CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA tumeweka mapingamizi manne ya muhimu na yenye ushahidi dhidi ya mgombea ubunge wa jimbo la kalenga kwa tiketi ya CCM ndg, Godfrey mgimwa ikiwa ni pamoja na utata wa uraia wake kwani alipokwenda kusoma uingereza mara baada ya kufukuzwa UDOM alipotaka kupindua uongozi wa chuo aliukana utanzania, pili, amedai yeye ni mkazi wa magunga wakati tangu kuzaliwa kwake hajawahi kuishi magunga zaidi ya kwenda kusalimia bibi yake, tatu amejaza kwenye fomu ya ugombea kuwa uteuzi wake utafanyika tarehe 16/03/2014 siku ambayo itakuwa ni ya upigaji kura na nne, wamefoji namba za shahada za wadhamini wakati hazipo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Ee Mungu endelea kusimama na wenye haki, CHADEMA ni mpango wako thabiti ili kuleta maendeleo ya kweli kwa watanzania..

Inshaallah tutashinda!mpaka mkoloni mweusi atoweke kama KANU
 
Kwani kuishi uingereza ni kuwa raia wa uingereza?

sasa kama anaishi uingereza,matatizo ya wana kalenga kayajulia wap? nadhan huyu ni sioi wa 2..hafai kuwa mbunge wa kalenga wakat yy anaish uingereza.
 
Nini maana ya kujiandikisha wapiga kura? Lazima uonyeshe umekuwa mkazi wa sehemu husika na hivyo unahitaji kuwajibika kwa uongozi unaouchagua. Hakuna nchi inayoruhusu mgeni wa kutoka taifa jingine apige kura bila kuwa mkazi wa nchi hiyo. Pingine mnapinga kitu msichokifahamu ila juu juu tu.

Sharti la kujiandikisha mpiga kura lazima uhakikishe una vitambulisho vya ukazi wa mahala kunakofanyika uchaguzi, bila hiyo hakuna cha kwamba unatoka Jumuiya ya Madola, usidanganye wengine tuna maji marefu.

...Mkuu huyu mgombea wa ccm utata mtupu aliwahi kuwa banker U.S Bank ?
 
hii kenye mpiara tunaita ..pressing high...unaanza kukabia juu kabisa
 
Mkuu Candid Scope,
Labda hapa kama unabisha for the sake of kubisha.

Residency hapo inaongelea kitu kimoja tu ambacho ni makazi, mambo mengine yote ni kujidanganya bure. Makazi yana maana nyingi kuanzia makazi ya muda mpaka makazi ya kudumu.

Kwa mtu wa Commonwealth inatakiwa awe na makazi yake UK wakati anapiga kura. Hawezi kuwa TZ na akatumiwa forms za kupiga kura za UK. Ni raia tu ndio hata akiwa nje ya nchi anaweza kutumiwa karatasi za kupiga kura au akaenda ubalozi.

Kama bado unataka kujua basi chukua email hii na waandikie wahusika kwa mfano kwenye mji wa Swindon, namba ya help line ni +441793 464601, email elecreg@swindon.gov.uk waulize swali lolote unalotaka kuwauliza kuhusu sheria za uchaguzi UK.

In fact hapa UK huwa tunawashauri vijana wanaokuja toka TZ kujakusoma kwamba wajiandikishe mara moja kupiga kura kwani kama hujajiandikisha hata uwe na credit score nzuri kiasi gani unaweza usipate vitu kama credit card. Database wanayochunguza kwanza ni hiyo list ya wapiga kura.

Hata mtu aliyekuja kutembea tu UK kutoka nchi za Modola kama yuko hapa wakati wa kupiga kura, huwa anapiga kura, bora awe amejiandikisha kabla ya siku ya mwisho kujiandikisha.

By Haki sawa:
Wenzio wameelekezwa ushahidi wa Passport yake ya UK alipokuwa anaenda Ubeligiji .....kama raia wa EU ......kazi ipo
 
Mkuu Candid Scope,
Labda hapa kama unabisha for the sake of kubisha.

Residency hapo inaongelea kitu kimoja tu ambacho ni makazi, mambo mengine yote ni kujidanganya bure. Makazi yana maana nyingi kuanzia makazi ya muda mpaka makazi ya kudumu.

Kwa mtu wa Commonwealth inatakiwa awe na makazi yake UK wakati anapiga kura. Hawezi kuwa TZ na akatumiwa forms za kupiga kura za UK. Ni raia tu ndio hata akiwa nje ya nchi anaweza kutumiwa karatasi za kupiga kura au akaenda ubalozi.

Kama bado unataka kujua basi chukua email hii na waandikie wahusika kwa mfano kwenye mji wa Swindon, namba ya help line ni +441793 464601, email elecreg@swindon.gov.uk waulize swali lolote unalotaka kuwauliza kuhusu sheria za uchaguzi UK.

