Majunguz.com
Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?
CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani
Nikikusoma Popote Nakumbuka Rambirambi za Marehemu Mwangosi masikini ya Mungu.
Ama kweli ubinadamu kazi.