CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

mie ni mwanachama wa dhati kabisa wa CDM - ila nakiri kuna ubaguzi tena wa wazi kabisa ndani ya chama..........kuna 'watu' ndani ya chama hata wafanye makosa gani kamwe hawawezi kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa katiba mfano lema alivyokurupuka hapa hapa jf!
ishu ya mbowe kutumia madaraka yake vibaya kama KUB (uzinzi na viti maalum tena wa ndani ya chama) chama kinavunga na kitaendelea kuvunga as if hakuna kilichotokea wakati ukweli ni kwamba mbowe kama kiongozi mkuu hakupaswa kufanya hayo coz anaharibu image ya chama, tafakari ingekuwa ishu inamuhusu zito hali ingekuwaje?!
badala yake watu wanazidisha chuki zao tu kwa zito utadhani yeye ndo alimtuma mbowe kufanya upuuzi - wanachama na viongozi CDM achene unafki, kunya anye kuku akinya bata................
Chadema haina wanachama mburula kama wewe wasiojua viongozi wachapakazi.
 
Kwanza rufaa ya nini wakati bado hajavuliwa uanachama?
Zitto mbona anahangaika hivi?
 
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa
Nchi iuzwe mara ngapi ?hakuna sehemu iliyobaki bila kuuzwa.
Chadema wakikamata dola watakuwa na kazi ya kulipa garama kubwa kuikomboa TZ Mikononi mwa walio inunua kotoka Maccm.
 
Nafikiri wewe huijui Chadema huwa hatubabaishi tukiamua tumeamua wait and see.
Naona umeamua kurudi kweye ID yako ya zamani, vipi nasikia saizi mmekuja na sera mpya ya Gongo baada ya kuona ufisadi imefulia.
 
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa

Mkuu hamieni CHAUMMA mtuachie Chama chetu!
 
Kumbe nafasi imeshapata mtu?! Aaah ama kweli kufa kufaana. Hiyo Mh.Zitto ahesabu Unaibu Katibu Mkuu CDM ndio basi tena.

Kulikuwa na haraka gani ya kutafuta mtu wa kuziba nafasi ya Mh.Zitto hata kabla ya Zitto kujibu tuhuma zake?! Kwa haraka tu naona rufaa ya Zitto haina maana tena.
 
Chadema haina wanachama mburula kama wewe wasiojua viongozi wachapakazi.

umenifurahisha sana , unajua siku hizi wale wa buku 7 wanajifanya wanachama wa cdm , mbinu ya kishamba sana .
 
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa

Mkuu unawezaje kuwa kiongozi kama sio mwanachama?
 
Sijaelewa mantiki ya msimamo huu. Sasa kama akishinda hiyo rufaa, si hata suala la yeye kutetea uanachama wake linakosa uhalali wa kuendelea? Kwa nini wanataka wamvue uanachama (kama ikitokea hivyo) na kidha ndio wafanye maamuzi juu ya uhalali wa maamuzi ya CC? Je katika rufaa ikiamuliwa kuwa CC ilikosea itakuwaje kama uamuzi wa kunvua uanchama umeshafanyika? Si matumizi mabaya ya resources/muda na kuongeza "majeraha" na mivutano isiyo na msingi?
Mantiki yake ni kwamba aliyekuteua ana haki ya kukutoa muda wowote, CC ina uwezo huo.

Hivi Mbatia akivuliwa ubunge atakata rufaa kwa rais?
 
Naona umeamua kurudi kweye ID yako ya zamani, vipi nasikia saizi mmekuja na sera mpya ya Gongo baada ya kuona ufisadi imefulia.
Toka Chama cha Magamba hadi Chama cha Mizigo mna kazi.

Nimerudi kwa kazi moja tu kuhakikisha tunamtoa nduli Idd ZZK ndani ya ngome yetu akishatoka nitarudia ID yangu unayoijua.
 
Kumbe nafasi imeshapata mtu?! Aaah ama kweli kufa kufaana. Hiyo Mh.Zitto ahesabu Unaibu Katibu Mkuu CDM ndio basi tena.

Kulikuwa na haraka gani ya kutafuta mtu wa kuziba nafasi ya Mh.Zitto hata kabla ya Zitto kujibu tuhuma zake?! Kwa haraka tu naona rufaa ya Zitto haina maana tena.
Tofautisha kati ya kaimu na naibu.
 
Msajili wa vyama vya Siasa nchini ni bora aiangalie kwa kina Katiba ya CDM, naona kama inachezewa kwa manufaa ya vigogo.

Zitto bado ni mwanachama halali wa CDM na daima ataendelea kuwa mwanachama wa CDM, kwa hiyo anastahili kupewa treatment sawa na wanachama wengine.
 
Una uhakika gani.
 
Back
Top Bottom