In fact hapa UK huwa tunawashauri vijana wanaokuja toka TZ kujakusoma kwamba wajiandikishe mara moja kupiga kura kwani kama hujajiandikisha hata uwe na credit score nzuri kiasi gani unaweza usipate vitu kama credit card. Database wanayochunguza kwanza ni hiyo list ya wapiga kura.

Hata mtu aliyekuja kutembea tu UK kutoka nchi za Modola kama yuko hapa wakati wa kupiga kura, huwa anapiga kura, bora awe amejiandikisha kabla ya siku ya mwisho kujiandikisha.

Hili jamaa ni liongo na halijui hata kusoma kingereza hovyo kabisa.

yani uwe na visiting visa ya miezi 6 halafu eti uwe na haki ya kujiandikisha kupiga kura? wewe ni kiazi kweli na mbumbumbu wa kwanza
 
Mkuu sehemu nilizofika mimi familia yenu wote pomoja na wewe amuwezi kufika, teh teh teh. Wewe zaidi ya Moshi na Arusha hakuna zaidi.

nani Mkuu? Yani mkuu wako awezi kufika UK? Teh teh teh teh Nape kawapeleka Mtwara huko mmejiona mmefika UK!
 
Mkuu sehemu nilizofika mimi familia yenu wote pomoja na wewe amuwezi kufika, teh teh teh. Wewe zaidi ya Moshi na Arusha hakuna zaidi.

Hakuna sehemu umefika wewe omba omba wa kariakoo unajisifu upo ulaya .....huenda ata unauza baki
 
haya huyu hapa hata UK anapiga kura pia

UK electoral registers
2002 - 2013
living-relatives.jpg


Results

Your search has returned 3 results.Search criteria used

First name(s) :Godfrey (Include variants)
Last name :Mgimwa
Years : 2000 (+/- 20 years)
County:All

refine search

[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH]Last name[/TH]
[TH]First name[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]County[/TH]
[TH]Town[/TH]
[TH]Other occupants[/TH]
[TH]Record[/TH]
[TH][/TH]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]Mgimwa[/TD]
[TD="class: sort"]Godfrey[/TD]
[TD="class: sort"]2009 - 2010[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]LEAH T MADDEN...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2008[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]Aniceth T Jonathan...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2011 - 2012[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]ALASTAIR E SHAW...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


© 2014 DC Thomson Family History, trading as findmypast.co.uk

SOURCE:
UK electoral registers 2002 - 2013 | Findmypast.co.uk

Aisee we jamaa ni muuaji, utashtakiwa kwa manslaughter (splelling check)
 
Msitumie Picha ya mfiwa kwenye mabishano yenu ya kisiasa. Mnamdhalilisha na hasa ikiwa anasoma na kuona mnavyoitumia mtakuwa mnamsononesha sana. Hata ndugu zake hawatakuwa na furaha kuona haya mnayoyafanya.

Tunapigania haki yake kwa njia hii, manake huku ndiko tunakokutana na mwizi wake. Tunaomba atusamehe kama tumemkwaza, lakini aturuhusu kuipigania haki yake bila kuchoka. Kris lukosi aone aibu.
 
Last edited by a moderator:
[h=1]UK electoral registers
2002 - 2013
living-relatives.jpg
[/h] [h=4]Results[/h] Your search has returned 3 results. [h=3]Search criteria used[/h] First name(s) :Godfrey (Include variants)
Last name :Mgimwa
Year :



refine search

Last nameFirst nameYearCountyTown Other occupantsRecord
LEAH T MADDEN... VIEW
Aniceth T Jonathan... VIEW
ALASTAIR E SHAW... VIE

[TD="class: sort"] Mgimwa[/TD]
[TD="class: sort"] Godfrey[/TD]
[TD="class: sort"] 2009 - 2010[/TD]
[TD="class: sort"] London[/TD]
[TD="class: sort"] LONDON[/TD]

[TD="class: narrower"]
[/TD]

[TD="class: sort"] MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"] GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"] 2008[/TD]
[TD="class: sort"] London[/TD]
[TD="class: sort"] LONDON[/TD]

[TD="class: narrower"]
[/TD]

[TD="class: sort"] MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"] GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"] 2011 - 2012[/TD]
[TD="class: sort"] London[/TD]
[TD="class: sort"] LONDON[/TD]
....

.......Ufafanuzi wataalam inaruhusiwa hii kitu hapa Tanzania ?
 
nani Mkuu? Yani mkuu wako awezi kufika UK? Teh teh teh teh Nape kawapeleka Mtwara huko mmejiona mmefika UK!
Wapi nimekuambia nimefika UK? Mimi nipo Kibosho nauza mbege nasubiri Chadema wachukue nchi nipewe ukuu wa wilaya.
 
Hakuna sehemu umefika wewe omba omba wa kariakoo unajisifu upo ulaya .....huenda ata unauza baki
Mimi sipo UK mimi nipo Rombo mkuu tusubiri chama chetu cha nyumbani kichukue dola tuwe matajiri.
 
Back
Top Bottom