CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Ubarikiwe!! Maana nilikaa kimya nikajua ni majungu.... Hii haikubariki hata kidogo.. Hatutaki Muingereza aje atawale nchini kwetu... CCM wamezoea kukurupuka na hapa ndipo tutaona ni kwa jinsi gani Tume ya Uchaguzi inatenda haki...
Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.
 
Haya ndio matatizo ya kukurupuka tu bila kufanya upembuzi yakinifu, wanachowaza wao ni jinsi gani ya kupora ushindi wa Chadema, kwa kutumia jeshi la polisi, tume ya uchaguzi na usalama wa taifa, hivi wanakalenga, hakuna mtu mwenye sifa za kugombea ubunge hapo, mpaka ccm wakamchukue mtoto wa marehemu aliyekuwa anajilia bata uingereza, haya ni matusi wanakalenga, kwa nini mkubali kutengenezewa uongozi wa kifamilia, au ndo ile dhana ya kuwa ccm ina wenyewe inatimia, kazi kwenu.
 
Majunguz.com

Kwa hiyo mnadhani yeye ni mjinga kiasi cha kugombea huku akijua katiba haimruhusu?

CCM sio kama Chadema mliotoa ubunge kwa yule anaetumia jina la heshima huko marekani

Lukoosi una mshono kwenye ubongo.
 
Sifa za kupiga kura UK ni Uanachama wa Commonwealth ( Jumuia ya Madola) sio Uraia wa Uingereza. Elimu hizi hamuwezi kupata kwa kushinda na Ma,wio pamoja na Tanzania Daima.

authority please to cement your argument
 
Huo ndo ukweli wenyewe. Siku hizi kuuthibitisha uraia wa mtu ni mama yake tu akubali. Si uhamiaji wa maccm uweze kumdhuru ccm. Bashe alikubaliwa baada ya uchaguzi. Mpaka leo Bashe ni msom-tanza. Kabila jipya sana Tanzania.
Ukitaka maisha saafi Tanzania, jiunge na ccm.
Kitambulisho ni shati la kijani tu.

Et shati la kijani!hahahaaaaa umetisha kaka.😀
 
Ha ha ha.wainjereza wanakuja kugombea ubunge Tanzania.Tumekwisha.
 
Chadema ni chama cha Kilaghai

Pingamizi:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.
 
Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.

Ritz sasa naanza kukufahamu.nashukuru kumbe ni mpiganaji.nilikuwa nafikiri ni litzone Mungu apishe mbali!
 
Hii hapa ndiyo Mapingamizi kuhusu Mgimwa Godfrey:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.
Mmhh mimi ni mwanachadema lkn kwa hilo namba moja nakukatalia sio kweli!watt wote wa mgimwa wamezaliwa hapa Tz.mimi nimekua nao walikuwa majirani zetu na pia family friend hukooo mkoani nyanda za juu kusini!kama kweli hilo mmelipeleka mahakamani basi mtashindwaaa
 
Mengine ya Kitoto sasa Jamani , Kwani Watanzania Wangapi Wanasoma Nje ? Hovyooo
 
Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.

Aliyekudanya kamwambie akasome tena Status za Commonwealth countries... Usiropoke hovyo,, we unajua mm niko nchi gani? au kujua vitu ndo mpaka usafiri?
 
Ubarikiwe!! Maana nilikaa kimya nikajua ni majungu.... Hii haikubariki hata kidogo.. Hatutaki Muingereza aje atawale nchini kwetu... CCM wamezoea kukurupuka na hapa ndipo tutaona ni kwa jinsi gani Tume ya Uchaguzi inatenda haki...
Angalieni sheria na kanuni za Uingereza zinazohusiana na uchaguzi na wapiga kura. Sidhani kama kuwa na sifa za kupiga kura zinakuondolea uraia wako au kukupa uraia wa Uingereza moja kwa moja.
 
Mkuu yani unaongea kama shabiki wa rede kumbe we mwana futbo acha kuniaibisha wabeja, km vp twende kule kwenye sport hua unatumiaga akili yako ya kawaida ukiwa kule
Hata mimi nikikusoma popote nakumbuka siku wewe na Mbunge wako mnapigwa 0713.........Pale A Town!!
 
passport.jpg
 
Thibitisha basi kama ni raia wa Uingereza, au unameza tu mazima.
IMG_0136.JPG MGIMWA 2.jpg images.jpg​

You need to be on the electoral register in order to vote in UK elections and referendums. The electoral register is a list of names and addresses of everyone who is registered to vote in the UK

[h=3][/h][h=2]How to get on the electoral register[/h]To be on the electoral register you will need to complete a register to vote form and send it to your local electoral registration office.
[h=2]When can you register?[/h]You can register to vote at any point throughout the year. A register to vote form can be obtained from you local electoral registration office or from the Electoral Commission website. You should be aware that there is a deadline for registering to vote which is determined by when the elections are held.
[h=2]Who can register?[/h]You can register to vote if you are:

  • 16 years old or over (but cannot vote until you are 18 years old)
  • a British citizen
  • an Irish, Commonwealth or European Union citizen who is resident in the UK
Citizens of the European Union who are not Commonwealth citizens can vote in European and local elections in the UK, but are not able to vote in UK Parliamentary general elections.
Further information on how to register to vote and register to vote forms can be found on the Electoral Commission website:



Jambo la msingi si kukingia kifua tu, bali kuangalia sheria za nchi UK na Tanzania.
  • Tanzania inaruhusu mpiga kura wake kutumia haki yake zaidi ya Tanzania?
  • UK ina ruhusu mradi yuko ndani ya Jumuiya ya madola.
  • Uzawa wa mhusika ni wa nchi gani?
  • Kama alizaliwa Tanzania na kuukana uzawa hata tundu la sindano tu hawezi kupenya.
  • Kama ni mzaliwa wa UK, Je, alipofikisha umri wa miaka 18 aliomba kurudishiwa uzawa wa wazazi wake?
Hayo machache kati ya mengi yanaweza kujibu maswali ya shaka lako, tusizunguke, tuongee kama watu wakomavu wenye upembuzi yakinifu.
 
Mkuu jitahidi basi hata kusafiri nje ya nchi mpate japo ufahamu, UK watu wanapiga kura hata ambao siyo raia kama unatoka kwenye nchi za jumuiya ya madola unapiga kura, akili za Bavicha ni vituko.

Wewe uliwahi kusafiri kwenda wapi? labda Saudia kuwa mpagazi wa mahujaji, ndio ukekaririshwa hivi kana kwamba ni kijiwe cha mazuzu! labda Uingereza ya Msoga unayoiongerea siyo UK nilikwenda mimi ambayo dini yao rasmi ni Anglican.

Hivi unajuwa maana ya vote wewe? yani waingereza wachaguliwe viongozi na wasio waingereza hivi una akili kweli wewe?
 
ni kweli!mbona alikuwa haishi hapa tz! Alikuwa anaishi uingereza miaka mingi tu! Tena ana kesi mahakamani alikimbilia uingereza mahakama inamtafuta.!

Ana case Tanzania au UK?kesi gani?
 
Back
Top Bottom