CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Timing,
Sio foreigners maana hilo neno lina maana kubwa zaidi. Ni raia wa nchi za jumuia ya Madola. Mchina akiwa UK hata awe na permanent residence bado haruhusiwi kupiga kura.

Raia wa Jumuia za madola hapa wana rights nyingi ambazo raia wa nchi zingine hawana. Hii ni pamoja na kuruhusiwa kujiunga na jeshi pamoja na polisi na kazi zingine za serikali.

Wakenya na Wagana wamezitumia mno nafasi kama hizi. Watanzania wao wanakaa nchi za watu bila hata kujifunza sheria zao, hapo hata fursa wataziona kweli?

hivi mkenya sio foreigner hapa kwetu?? hata kama ana residence permit??
 
maisha safi? Hembu tuambie ulicho nacho hadi sasa ivi tofauti na wengine kama c umburukenge

Unataka maisha safi? Hayashuki toka mbinguni. Jiunge na ccm, vaa shati la kijani, nunua bunduki na uende mbugani penye Tembo na Vifaru. Ukiweza kukaa huko mwezi tayari umepata mtaji tosha wa maisha bora Kwa kila mwenye nguvu.
Hakuna atakaye kugusa ukivaa shati la kijani tu
 
Chadema wamekuwa waoga kiasi hiki cha kuogopa kuikabili CCM kwenye sanduku la kura mpaka kulazimisha kupewa ushindi wa Mezani? Mh. Kinana pamoja na Secretariet yako naombeni stopisheni Dozi maana vipimo vinaonesha kuwa Mgonjwa wetu hatoamka tena.
 
Kwani CDM ndio wa kwanza kuwawekea wagombea pingamizi? umesahau ya shitambala Mbeya vijijini?

Chadema wamekuwa waoga kiasi hiki cha kuogopa kuikabili CCM kwenye sanduku la kura mpaka kulazimisha kupewa ushindi wa Mezani? Mh. Kinana pamoja na Secretariet yako naombeni stopisheni Dozi maana vipimo vinaonesha kuwa Mgonjwa wetu hatoamka tena.
 
Chadema wamekuwa waoga kiasi hiki cha kuogopa kuikabili CCM kwenye sanduku la kura mpaka kulazimisha kupewa ushindi wa Mezani? Mh. Kinana pamoja na Secretariet yako naombeni stopisheni Dozi maana vipimo vinaonesha kuwa Mgonjwa wetu hatoamka tena.

Huoni ata aibu kutaja hilo jina eti mh kinana
 
Back
Top Bottom