CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Wakuu,
Kupiga kura nchini UK hakuna uhusiano na kuwa raia wa nchi hiyo.

Mtu yeyote kutoka Commonwealth Countries anaruhusiwa kupiga kura UK kweny chaguzi zote.

Mtu kutoka European Union Countries anaruhusiwa kupiga kura kwenye chaguzi zile za wabunge wa EU tu.

Kwa taarifa zaidi, kwa nchi kama Uk, mtu kutoka Commonwealth countries anaruhusiwa hata kujiunga na jeshi ikiwa ni pamoja na polisi.

Ni siku hizi tu baadhi ya sheria zao zinaanza kubadilika, lakini huko nyuma mtu wa kutoka Commonwealth countries alikuwa na haki nyingi zinazokaribiana na haki alizo nazo raia wao.

Habari zaidi unaweza kupata hapa:
https://www.gov.uk/what-elections-you-can-vote-in
 
Soma hapa upate ukweli wote juu y nani anaruhusiwa ku vote UK.

https://www.gov.uk/what-elections-you-can-vote-in

Wewe uliwahi kusafiri kwenda wapi? labda Saudia kuwa mpagazi wa mahujaji, ndio ukekaririshwa hivi kana kwamba ni kijiwe cha mazuzu! labda Uingereza ya Msoga unayoiongerea siyo UK nilikwenda mimi ambayo dini yao rasmi ni Anglican.

Hivi unajuwa maana ya vote wewe? yani waingereza wachaguliwe viongozi na wasio waingereza hivi una akili kweli wewe?
 
Fanyeni kama wameru, hawakucheka na mashoga
 
Mungi,
Ungetusaidia sana kama ungetaja wapi kazaliwa huyo Mgimwa maana sio kila nchi inatoa uraia kwa kila mtoto anayzaliwa kwenye nchi hiyo.
Pingamizi:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.
 
Chunguzeni masikio yote mawili, tutamjua tu.
 
Haya ndio matatizo ya kukurupuka tu bila kufanya upembuzi yakinifu, wanachowaza wao ni jinsi gani ya kupora ushindi wa Chadema, kwa kutumia jeshi la polisi, tume ya uchaguzi na usalama wa taifa, hivi wanakalenga, hakuna mtu mwenye sifa za kugombea ubunge hapo, mpaka ccm wakamchukue mtoto wa marehemu aliyekuwa anajilia bata uingereza, haya ni matusi wanakalenga, kwa nini mkubali kutengenezewa uongozi wa kifamilia, au ndo ile dhana ya kuwa ccm ina wenyewe inatimia, kazi kwenu.

Walao wangemwacha amalizie maombolezo ya 40 ya babake, wakati angali katika majonzi tayari na hekaheka za kugombea uchaguzi. Yasijetokea yale ya mkwe wa --- kule Arumeru ambapo Nzee Nkapa anayejiona jabali alipodondoshwa chini na kokoto kwa mwanguko wa Mende na kujutia kutia mguu tena kwenye kampeni zilizofuata.
 
aah aah aah nyie watu sasa mnamnyima raha member mwenzetu Lukosi, ivi kweli uzalendo aliojifunza LUkosi akiwa pale kwetu kaskazini CCP MOSHI anaweza kumtapeli mjane? mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Afande msitaafu, PC Lukosi anaweza kuwa kafanya shortcut kwenye maisha...yupo apa atajibu kama huu ni utani au kweli...na alisema wakati flani kuwa alimpa mh.chungaji Petro Msigwa,mbona huwa hamumuunganishi huyu?au ushaidi upo kuwa jamaa mzigo aliuzuia?

Niweke kumbukumbu sahihi, hajafikisha umri wa kustaafu hadi leo, ALITIMULIWA. Kuhusu Msigwa.ni kwamba alikuja hapa na ushahidi hadi picha akawa cleared, akabaki kanjanja huyo mbulumundu hadi leo hajaleta ushahidi. Ni mwizi wa rambirambi.
 
Wakuu,
Kupiga kura nchini UK hakuna uhusiano na kuwa raia wa nchi hiyo.

Mtu yeyote kutoka Commonwealth Countries anaruhusiwa kupiga kura UK kweny chaguzi zote.

Mtu kutoka European Union Countries anaruhusiwa kupiga kura kwenye chaguzi zile za wabunge wa EU tu.

Kwa taarifa zaidi, kwa nchi kama Uk, mtu kutoka Commonwealth countries anaruhusiwa hata kujiunga na jeshi ikiwa ni pamoja na polisi.

Ni siku hizi tu baadhi ya sheria zao zinaanza kubadilika, lakini huko nyuma mtu wa kutoka Commonwealth countries alikuwa na haki nyingi zinazokaribiana na haki alizo nazo raia wao.

