasa munataka kutuletea utawala wa kifalme.Mfalme mwenyewe ni mkimbizi mwingereza.
 
Kama kawaida yangu, I reserve my comments until you guys come up with a concrete evidence which can prove beyond any reasonable shadow of doubt that this kid is a British citizen.
Just because this kid could vote in UK doesn't mean that I'd be swayed and jump into this band wagon of suggesting that he's a British citizen.

Jambo la msingi si kukingia kifua tu, bali kuangalia sheria za nchi UK na Tanzania.

  • Tanzania inaruhusu mpiga kura wake kutumia haki yake zaidi ya Tanzania?
  • UK ina ruhusu mradi yuko ndani ya Jumuiya ya madola.
  • Uzawa wa mhusika ni wa nchi gani?
  • Kama alizaliwa Tanzania na kuukana uzawa hata tundu la sindano tu hawezi kupenya.
  • Kama ni mzaliwa wa UK, Je, alipofikisha umri wa miaka 18 aliomba kurudishiwa uzawa wa wazazi wake?

Hayo machache kati ya mengi yanaweza kujibu maswali ya shaka lako, tusizunguke, tuongee kama watu wakomavu wenye upembuzi yakinifu.

Naona wana-Lumumba wanakwepa kugusia haya mawili:
  • Wapi alizaliwa kijana, katika dodosadodosa hapa inaonyesha UK.
  • Alipofikisha Umri wa miaka 18 aliomba kupewa uraia wa uzawa wa wazazi wake au la? Wanapata kigugumuzi kujibu.

CC;
abakorakamo,jebibay
 
Naona wana-Lumumba wanakwepa kugusia haya mawili:
  • Wapi alizaliwa kijana, katika dodosadodosa hapa inaonyesha UK.
  • Alipofikisha Umri wa miaka 18 aliomba kupewa uraia wa uzawa wa wazazi wake au la? Wanapata kigugumuzi kujibu.

CC;
abakorakamo,jebibay
Fuatilia postings zangu.
Mimi Tanzania kwanza!!! Kibera comes second
Sina ushabiki wa magamba wala magwanda yenu. I'm an independent voter and non-partisan.
Ukiweza kuleta ushahidi usiopingika then nitambomoa huyo Mgimwa............................But unless you do that!
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Mwivi wa rambi rambi upo?
 
ccm wanajisahau sana. hili ndio tatizo la chama kutawala muda mrefu. kila kiongozi anaona ni halali mtoto wake kuwa kiongozi. lkn najua ingekuwa au akitokea Mgimwa leo akasikia mtoto wake anagombea ubunge angemkataza.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Yaani hata mistari miwili tu unafanya editing wewe ni mburula fulani hivi!!
 
Mkuu wapi nimekuambia kila raia? UK napajua vizuri.

UK unapajuwa vizuri wapi wewe? wale hawatoi viza kwamagaidi sasa hivi.story tu za kwenye vijiwe vya kahawa internet plus google basi na wewe unajifanya unajuwa UK!

Haya tueleze kuna makabila mangapi ya UK? na ilikuwaje Tony Blair akawa Waziri mkuu wa UK wakati siyo Muanglican?
 
Mkuu Candid Scope,
Ulicho andika hapa chini sio kweli.

Condition ya kupiga kura wala hata haiangalii ni mkazi halali au no kama mtu wa commonwealth.

Hata ukija na visa ya miezi sita bado unaruhusiwa kama unatoka jumuia ya madola.

In fact mtu kutoka jumuia ya madola ana haki kubwa kwenye kupiga kura kuliko wakazi wanaotoka nchi zingine za EU.

Too general, doesn't make sense!
UK si kila raia wa kutoka Jumuiya ya Madola ana haki ya kupiga kura, isipokuwa wafuatao:
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ameukana uraia wa nchi yake
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
  • Mzawa wa Nchi za umoja wa ulaya ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
Zaidi ya hapo hakuna. Hakuna nchi yenye kuruhusu mpita njia ajiandikishe na kupiga au kupigiwa kura.
 
Too general, doesn't make sense!
UK si kila raia wa kutoka Jumuiya ya Madola ana haki ya kupiga kura, isipokuwa wafuatao:
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ameukana uraia wa nchi yake
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
  • Mzawa wa Nchi za umoja wa ulaya ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
Zaidi ya hapo hakuna. Hakuna nchi yenye kuruhusu mpita njia ajiandikishe na kupiga au kupigiwa kura.

mimi pia nlikuwa nashangaa, haiwezi kuwa open kiasi hicho
 
Fuatilia postings zangu.
Mimi Tanzania kwanza!!! Kibera comes second
Sina ushabiki wa magamba wala magwanda yenu. I'm an independent voter and non-partisan.
Ukiweza kuleta ushahidi usiopingika then nitambomoa huyo Mgimwa............................But unless you do that!

Really? Same to me, sina ganda la chama cho chote cha siasa Tanzania. Nikiwa kati naangalia tu upande ambao mizani inaelemea. Ukifuatilia utaona nimeweka vigezo ambavyo asiye mzawa UK anaruhusiwa kupiga kura, tuachana na ya kupigiwa kura maana hapa binafsi sijapata uthibitisho wa uzawa wake.

Katika kufuatilia dondoo za wengi wanaomfahamu hapa inaonekana bila uthibitisho wa document kwamba alizaliwa UK wazazi wake wakiwa Watanzania. Kama ndio hivyo sheria za Tanzania hutakiwa mtoto aliyezaliwa nje ya nchi wazazi au mmoja wa wazani ni uzawa wa Tanzania mtoto ataruhusuwa kuwa na uraia tasa ambao utakuwa chanya akifikisha umri wa miaka 18 kwa mtoto mwenyewe kuomba.

Upande wa utetezi hapa jukwaani haujaleta hoja za kujenga ukweli kwa ithibiti ya document hali kadhalika upande wa ulalamikaji. Kwa vyo vyote kuna mahala kwenye week point walipopata nguvu ya kuibua hoja ya pingamizi.

Tukumbuke kikulacho ki nguoni mwako, hivyo CCM wenyewe wamelipuana, sisi wengine tunasubiria vithibitisho.
 
Back
Top Bottom