CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

rufaa ya kupinga kuvuliwa nyasifa,na sio kupinga kuvuliwa uanachama

Hajui kuwa cheo ni dhamana tu,KWA KUTOFIKA KWAKE OFSINI TU KWA ZAIDI YA MIEZI 6 NA KUHAMISHIA OFISI FACEBOOK NA TWITTER ALITAKIWA KUWA AMEPUMZISHWA SIKU NYINGI. Na hizi tuhuma alizonayo na anavyozidi kurukaruka na kujichanganya ndo basi kabisa anatakiwa kufukuzwa kabisa uanachama! hatuwezi kukaa na mamluki na wanafiki kama yeye.namshauri aondoke akaungane na wasaliti wenzie PM7.
 
Mkuu huwezi kukata rufaa kwenye uamuzi wa awali wakati shauri bado linaendelea ule mchakato bado haujakamilika kwa hiyo anatakiwa kusubiri uamuzi wa mwisho utakaotolewa baada ya Kusikiliza Utetezi wake aliotakiwa kuuwasilisha ndani ya siku 14 vingenevyo ni kichekesho "as putting the kalt before the horse" kukata rufaa kabla kwani uamuzi ule ni wa awali na ulifanyika kwa sehemu tu ni vyema asubiri ili uamuzi wa mwisho utakapo tolewa ndo akate rufaa. Ni mambo ya kuleta Ubishi wa kipi kilichotangulia Kuku au yai.Awe mvumilivu na atulie vinginevyo atazidi kujiharibia SIFA YA MWANASIASA BORA SIYO TU KUJENGA HOJA BALI PIA KUWEZA KUZITAMBUA NYAKATI ZINAZOFAA NA KUZITUMIA IPASAVYO KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA KWA WAKATI MUAFAKA ILI KUJIJENGA KINYUME CHA HAPO NI KUKATA TAWI LA MTI ULIOKALIA.

Kukata rufaa sasa ni ujanja wa kupreempt maamuzi,kuleta mgogoro na mgongano kwenye uongozi .Hii rufaa siyo rufaa tu kama wengi wanavyotaka kutuaminisha ni zaidi ya rufaa.

nadhani ingekuwa vyema Ukaisoma Katiba ya Chadema kuhusu maamuzi yanayofanywa na CC kuhusu nidhamu za Viongozi. na pia utaratibu wa Ukataji rufaa kwa maamuzi hayo.

Kwa kukusaidia tu ni hivi, ZITTO KABWE HAJAKATA RUFAA KUHUSIANA NA SUALA LA UANACHAMA, KWA MAANA SHAURI LENYEWE WALA HATA BADO HALIJAJADILIWA!- HILI SUALA LA UANACHAMA LITAJADILIWA NA KAMATI KUU! ILE ILE ILIYOMSULUBU. HIZO SIKU 14 ALIZOPEWA NI KUJIELEZA KUWA KWA KWA NINI ASIVULIWE UANACHAMA NA SIYO KWA NINI ASIVULIWE UONGOZI?, UONGOZI KESHAVULIWA MKUU

KILICHOKATIWA RUFAA NI MAAMUZI YA KUMVUA NYADHIFA, NA RUFAA IMEPELEKWA BARAZA KUU, AMBACHO NI CHOMBO CHA JUU CHA KAMATI KUU.
SASA NI HAKI YAKE KAMA MWANACHAMA KUSIKILIZWA!.
 
Back
Top Bottom