CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

Kamanda ulikuwa umelala hii habari mbona ipo toka jana humu JF au nyie pro-Chadema mkiona jina la Zitto ni kukimbilia JF kuanzisha uzi wewe mtu wa kumi leo kuleta hii habari.

Mwenyekiti wa ccm taifa kaenda kutibiwa marekani, kawaacha wananchi wake wakikosa huduma za afya kwenye hospitali ya taifa muhimbili, mwananyamala, temeke, ilala

Jeeeeeee hiyo ni saaaaaaaawa!!!
haya ndiyo matumizi mabaya ya fedha za umma.
 
Chadema Chama Makini Kuwahi tokea Afrka Mashariki.

Chama makini wapi?Watu hawataki kuachia madaraka na huku walikubaliana hivyo mwaka 2009 tena wakasign kbs kuwa 2014 utagombea we uenyekiti,matokeo yake uenyekiti umekuwa mtamu na matokeo yake anatengeneza matabaka ndani ya chama ili kuwagawa watu ili kumchukia zzk na kumtengenezea mazingira mabovu kwenye chama na jamii ili chama kiendelee vzr toa mwenyekiti wa sasa na kizuri zaidi mlio ndani ya chama ukweli mnaujua.
 
Wasaliti wenzake amewaona huko Ukrine, Korea, China Na South Africa ataona hivi karibuni. Zitto has picked so early

Ukweli kuhusu Zitto na Mbowe mnaujua,Washabiki wa Mbowe acheni ukibaraka jengeni taifa kwa kuwa wazalendo pesa ndio zinawafanya muwe hivyo?Zitto is innocent na hilo mnalijua.
 
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa

Kaka si unajua tena mkuu wa chama nae elimu ni ndogo then awaongoze watu wenye shahada zao sijawahi ona duniani.Babu yetu nae ameshikwa masikio mpaka hurma.
 
Mkuu,

Ndani ya Chadema HAKUNA uongozi wenye kutaka kujua mawazo ya wanachama.

Katika fikra za uongozi wa chadema mwanachama akija na opinion wanampa jibu hili:

Opinion.jpg
 
Mkuu,

Ndani ya Chadema HAKUNA uongozi wenye kutaka kujua mawazo ya wanachama.

Katika fikra za uongozi wa chadema mwanachama akija na opinion wanampa jibu hili:

View attachment 127768

mfano wa picha uliyo attach ni irrelevant na mada husika.after all hili sio jukwaa la mambo ya kikubwa.u have positioned ur ass in a good angle of being hit with a ban.usipo kumbana na ban nitachukulia mods wamelala.teh teh teh.nasikia raha.
 
Wewe hata sheria za JF huzijui. Endelea kusubiri hiyo ban.
 
Kama nimeelewa vizuri ni kwamba endapo utetezi wake dhidi ya kufukuzwa uanachama utafanikiwa basi rufaa yake itaangaliwa. Maana akipoteza uanachama hata huo uhalali wa kuwa kiongozi ataukosa na hivyo hiyo rufaa haitakuwa na mantiki.

Ntashukuru yeyote akinisaidia katika maswali haya mawili;

Je rufaa dhidi ya maamuzi yaliyomvua uongozi hailengi pia maamuzi hayo hayo ambayo yamemtaka ajieleze kwa nini asivuliwe uanachama? (Kwa kifupi ni kwamba Je mambo haya mawili hayajafungamani?)

Na kama maamuzi hayo hayafungamani: Kwa nini rufaa isishughulikiwe kipekee kwa sasa? ukizingatia pia kwamba hata kama akishinda rufaa hiyo bado atarudi kwenye kupoteza nafasi zake zote za uongozi ikiwa ni pamoja na ubunge endapo atapoteza uanachama
 
I must confess, I do not have all the facts. However, my understanding is that, there are two matters. First charges against him filed by the CC. Second, appeal by Zitto against CC. In the appeal, Zitto is challenging the jurisdiction of the CC urging that it has usurped powers of the General Council (Baraza Kuu).

If that is the case, in normal legal proceedings, where jurisdiction of the body hearing a dispute is challenged, this matter must first be decided.

But, We are not dealing with legal proceedings although the principles should apply.
 
TWT hujamtedea haki M M kwenye swali lake hapo juu. Ni kweli ulichofanya uko sahihi kabisa. Masuala ya kisheria kwa Tanzania yanaendeshwa ktk lugha ya kiingereza huku watumiaji wengi, wakiwemo watunga sheria na wasimamia sheria pasipokujua lugha hiyo vizuri. Hata kam MM amekuelewa bado wengi hapa janvini umetucha nje.
 
