hii maana yake kwa vile waliisha panga kumfukuza, then rufaa yake kwa BKC ni ya nini kwa asiye mwanachama!. Hivi busara iko wapi?!. Chadema wish to add an insult into an injury nawahakikishia wapenzi wa Chadema, CC ikifanya kosa la kumfukuza Zitto bila kuisikiza rufaa yake!, itajuta kuzaliwa!, kwani itakipata cha mtema kuni!.
Wale wote mnaokishabikia Chadema kuwa ni chama dume, kuthubutu tuuone huo ujabadume wake!. CCM ambacho ni chama kubwa chama kongwwe wenzao wamepiga kelele za vua gamba wakaufyata wenyewe ndio leo Chadema chama toto kinataka kujutia kimbelembele eti kinaweza!.
Huwezi kulikata tawi ulilokalia na ukabaki salama!.
Pasco