Nafikiri wewe huijui Chadema huwa hatubabaishi tukiamua tumeamua wait and see.watavurugana sana mwisho zitto atabaki imara kama jiwe.
Nafikiri wewe huijui Chadema huwa hatubabaishi tukiamua tumeamua wait and see.watavurugana sana mwisho zitto atabaki imara kama jiwe.
Chadema Chama Makini Kuwahi tokea Afrka Mashariki.
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa
Anakata rufaa ya kung'ang'ania cheo cha kuteuliwa? stupidity.Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa
Hamna umakini hapo mnadanganyana tu,Ningeona Chadema wako makini kama wangeachana viongozi wabovu wote wanaokwamisha ukuaji wa Chama akiwemo Mbowe mwenyewe pamoja na Zitto,Wengineo ni pamoja na akina Lema.Chadema kingeundwa na uongozi mpya wenye nia ya dhati kukipeleka Chama madarakani 2015.Chadema chini ya Mbowe ikulu 2015 tutaisikia kwenye radio huku tukitoa fursa kwa chama cha mafisadi kurejea Ikulu na ndicho hasa anachokitaka huyu bwana kwasababu kwake hiyo itakuwa fursa nzuri sana ya kutengeneza fedha kutoka kwa Mfalme wa Monduli.WanaChadema mnamwiita Zitto msaliti?Subirini 2015 ifike ndio mtamjua msaliti ni nani!!??Na mpaka mtakapokuja kushtuka mtakuwa mmechelewa sana maana jamaa atakimbilia Dubai kujipoza na Uenyekiti wa Chama hatautaka tena maana alichokitaka atakuwa ameshakipata.Hii ndio sababu Mheshimiwa ameapa kutokiachia kiti maana anajua kuna biashara nzuri 2015 inakuja na yeye si unajua tena ni Mfanyabiashara?
Kama unataka habari nzuri za Zitto uwe unasoma magazeti ya Jamba Leo, UMMA, Habari Leo, Majira na Al-nuurWingi wa wafanyakazi ktk gazeti la Nipashe kutoka Kilimanjao haumtendei haki ZITTO,hata siku moja hautakuta kurasa za mbele habari mzuri ya ZITTO.Ukabila na Ukanda mbaya sana.
Pia TZ inao wasomi waliobobea na kwa kuwa ccm haiwatumii wameweka uzalendo ndani ya ChademaChadema Chama Makini Kuwahi tokea Afrka Mashariki.
Hamna umakini hapo mnadanganyana tu,Ningeona Chadema wako makini kama wangeachana viongozi wabovu wote wanaokwamisha ukuaji wa Chama akiwemo Mbowe mwenyewe pamoja na Zitto,Wengineo ni pamoja na akina Lema.Chadema kingeundwa na uongozi mpya wenye nia ya dhati kukipeleka Chama madarakani 2015.Chadema chini ya Mbowe ikulu 2015 tutaisikia kwenye radio huku tukitoa fursa kwa chama cha mafisadi kurejea Ikulu na ndicho hasa anachokitaka huyu bwana kwasababu kwake hiyo itakuwa fursa nzuri sana ya kutengeneza fedha kutoka kwa Mfalme wa Monduli.WanaChadema mnamwiita Zitto msaliti?Subirini 2015 ifike ndio mtamjua msaliti ni nani!!??Na mpaka mtakapokuja kushtuka mtakuwa mmechelewa sana maana jamaa atakimbilia Dubai kujipoza na Uenyekiti wa Chama hatautaka tena maana alichokitaka atakuwa ameshakipata.Hii ndio sababu Mheshimiwa ameapa kutokiachia kiti maana anajua kuna biashara nzuri 2015 inakuja na yeye si unajua tena ni Mfanyabiashara?
Pia TZ inao wasomi waliobobea na kwa kuwa ccm haiwatumii wameweka uzalendo ndani ya Chadema
Ninachojua Zitto must go na baadae atakimbilia mahakamani mwisho atakuwa mbunge wa mahakama hiyo itakuwa faraja kwa chama.Ila ninachofurahia sarakasi hizi kutoka ndani ya chadema ni kwamba, Inawafungua macho watu kuona kwamba Zitto Kabwe hatakiwi na Wakubwa wa Chama, na kwamba Zitto Kabwe ni hatari kwa maslahi binafsi ya Viongozi hawa, na si hatari kwa maslahi ya Chama.
Wameamua kumuundia Zengwe, wakalisukuma Zengwe bila kufuata utaratibu halali wa kanuni za adhabu kwa viongozi, kisha wanaibaka katiba ili Rufaa yake isisikilizwe.
Hii maana yake nini?-ZIITO KABWE LAZIMA AONDOKE BY ANY MEANS NECESSARY, KIHALALI, KIHARAMU AU BOTH, THESE GUYS DON'T CARE. THEY ONLY CARE ABOUT THEMSELVES NOT EVEN THE PARTY!
Sijaelewa mantiki ya msimamo huu. Sasa kama akishinda hiyo rufaa, si hata suala la yeye kutetea uanachama wake linakosa uhalali wa kuendelea? Kwa nini wanataka wamvue uanachama (kama ikitokea hivyo) na kidha ndio wafanye maamuzi juu ya uhalali wa maamuzi ya CC? Je katika rufaa ikiamuliwa kuwa CC ilikosea itakuwaje kama uamuzi wa kunvua uanchama umeshafanyika? Si matumizi mabaya ya resources/muda na kuongeza "majeraha" na mivutano isiyo na msingi?Maombi ya rufaa ya ZITTO KABWE hayatajadiliwa hadi hatima ya uanachama wake kujulikana.
Source: NIPASHE.
Nikweli tumechelewa kumfukuza msalitiHamna umakini hapo mnadanganyana tu,Ningeona Chadema wako makini kama wangeachana viongozi wabovu wote wanaokwamisha ukuaji wa Chama akiwemo Mbowe mwenyewe pamoja na Zitto,Wengineo ni pamoja na akina Lema.Chadema kingeundwa na uongozi mpya wenye nia ya dhati kukipeleka Chama madarakani 2015.Chadema chini ya Mbowe ikulu 2015 tutaisikia kwenye radio huku tukitoa fursa kwa chama cha mafisadi kurejea Ikulu na ndicho hasa anachokitaka huyu bwana kwasababu kwake hiyo itakuwa fursa nzuri sana ya kutengeneza fedha kutoka kwa Mfalme wa Monduli.WanaChadema mnamwiita Zitto msaliti?Subirini 2015 ifike ndio mtamjua msaliti ni nani!!??Na mpaka mtakapokuja kushtuka mtakuwa mmechelewa sana maana jamaa atakimbilia Dubai kujipoza na Uenyekiti wa Chama hatautaka tena maana alichokitaka atakuwa ameshakipata.Hii ndio sababu Mheshimiwa ameapa kutokiachia kiti maana anajua kuna biashara nzuri 2015 inakuja na yeye si unajua tena ni Mfanyabiashara?