Habari zaidi unaweza kupata hapa:
https://www.gov.uk/what-elections-you-can-vote-in
Hayo nimeishawaeleza Bavicha wanadhani Uingereza wanasheria za NEC.
 
haya huyu hapa hata UK anapiga kura pia

UK electoral registers
2002 - 2013
living-relatives.jpg

Results

Your search has returned 3 results.Search criteria used

First name(s) :Godfrey (Include variants)
Last name :Mgimwa
Years : 2000 (+/- 20 years)
County:All

refine search

[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH]Last name[/TH]
[TH]First name[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]County[/TH]
[TH]Town[/TH]
[TH]Other occupants[/TH]
[TH]Record[/TH]
[TH][/TH]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]Mgimwa[/TD]
[TD="class: sort"]Godfrey[/TD]
[TD="class: sort"]2009 - 2010[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]LEAH T MADDEN...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2008[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]Aniceth T Jonathan...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2011 - 2012[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]ALASTAIR E SHAW...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

© 2014 DC Thomson Family History, trading as findmypast.co.uk

SOURCE:
[URL="http://www.findmypast.co.uk/search/directories/results?directorFlag=false&electoralRollFlag=true&startYear=2002&endYear=2013&forenames=Godfrey+&_includeForenameVariants=on&surname=Mgimwa&_includeSurnameVariants=on&year=2000&YearTolerance=20&county=All&to
 
Ya Kalenga kama ya Arumeru Mashariki kwa dogo janja,Nasari. Sioi(CCM) naye aliwekewa pingamizi kama hiyo,kwamba alizaliwa nje ya nchi. Uhamiaji wakaokoa jahazi. Nina imani matokeo ya kura yatafanana kama ya Arumeru Mashariki.Wanakalenga msituangushe Watanzania wapenda mabadiliko.
 
haya huyu hapa hata UK anapiga kura pia

UK electoral registers
2002 - 2013
living-relatives.jpg

Results

Your search has returned 3 results.Search criteria used

First name(s) :Godfrey (Include variants)
Last name :Mgimwa
Years : 2000 (+/- 20 years)
County:All

refine search

[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH]Last name[/TH]
[TH]First name[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]County[/TH]
[TH]Town[/TH]
[TH]Other occupants[/TH]
[TH]Record[/TH]
[TH][/TH]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]Mgimwa[/TD]
[TD="class: sort"]Godfrey[/TD]
[TD="class: sort"]2009 - 2010[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]LEAH T MADDEN...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2008[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]Aniceth T Jonathan...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2011 - 2012[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]ALASTAIR E SHAW...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

© 2014 DC Thomson Family History, trading as findmypast.co.uk

SOURCE:
[URL="http://www.findmypast.co.uk/search/directories/results?directorFlag=false&electoralRollFlag=true&startYear=2002&endYear=2013&forenames=Godfrey+&_includeForenameVariants=on&surname=Mgimwa&_includeSurnameVariants=on&year=2000&YearTolerance=20&county=All&to

Bavicha wengi ni mambumbu kwenye masuala ya kimataifa huu ndiyo ushahidi wao.
 
Hiyo ni kweli...lakini hiyo si proof kwamba yeye si raia wa uingereza ! Kwa sababu hakuzaliwa hapa nchini inawezekana hakufuata taratibu zinazotakiwa ku-confirm uraia wake Bongo.......Sisemi kwamba yeye si raia, ila madai ya CDM nayo huwezi kuyapuuza unless una proof kwamba Godfrey ni raia kisheria....

Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.
 
Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.

Too general, doesn't make sense!
UK si kila raia wa kutoka Jumuiya ya Madola ana haki ya kupiga kura, isipokuwa wafuatao:
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ameukana uraia wa nchi yake
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
  • Mzawa wa Nchi za umoja wa ulaya ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
Zaidi ya hapo hakuna. Hakuna nchi yenye kuruhusu mpita njia ajiandikishe na kupiga au kupigiwa kura.
 
Kama kawaida yangu, I reserve my comments until you guys come up with a concrete evidence which can prove beyond any reasonable shadow of doubt that this kid is a British citizen.
Just because this kid could vote in UK doesn't mean that I'd be swayed and jump into this band wagon of suggesting that he's a British citizen.
 
Hivi wewe ni lini utapata japo akili za kuazima? ina maana Kalenga vyama vyenye wagombea ni ccm na Chadema tu? wewe ni hasara kwa familia yako na ni mzigo kwa ccm.

Mkuu hawa post bila kutaja chadema haina malipo lumumba.
 
Too general, doesn't make sense!
UK si kila raia wa kutoka Jumuiya ya Madola ana haki ya kupiga kura, isipokuwa wafuatao:
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ameukana uraia wa nchi yake
  • Mzawa wa kutoka Jumuiya ya Madola ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
  • Mzawa wa Nchi za umoja wa ulaya ambaye ana ukazi wa kudumu UK.
Zaidi ya hapo hakuna. Hakuna nchi yenye kuruhusu mpita njia ajiandikishe na kupiga au kupigiwa kura.
Mkuu wapi nimekuambia kila raia? UK napajua vizuri.
 
Back
Top Bottom