Suala la Uanachama na Uongozi vilikuwa ni separate issues. Kila kimoja kilipaswa kijadiliwe kwa muktadha wake!.
Mpaka hivi sasa Zitto Kabwe ni mwanachama halali wa Chadema
Anakata rufaa kwa sababu ya Kuvuliwa uongozi wake, Then Mwingine aakuja anasema No No No, Subiri kwanza tuone kama utavuliwa uanachama au La!!- SIJAWAHI KUONA CHAMA AMBACHO KILA MTU ANAJITAFSIRIA KATIBA APENDAVYO!
Sijui Kimesera ametumia kifungu gani cha sheria/katiba ya Chama kuzuia Mchakato huru wa Rufaa

Mkuu huwezi kukata rufaa kwenye uamuzi wa awali wakati shauri bado linaendelea ule mchakato bado haujakamilika kwa hiyo anatakiwa kusubiri uamuzi wa mwisho utakaotolewa baada ya Kusikiliza Utetezi wake aliotakiwa kuuwasilisha ndani ya siku 14 vingenevyo ni kichekesho "as putting the kalt before the horse" kukata rufaa kabla kwani uamuzi ule ni wa awali na ulifanyika kwa sehemu tu ni vyema asubiri ili uamuzi wa mwisho utakapo tolewa ndo akate rufaa. Ni mambo ya kuleta Ubishi wa kipi kilichotangulia Kuku au yai.Awe mvumilivu na atulie vinginevyo atazidi kujiharibia SIFA YA MWANASIASA BORA SIYO TU KUJENGA HOJA BALI PIA KUWEZA KUZITAMBUA NYAKATI ZINAZOFAA NA KUZITUMIA IPASAVYO KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA KWA WAKATI MUAFAKA ILI KUJIJENGA KINYUME CHA HAPO NI KUKATA TAWI LA MTI ULIOKALIA.

Kukata rufaa sasa ni ujanja wa kupreempt maamuzi,kuleta mgogoro na mgongano kwenye uongozi .Hii rufaa siyo rufaa tu kama wengi wanavyotaka kutuaminisha ni zaidi ya rufaa.
 
Nimeshasema zitto ww ni muha unatoka kigoma,hiki chama ni cha mtei wa kazkazini na mchaga yaani ukurupuke tu unataka uenyekiti ahh ndoto za mchana unaota kijana chadema ni chaga development manifesto sasa muha na mchaga wapi na wapi ni lazima tukufukuze hata ukisema hutoki utaona yaani sie tuwekeE tukikopeshe chama ww uptake uenyekiti tena ukome

Wee kichaa! Nani kakuleta JF.
 
Ukiona hivyo ujue hakuna chama hapo kuna wajanja wajanja wengi waliounda chama chao kikaitwa chama cha siasa.:cool2:

Kwa tafsili hiyo acheni kulia lia humu, mwambieni mshikaji wenu Zito aache kuing'ang'ania CHADEMA atupishe ebo!
 
Nimeshasema zitto ww ni muha unatoka kigoma,hiki chama ni cha mtei wa kazkazini na mchaga yaani ukurupuke tu unataka uenyekiti ahh ndoto za mchana unaota kijana chadema ni chaga development manifesto sasa muha na mchaga wapi na wapi ni lazima tukufukuze hata ukisema hutoki utaona yaani sie tuwekeE tukikopeshe chama ww uptake uenyekiti tena ukome

Umeshavurugwa wewe na hujui ulitendalo,hivi BOB MAKANI (RIP) hakuwahi kuwa m/kt CDM? hebu peleka uharo wako lumumba fc! hizo single za ukaburu zimeshabuma.CDM ipo na itakuwepo utake usitake.Karibu sana CDM siku akili yako uliyoshikiwa itakaporudishwa ukajitambua!
 
Kaka si unajua tena mkuu wa chama nae elimu ni ndogo then awaongoze watu wenye shahada zao sijawahi ona duniani.Babu yetu nae ameshikwa masikio mpaka hurma.

Kamuulize mwigulu zile kesi zake za ugaidi ziliishia wapi? atajuta kuijua cdm huyo yuda! alidhani nccr ati? mwacheni ajichanganye tu lakini lazima afukuzwe tu,na kama hoja ni uongozi wa juu hauna elimu si mumshauri ahamie chama cha wasomi wenzie? Hivi huyo MM naye ni msomi CDM? kuna wasomi wengi maprofesa na wenye maphd kibao tupo nao mawilayana wanapiga kazi za M4C na huwezi kuwaskia wanaleta chokochoko za kipumbafu kama za huyo kalumekenge! CDM 4 LIFE.
 
At the Moment ni Vigumu kujua endapo walotimuliwa hawaatachukuliwa hatua zaidi, Lakini naamini CC Chadema itafanya Maazimio Halisi.
 
Mkuu,

Ndani ya Chadema HAKUNA uongozi wenye kutaka kujua mawazo ya wanachama.

Katika fikra za uongozi wa chadema mwanachama akija na opinion wanampa jibu hili:

View attachment 127768

Mshaurini huyo YUDA wenu ahamie kwenye chama kitakachompa fursa hiyo.huku CDM tunamuona msaliti/mamluki hivyo hana thamani yoyote kwa sasa! mwacheni aruke ruke tu kama maharage chunguni lakini mwisho wake atajuta na hao wanasheria wake waganga njaa!
 
Back
Top Bottom