CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

uchunguzi zaidi unaonyesha kwamba hata kadi ya ccm alipewa kwenye msiba wa babaake ! Hakuwa nayo ! NAwahurumia sana wana kalenga waliohangaika na ccm miaka yote .

Yale yale ya Arumeru na bwana Sioi.
 
Sifa za kupiga kura UK ni Uanachama wa Commonwealth ( Jumuia ya Madola) sio Uraia wa Uingereza. Elimu hizi hamuwezi kupata kwa kushinda na Ma,wio pamoja na Tanzania Daima.

Eti..!?? hivi unadhani sote hapa ni viazi kama wewe..!??
 
Taarifa iliyonifikia kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa mgombea ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya Cham Cha Majambazi amewekewa pingamizi na mgombea wa CDM kwa kuwa na Uraia wa Wingereza ambapo ni kinyume na katiba ya JMT inayokataza uraia wa nchi mbili.

Chama Cha Majambazi kinaendelea kuhaha kujibu pingamizi hili.
Kama ni kweli sioni jinsi gani kama sheria itaheshimiwa ataweza kuendelea kama mgombea.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Rudisha rambi rambi za Mgimwa.
 
Kijana,

Ukiwa UK kihalali na ni raia wa kutoka nchi za jumia ya madola, unakuwa na haki ya kupiga kura kumchagua kiongozi UK lakini huwezi kugombea

Ukiweka jina la mtu yeyote alieishi UK kihalali lazima utapata data kama hizo.

Mna jingine la kuuliza nyie MATUNYU?

Na wewe TUNYU mkimbizi wa njaa UK unaweza kupiga kura!? Afu hivi haiwezekani kukufungulia kesi kwa kula rambirambi huko UK..!??
 
Kajifunze kwanza kabla ya kubisha na kujenga hoja zisizo na mashiko, Jifunze ili ujue sifa za kupiga kura UK ni zipi?

wewe ndiyo hueleweki. hatuongelei sifa za kupiga kura UK , kinachojadiliwa hapa ni uraia wa nchi mbili. naomba nionyeshe sehemu yoyte inayosema raia wa UK anaweza kupiga kura TZ
 
Wananchi wa Kalenga wasifanye kosa la kumchagua Mwingereza
Hata kama ni Mtanzania lakini hajui matatizo ya wana Kalenga. Anashabihana sana na Sioi Sumari huyu
Hii inanikumbusha hatidhi ya nguchiro na kenge wote wanajifanya wababe lakini wote wanaogopa mvua.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Mkuu huyu jamaa inabidi aukane kwanza uraia wa Uingereza..... Yule bado ni raia wa Tanzania hajaukana. Hii ni Kama ya Bashe kule Nzega CCM walisema hajaukana uraia wa Somalia na hivyo kutokuwa na sifa ya kupeperusha bendera yetu CCM na akapewa kigwangallah....
 
Kwa hiyo amekuja kurithi jimbo lililoachwa na baba ake sio! Kwa vile ni mwanaccm hilo sio pingamizi, labda angekuwa mwanachadema!
 
Kwa hiyo Chadema mnataka kupita bila kupingwa hizi akili za gongo.
 
CCM mnadhani kudandia umaarufu wa Marehemu ni ushujaa wanakalenga wanajua Mgimwa amekufa na mnachotaka CCM ni kumrithisha mwanae ubunge kama vile wakina mama wa kalenga hawajazaa watoto ambao wanaweza kuwa wabunge. Mnaleta watoto wenu wanaoishi Ulaya kuja kugombea.
 
acha majungu na umbea tuulize sisi tuliesoma nae Azania
Tudhitishie kuwa umesoma naye.siyo kukulupuka unabishana na wanakalenga!? Wazee wa rumumba saizi mnahangaikia cheti cha kuzaliwa cha mgombea.!
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

kwa ccm mbona kawaida.kama mmemficha balali mtashindwa hilo dogo.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Tujaribu kujadili kwa kina na uangalifu, Mbunge wa Chadema ninayemfahamu Grace Nyerere inasemekana ana haki za ukazi wa kutudumu Marekani, lakini hana haki za uraia, tafsiri yake ni kwamba haki za kuchagua na kuchaguliwa zimebaki katika nchi yake ya uzawa. Linaloongelewa hapa ni huyu kijana kama ni raia wa Uingereza na kazaliwa Tanzania hapa kuna kazi kidogo kuweka sawa. Mdau Chris Lukosi anaonekana analijua kadiri ya kauli yake.
 
Kwa hiyo Chadema mnataka kupita bila kupingwa hizi akili za gongo.

Hakuna anayetaka kupita bila kupingwa. Kinachofuatiliwa hapa ni sheria za nchi. Kama hakuna utata wa uraia ana haki ya kuchaguliwa lakini kama kuna utata hana haki.
 
Back
Top Bottom